Friday, August 30

VIDEO:MTOTO WA MIAKA 13 AJIFUNGUA MAPACHA 3!!!soma zaidi na kuitazama video hapa,

Kwa kawaida miaka 14 inafaa kuwa ndio unafurahia ujana na utoto wako.

Lakini sivyo kwa msichana mmoja huko Bungoma, ambaye sasa ni mzazi, na si wa mtoto mmoja, bali watoto watatu, aliojifungua kwa pamoja.


Msichana huyo mdogo anasema alipewa ujauzito huo na kijana wa umri wa miaka kumi na sita, na kama anavyiripoti Agnes Penda ni taarifa ambayo inaongeza tu idadi ya visa vya wasichana wadogo kupata uja uzito wa mapema na matokeo, kurudisha nyuma maendeleo ya watoto wa kike. 

Tazama  video  hapo  chini........................
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=RmmEu8Q7M8U

No comments:

Post a Comment