
September 01, 2013

Unknown

Kama unamfuatilia Jay Z kwa makini na
wewe ni shabiki wake, Basi definitely utakuwa ume-note bonge moja la
chain ambalo mkali huyu amekuwa akilitupia katika events mbalimbali,
hata ndani ya video mpya ya Holy Grail, , haya ndio mambo ya kushangaza ambayo yanaihusu chain
hii.
Chain hii
imetengenezwa na ma-dealer wakubwa kabisa wa vito vya thamani ambao
wanajulikana kama Rafaello & Co na nin dhahabu yenye uzito wa
kilogram 5, so ukimwona mchizi ameitupia ujue amebeba mzigo wa maana.
Gharama ya chain hii
kwa makadirio ni dola laki 4 ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 645 za
kitanzania na ni kijisehemu tu cha madini ambayo anamiliki Jay Z.
Thats all about jay-Z's Yellow Gold Cuban Link Chain
0 comments:
Post a Comment