Saturday, January 31

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi akiwamo Emmanuel Ndahani (39) mkazi wa Kibamba, aliyegongwa na gari na kufariki dunia alipokuwa akiweka alama za matawi kuzuia gari zisikanyage maiti. 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema Ndahani aligongwa na gari isiyofahamika kwa kuwa lilikimbia baada ya ajali hiyo. 
Alisema Ndahani alikuwa akitaka kuzuia magari yasiukanyage mwili wa Onesmo Yarimunda aliyefariki dunia


Huku kwetu tuna utaratibu wa kuwapa watoto wetu majina tunayopenda, yapo majina ya watu maarufu kama viongozi, wanasoka, waigizaji na wengineo.
Kuna hizi nchi ambacho wao wamepiga marufuku baadhi ya majina kupewa watoto, list ni hii hapa.

Tuesday, January 27


Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Millard Ayo, jana alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwenye party yake ndogo ambayo aliamua kuifanyia nyumba kwake, ni msichana mmoja tu special aliyepata nafasi exclusive ya kusherehekea naye – Jokate Mwegelo.
 

Sunday, January 25

password-ftrHivi karibuni tumesikia watu wengi wakiwemo wasanii wakilamika juu ya account zao pamoja na simu kuvamiwa na wezi wa mitandaoni, watafiti wanasema matumizi ya password dhaifu pia huchangia account hizo kuvamiwa, au wengine kutumia password moja kwenye account zaidi ya moja ikiwemo email, simu na mitandao ya kijamii.
Utafiti uliofanywa na  kampuni ya SplashData, Marekani umeonyesha kuwa password milioni 3.3
dume4
Msanii wa kujipamba Jordan Jams Parke anampenda Kim Kardashian kiasi ambacho ameamua kutumia pauni 100,000 (mil 270) kujitengeneza kuwa kama yeye (Kim).
Ameiga urembo wake, mtindo wa kujiremba, na hata ametengeneza nguo zinazofanana na za Kim.
Shabiki huyo Muingereza, 23, anazidi kujibadilisha zaidi, anaweka vipandikizi ili awe na kifua kikubwa kama nyota huyo televisheni.
salma 2 
Mwanamke mmoja nchini Misri ameamua kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa kuolewa.
AMA kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la warembo kufumwa wakitoa dozi ya ngono linaweka historia nyingine,

Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM.
Hebu sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya ’masaji’ lakini kumbe ngono imo ndani yake imenaswa na kufumuli

Saturday, January 24

Waziri wa Nishati na Madini mpya, George Simbachawene.
Waziri wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe.
ail Rating
Waziri wa nishati na madini, Prof. Sospeter Muhongo  

Profesa Muhongo amekwenda mbali zaidi na kueleza kuwa yeye si mwizi na hawezi kuuza utu wake kwa kupewa rushwa ili kuwakandamiza watanzania.


Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Esc

Waziri wa Nishati na Madini nchini Tanzania Professor Sospeter Muhongo ametangaza rasmi kujiuzuru wadhifa wake hii leo kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegera Escrow.
Taarifa kamili itawajia hivi pund
Hali inatisha! Vidonge vinavyodaiwa ni vya kutoa mimba vimezagaa kwenye maduka ya madawa baridi ‘famasi’ jijini Dar na kuuzwa kinyume cha sheria iliyowekwa na wahusika kwa kuwa hairuhusiwi kuuziwa dawa hizo pasipokuwa na kibali cha daktari.

Wauzaji wa moja ya duka la dawa linalouza dawa za kutolea mimba.
Kikosi chetu cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kiliingia kazini kuzisaka famasi zinazodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa hizo zilizotajwa kwa jina la Misoprostol 200.
ENEO LA KWANZA


Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.

Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.

Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna wasanii wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.

Akiongea  na  Gpl, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.
BAADA ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani.
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper.
Kwa mujibu wa chanzo makini,  wawili hao walianzisha uhusiano wao mwishoni mwa mwaka jana na sasa mapenzi ndiyo yamekolea hadi kufikia hatua ya Nay wa Mitego  kuanika hisia zake mtandaoni.
“Wamekuwa wakibanjuka kwa siri sana si unajua Nay ana mchumba wake Siwema, bado hajafanya maamuzi magumu ya kumtosa,” kilisema chanzo chetu.


Vyama vya Siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi nchini Tanzania (UKAWA) jana vimetangaza rasmi kuwa vitasusia kushiriki kura ya maoni, zoezi ambalo ni hatua muhimu katika mchakato wa kupata Katiba mpya na ambalo litafanyika April 30 mwaka huu.
 
Viongozi wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA wametangaza uamuzi huo jana jijini Dar es Salaam , ambapo Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Profesa Ibrahim Lipumba ameelezea sababu za wao kutoshiriki na namna watakavyoshawishi wananchi nao wasishiriki zoezi hilo.
 
Ameelezea sababu kubwa ya kususia zoezi hilo kuwa ni kwamba mchakato wa kuipata Katiba Inayopendekezwa haukuwa halali, na hivyo Katiba Inayopendekezwa si halali na hivyo hawawezi kushiriki katika kitu haramu..
Kwanini ni Bossy Lady jitiririshe hapa kiroho safi wala bila Mfyuuuunyo
Mama wa mbongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim akiwa hoi kwa ugonjwa,
HALI ni tete! Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali, Risasi Jumamosi lina taarifa kamili.
Bi. Sanura Kasim akiuguza ugonjwa.
MAMA DIAMOND
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, mama Diamond hajiwezi kwa mwezi mmoja sasa akisumbuliwa na maradhi yenye kuashiria kupooza sehemu ya mwili na kushindwa kutembea. Anaugulia nyumbani kwake, Sinza ya Mori jijini Dar es Salaam.

Thursday, January 22

The 54th Annual GRAMMY Awards - Press Room
February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa Tuzo za Grammy, mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako mengine mapya leo nashare na wewe.
Rapper mkongwe Marekani, LL Cool J ametajwa kuwa ndiye MC wa shughuli hiyo mwanzo mwisho.
Jipya lingine ninalokusogezea ni kwamba ile list ya watakaofanya show siku hiyo imeongezeka, Pharell Williams, Sam Smith, Usher Raymond, Madonna, John Legend, Ariana Grande na Miranda Lambert watanogesha usiku huo kwa show ya nguvu.
.
LL Cool J
NYUMA ya ukaribu wa Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, kuna siri nzito kufuatia mambo mbalimbali yanayojitokeza kati yao kila kukicha, Amani lina cha kukujuza.
Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’.
Katika kuunga maelezo hayo, inasemekana kwamba mbali na mambo mengine, hivi karibuni Diamond alimpelekea JK tuzo zake tano za kimataifa alizotwaa mwaka 2014 kwa kuwa nyuma yake kulikuwa na sapoti kubwa ya mkuu huyo wa nchi.
UKARIBU MKUBWA
madonna (1)
Moja ya story iliyosikika masikioni mwa wengi wiki iliyopita ilikuwa ishu ya namba za simu za mastaa AY na Fid Q kuwa hacked, leo kuna hii nyingine ya staa wa muziki kutoka Marekani.

Madonna naye kakumbwa na tatizo hili, system ya computer yake imekuwa hacked na mtu kisha akavujisha albu


 http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919112_407636222736794_353886209_n.jpg

 Leo tunalea mtoto tumemuokota mama yake kamtupa.Ameokotwa mitaa ya nyumbani kwangu kwenye majani.
Tushampa jina anaitwa Comfort sio mimi nilompa jina lakini.

http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10919524_1653497888211148_462297742_n.jpg

Friday, January 16

Wananchi wakishuhudia janga la moto uliozuka mara baada ya transfoma la kituo kikuu cha umeme Mgololo, Iringa kulipuka ghafla na kuteketea.
James Mbatia, Freeman Mbowe, na Profesa Ibrahim Lipumba.
Dar es Salaam. Wakati CCM ikisubiri Februari kufanya tathmini kuona kama baadhi ya wagombea wake wa urais wametekeleza masharti ya adhabu zao, washindani wao wa Ukawa, Jumanne ijayo watakutana kujadili mambo mbalimbali, ukiwamo mchakato wa kuwapata wagombea wake wa urais, ubunge na udiwani, imefahamika.
Tangu mwaka huu uanze zimekuwapo pilikapilika nyingi za kisiasa ndani ya vyama vya siasa na Jumanne iliyopita CCM ilifanya kikao cha Kamati Kuu mjini Zanzibar na kutoa maazimio yanayogusia mchakato huo lakini ikasita kutaja ratiba rasmi ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CCM.



82649628e614374168ab92fb4a08b035 
Kuna msemo usemao duniani wawili wawili  kwa upande wako ulishawahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye unahisi anafanana na wewe au ukakutana na  mtu anayefanana  na mtu unayemjua?
Hapa nimekuwekea pichaz ya Mastar ambao kuna watoto wadogo ambao wanaonekana  wanafanana nao kiasi kwamba unaweza kuhisi picha hizo ni za mastar hao wakiwa wadogo au ni watoto wao wa kuwazaa, lakini hawana uhusiano wowote.
Man Head DownKwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kukojoa kitandani au kujikojolea ni jambo la kawaida, lakini vijana na watu wazima kujikojolea kitandani mara kwa mara siyo jambo la kawaida katika jamii.

Kitabu cha afya ya akili kilichotolewa na Chama cha Madaktari wa magonjwa ya akili cha Marekani kinasema kuwa kikojozi ni mtu mwenye tatizo la kujikojolea nguoni au kitandani angalau mara mbili kwa wiki kwa muda wa miezi mitatu mfufulizo akiwa na umri wa miaka mitano au zaidi.

Tafiti zinaonyesha kwamba katika kila watu wazima 100, mmoja wao ni kikojozi na kwa upande wa Tanzania, hivyo inayokadiriwa kuwa na Watanzania milioni 50 idadi ya watu wazima vikojozi inakadiriwa kuwa ni sawa na nusu milioni.
Wengine wanahusisha tatizo hili na matatizo ya mishipa ya fahamu kushindwa kumpatia muhusika taarifa ya kujaa kwa kibofu pindi anapokuwa usingizini na sababu nyingine ni uwezo mdogo wa kibofu kushindwa kubeba mkojo wa kutosha kutokana na kulegea kwa valvu zake.
Sababu za tatizo hili ni pamoja na kukomaa kwa tezi ya pituitary inayopatikana ndani ya ubongo ambapo ikikomaa husababisha figo kuzalisha kiasi kikubwa cha mkojo na matokeo yake muhusika akiwa usingizini hupoteza uwezo wa kuudhibiti.
Chanzo cha story: Gazeti la Mwananchi, Toleo la January 16, 2015.

Wednesday, January 14


Jaribu kufikiria mwimbaji wa nyimbo maarufu kama Safari Siyo Kifo, Yako Wapi Mapenzi, Nani Kama Mama, Usilie na nyinginezo anapoamua kutengeneza video na watayarishaji wakubwa Afrika nini kitatokea?
Hiki ndicho alichopanga kukifanya mwimbaji wa muziki wa dansi ambaye mara nyingi hupenda kusimama kama ‘solo artist’, Christian Bella kwa ajili ya kukuza soko la muziki wa dansi Tanzania, akifuata nyayo za wasanii wa Bongo Fleva.
Bella amesema kuwa kuanzia Februari mwaka huu, atatengeneza video kubwa itakayoongozwa na mtayarishaji God Father nchini Afrika Kusini.

Mtumishi Fredrick Kishindo ‘Badoo’ akijistili kwa kanga baada ya fumanizi hilo.

 

  Ama kweli dunia imekwisha! Mtumishi wa Mungu (Muinjilisti) ambaye kipindi chake cha dini kinarushwa katika kituo kimoja maarufu cha televisheni Bongo (Jina tunalihifadhi) aliyefahamika kwa jina la Fredrick Kishindo ‘Badoo’ hivi karibuni alipata aibu ya kufungulia mwaka 2015 baada ya kunaswa na mke wa mtu chumbani.

Ilikuwaje?


Awali chanzo cha habari kilichoomba hifadhi ya jina lake kilieleza kuwa, Januari 11, mwaka huu Muinjilisti huyo anayesifika kwa kuhubiri watu waache dhambi alionekana akinyata kuingia kwenye nyumba ya mke wa mtu huyo iliyopo Sinza jijini Dar huku kukiwa na taarifa kuwa, mume wa mwanamke huyo alikuwa safarini.

 
Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Wanahabari mapema leo akifafanua kuhusiana na ripoti na maadhimio ya kikao cha kamati kuu cha CCM kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM,Kisiwandui mjini Unguja kisiwani Zanzibar. (PICHA NA MICHUZI JR-ZANZIBAR)
Jana tarehe 13/01/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ilifanya kikao chake cha kawaida cha siku moja Kisiwandui Mjini Zanzibar. Pamoja na mambo mengine baadhi ya mambo yaliyojadiliwa na Kamati Kuu ni pamoja na:-
1. SAKATA  LA  AKAUNTI  YA ESCROW


  Jina la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano kati ya Zari na Diamond umezua gumzo kila eneo Tanzania na Afrika Mashariki huku wakifananishwa na mastaa wa nje kama vile Kanye West na Kim Kardashian kwa namna wanavyofuatana wakati wote huku Diamond akionesha kila aina ya mbwembwe za kumjali mrembo huyo kutoka Kampala, Uganda.
Uhusiano wa Zari na Diamond umewafanya kuandamana kila sehemu hivi sasa. Wawili hao walianza kuonekana kuwa na ukaribu wa mahusiano tangu Diamond alipokwenda Afrika Kusini kwenye Tuzo za Channel O ambapo Diamond aliibuka na ushindi wa Tuzo tatu.
Obesity
Majengo mengi yaliyo katika ghorofa kuanzia nne na kuendelea yamekuwa yakiwekwa lift za umeme ili kusaidia watu kupanda na kushuka kwa urahisi na uharaka, nimekutana na hii story ya Gavana mmoja kuzuia watu kutumia lift ili watu wapambane na tatizo la uzito mkubwa.
elevator-pitch
Obesity imekuwa moja ya tatizo linalowakabili sana watu wa nchi za Ulaya, mwaka jana Uingereza na Hungary zilitajwa kama moja ya nchi zenye tatizo hili kwa kiasi kikubwa.

Saturday, January 10

boots_shovel 
Mwanaume mmoja kutoka Mpumalanga, Afrika Kusini amepandishwa kizimbani  katika Mahakama  ya Hakimu Mkazi Mkobola kwa kosa la kumuua mpenzi wake na kumzika katika bustani iliyo nyuma ya nyumba yake.
Tukio la kupotea kwa mwanamke huyo liliripotiwa katika kituo cha Polisi siku ya Jumapili January 4, siku iliyofuatia Polisi walianza na upelelezi wa tukio hilo, mwanaume huyo alihojiwa, alipoulizwa kuhusu mahali alipo mwanamke huyo ambaye alikuwa ni mpenzi wake, alijibu kwamba hajarudi nyumbani hapo tangu alipoaga kwenda kutoa pesa Benki.
Hii inaweza kuwa ni Mara ya kwanza kuisikia ila huko Uganda kwa mara ya kwanza wakati wa siku kuu za mwaka mpya wakati wengine wakiwa kanisani huko sehemu inayoitwa Mukono limefanyika tamasha la kukisiana ambalo liliitwa The kissing festival , ambapo watu hushindana kukiss na mpenzi ama rafiki yako..Tamasha hilo limekuwa Gumzo sana nchini humo na lilivuta hisia za watu wengi sana wakiwemo pia waliolipinga na kusema halina maadili katika jamii..

Soon Tamasha Hili Litakuja Bongo , Trust Me....

Malia 
#Selfie neno la Kimataifa kwa Mwaka 2013, hiyo ilikuwa majibu ya kazi ya Oxford Dictionaries.
Tangu kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa na nguvu zaidi kuipita mitandao mingine ya kijamii ambayo ilitangulia kuwepo kama Facebook na Twitter, tunayaona mengi Instagram, ndiko ambako tuliona pia ile ishu ya kuvuja kwa Selfie ya Malia Obama akiwa amevaa Tshirt ya Kundi la washkaji wanaofanya Hiphop Marekani, Pro Era.

Safaree-SB-Samuels-with-new-girlfriend-1
Baada ya Nicki Minaj kuwa karibu na Rappa Meek Mil, aliyekuwa mchumba wa Nicki “Safaree Samuels” naye ameonekana kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mwanamitindo Candice Brook. Safaree ameonekana na mwanamitindo huyu sehemu tofauti na hata kutoka naye kwenye migahawa huko Marekani.
Hizi ndio picha zao nilizopata.
Safaree-SB-Samuels-with-new-girlfriend-3  Candice-Brook-41 



-