Upinzani kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
kuhusu nani bora zaidi ya mwenzake huwa ni mgumu kutupatia majibu
yaliosahihi kwa maoni ya watu hususani ukihusisha mashabiki wa pande
zote mbili, hata zile tuzo zinazotolewa za mchezaji bora wa dunia (Ballon D’or) huwa hazitoshi kuwaridhisha mashabiki wa upande mmoja kuwa kwa mwaka huu flani ni bora zaidi ya mwenzie.
Sasa wataalamu wa mambo wamejichunguzia na kugundua kwamba Ronaldo kazaliwa February 5 1985 na Lionel Messi amezaliwa June 24 1987 ikiwa ni tofauti
ya miaka miwili na miezi kadhaa tofauti hiyo ukiibadili kwa siku Ronaldo kamzidi Messi siku 869.
RSS Feed
Twitter
July 28, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment