Monday, August 12

WASANII WATAKAOIFUNGUA FIESTA AUGUST 17 MWAKA HUU KULE KIGOMA HAWA HAPA

8818atKigoma

Clouds FM wametangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye show ya kwanza ya Fiesta mwaka 2013 itakayozinduliwa Jumamosi, August 17 mjini Kigoma.

Wasanii waliotajwa kutumbuiza ni pamoja na Cassim Mganga, AY, TID, Barbaba, Mwana FA, Young Killa na Godzilla.
Wengine ni Neyle, Stamina, Shetta, Amini, Chege na Temba, Recho, Linex, Madee, Peter Msechu, Weusi, Baba Levo na Makomandoo.

No comments:

Post a Comment