HII kali! Mtumishi mmoja anayetumikia nafasi ya ulinzi katika Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro (St. Peter) lililopo Oysterbay jijini Dar
(jina halikufahamika), amenaswa katika chumba cha kuhifadhia chakula
kinachoitwa Mwili wa Kristo (ekaristi) ndani ya kanisa hilo.
KUNA WALIOKATWA MISHAHARA
Akiwa kwenye hali ya sintofahamu baada ya kukamatwa.
Kwa mujibu wa mtawa (sista) mmoja wa kanisa hilo aliyeomba hifadhi ya
jina, awali tabia ya wizi wa chakula hicho ambacho ni mkate (ekaristi),
divai (mvinyo) na vifaa vingine, mali ya kanisa ilikithiri kanisani
hapo mpaka kufikia hatua ya baba paroko kuamuru kufungwa kwa kamera ya
Closed-Circuit Television (CCTV) ili kuweza kumnasa mwizi huyo.KUNA WALIOKATWA MISHAHARA