Wednesday, May 13

Ndege 
Kuna viwanja vya ndege ambavyo ni vya kawaida labda kama huwa ni muoga utakua unapata wasiwasi kidogo tu then inapita ila kwa viwanja hivi kuna uwezekano mkubwa kabisa ukaogopa sababu sio viwanja vya ndege tulivyozoea kuviona au kuvitumia.
Kwenye hii list hakuna kiwanja ambacho kipo Afrika.
a1
 

  pac8 
Bondia Pacquiao amerejia nyumbani Ufilipino baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega huko Marekani ambapo pamoja na kushindwa Floyd Mayweather raia wa nchi hiyo walionyesha support kwake baada ya kutua.
pac5
anna
Upigaji wa picha za selfie Umeendelea kupata umaarufu kila siku duniani kutokana na kazi ya teknolojia inayozidi kukua.
Kila mtu anatamani kuwa na simu ya Smartphone ili tu aweze kupata urahisi wa mawasiliano pamoja na upigaji wa picha hizo.
Hii imetokea kule Romania baada ya binti wa miaka 18 Anna Ursu na wenzake kujaribu kupiga picha juu ya treni inayotembea ili wapate picha ya selfie ya kipekee lakini kilichotokea ni kingine baada ya kupigwa na shoti ya umeme wakiwa juu ya treni hiyo.
kan
May 24 mwaka huu itakua ni Anniversary ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West baada ya kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yao ambayo walifunga mwaka jana katika sherehe iliyofanyika Italy na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

 
 
Kiongozi wa ''Mapinduzi'' kwa upande wake Meja Jenerali Godefroid Niyombare 
19:00 Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Ban ki-Moon amewataka wahusika wakuu nchini Burundi kuweka uhasama baina yao kando ilikulinda taifa
18:55 Mwandishi wa BBC aliyeko Dar es Salaam anasema kuwa ndege ya rais Nkurunzinza imepaa ikielekea Bujumbura
18:53 Kiongozi wa ''Mapinduzi'' kwa upande wake Meja Jenerali Godefroid Niyombare ametangaza kufungwa kwa mipaka
18:45 Mwandishi wa BBC huko Bujumbura Kazungu Lozy anasema watu wangali wanasheherekea
18:40 Rais Nkurunzinza ameingia ndani ya gari lake na kuondoka mjini Dar es Salaam akionesha dalili kuwa yuaelekea Burundi
18:37 Kiongozi wa ''Mapinduzi'' kwa upande wake Meja Jenerali Godefroid Niyombare ameamrisha wanajeshi kuzuia rais Nkurunzinza kutua Burundi
18:30 Rais Pierre Nkurunziza anatarajiwa kuhutubia taifa baada ya kurejea kutoka Tanzania amesema msemaji wake Willy Nyamitwe.
18:25 Generali Niyombareh ametoa amri kwa majeshi kuungana na kulinda viwanja vya ndege kote nchini humo

Friday, May 1

 
Floyd Mayweather (kushoto) na Manny Pacquiao wakipozi na mkanda wa WBC jana wakati wa mkutano na wanahabari.
SIKU mbili tu zimebaki kuelekea mpambano wa kihistoria wa ngumi za kulipwa utakaowakutanisha mabondia Floyd Mayweather (Money) na Manny Pacquiao (Pacman) ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.
 
Muonekano wa sasa wa Hoteli ya MGM Grand iliyopo jijini Las Vegas, Marekani.
Mpambano huo umekuwa gumzo kote duniani kwa sababu wapinzani hao wamekuwa wakitafutana kwa muda mrefu kabla ya kukubali kupanda ulingoni na ku

 
Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.
STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu.

Yaweza kuwa ni mada ambayo imekuacha hoi mpenzi msomaji wangu huku ukijiuliza kama ni kweli zipo faida kwa watu wanaopendana kwa dhati kununiana.

Faida ipi hiyo zaidi ya maumivu na mateso ya moyo? Jamani ni kweli kabisa kwamba kuna maumivu na karaha nyingi unaponuniana na mpenzi wako, lakini wakati huo huo kuna faida nyingi za kununiana naye.

Mapenzi yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuuangalia kwa jicho pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina cha maji kabla ya kuzamia. Sasa basi, zifuatazo ni faida tano utakazozipata ukiwa umenuniana na mpenzi wako.


Binti Annika Irmler (pichani juu) ambaye ni raia wa Ujerumani ana umri wa miaka 16 ndiye mwanamke mwenye ulimi mrefu zaidi duniani kwa mujibu wa Kitabu cha Rekodi za Dunia za Guinness.

Binti huyo ambaye alivunja rekodi hiyo mwaka 2007 ni mwanafunzi wa sekondari, wakati huo alipokuwa anavunja rekodi alikuwa umri wa miaka 12.

Duniani kuna wanyama ambao wana sura mbaya sana, na hii ni top 5 list ya wanyama hao wenye sura mbaya.
wa kwanza ni


huyu anaitwa Daubentonia madagascariensis anapatikana katika kisiwa cha Madagascar ambaye ana mchanganyiko wa meno kama ya panya na kidole chembamba cha kati ili kukamilisha uwepo wake kimazingira kama gogota. Ni aina kubwa ya nyani duniani kati ya wanyama wanaotembea usiku mwenye sifa ya  kipekee ya kupata chakula kwa kuchimba miti ama kuingiza vidole vyake katika matundu yaliyoko kwenye miti na kutafuna. Ana uzito wa kilo 2.5, na majike wana uzito pungufu kidogo (kwa wastani wa gramu 100) ukilinganisha na madume. Mbali na uzito na viungo vya jinsia macho yao hayadhihirishi jinsia. Wote hukua kutoka cm 30-37 kutoka kichwa na mwili, na mkia 44-53
-