Sunday, July 19

Wananchi wakitazama kivuko cha Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari.
 Kivuko cha MV Magogoni baada ya kupakia abiria na magari upande wa Kigamboni kilifanikiwa kutoka na kilipofika jirani na gati upande wa Magogoni kilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa ila baadaye kilifanikiwa kushusha. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)

0 comments:

-