Friday, July 31

Mwanamuziki wa Nigeria, Iyanya.
Lagos, Nigeria MWIGIZAJI wa kike wa Ghana, Yvonne Nelson, amesema wiki kadhaa zilizopita katika mahojiano kwamba mwanamuziki wa Nigeria, Iyanya, ndiye mtu kwa kwanza ambaye aliuvunjavunja zaidi moyo wake kwa penzi kubwa ambalo alilolionyesha kwake.
Mwigizaji wa kike wa Ghana, Yvonne Nelson.
Hata hivyo, mwanamuziki huyo alipofanya mahojiano na kituo cha televisheni cha MTV, alisema japokuwa kweli alikuwa na uhusiano motomoto na Yvonne Nelson, lakini hakuwa mtu wa kwanza kumpagawisha kimapenzi.
Vanessa Mdee ‘Vee Money.
Na Saphyna Mlawa
UKITAJA listi ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa kimataifa basi Vanessa Mdee ‘Vee Money’ linakuwa jina namba moja.Vanessa, 27, ambaye ameanza muziki ‘juzi’ sasa anaonekana kama mkongwe na kuwapita baadhi ya wasanii wa kike ambao amewakuta kwenye ‘gemu’.

Vanessa Mdee ‘Vee Money’ akiwa na Rick Ross.
Hivi karibuni alitajwa kuwania tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika kupitia MTV Mama 2015, lakini ikatua kwa Yemi Alade, lakini kitendo tu cha kutajwa kama ‘nominees’ ni sifa kubwa kwake na taifa kwa ujumla.
Kwa sasa ametajwa kwenye Tuzo za AFRIMMA za Marekani, akiwania kipengele cha Mwanamke Bora wa Afrika Mashariki wa Mwaka na Mtetezi wa Haki za Binadamu (Best Female of East Africa and Humanitarian of The Year), pia Tuzo za AFEA (Africa Entertainment Awards), kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kike. Ili kumpigia kura ewe shabiki wake unatakiwa kuingia kwenye mitandao ya waandaaji na kufuata maelekezo.

1 
Tayari headlines za majina ya waliopitishwa na Vyama Kugombea Urais zilichukua uzito sana kwenye stori kubwa Tanzania kwa muda mrefu, baada ya hatua hiyo sasahivi kinasubiriwa kuona Wagombea hao waliopitishwa kuanza kuchukua Fomu kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Kwenye maelezo ya Jaji Damian Lubuva Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi >>> “Tunaanza kutoa Fomu kwa wale wanaogombea urais, kesho UPDP watakuja kuchukua fomu saa tatu asubuhi wamesema hawana shamrashamra… TLP wao watakuja saa sita mchana wanakuja kwa shangwe… DP wao wanakuja saa nane mchana pia nao wamesema watakuja kwa shangwe pia” >>>>
BO UK
Mgeni Rais Obama alivyoenda kwao Kenya, walijipanga na zawadi kibao ili mtu wao arudi nazo kwa ajili ya Kumbukumbu Marekani… alienjoy vingi Kenya ikiwemo dance ya nguvu na wakali wa Sauti Sol, lakini kumbe zile zawadi hata hakuondoka nazo !!
BO Gifts
Hata usiwaze kwamba labda Barack Obama alidharau zawadi ya Kinyago cha Tembo pamoja na picha mbili za kuchorwa kwa mkono, ishu ni kwamba itifaki au protocol ya Ikulu ya Marekani hairuhusu Rais wao kupokea zawadi yoyote toka kwa Kiongozi yoyote nje ya Marekani !
Hizi ndio pichaz za zawadi zenyewe alizopewa Rais Obama toka kwa Rais Kenyatta.

Thursday, July 30

3X6A9378
July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA…. Tayari kafika Makao Makuu ya Ofisi za CHADEMA, Kinondoni Dar es Salaam na kuchukua Fomu ya Kugombea Urais kupitia Chama hicho.
Hizi ni pichaz pamoja na maneno waliyoongea Mbunge Freeman Mbowe, Tundu Lissu pamoja na Edward Lowassa mwenyewe!!
3X6A9380
Kikosi cha Ulinzi CHADEMA wakiwa nje ya Makao Makuu ya Chama hicho.

Tuesday, July 28

IMG_0240 
Kinara, Selemani Shabani Ulatule.

WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule.
STAKI SHALI (1)
Ngome ya majambazi hao ilvotejketezwa.
ENEO LA TUKIO
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wanahabari wetu walifika katika Kijiji cha Mandikongo, Mkuranga,  Pwani na wakazi wa maeneo ya jirani wakiwa katika hofu baada ya watuhumiwa hao waliokuwa wakiishi jirani na kijiji hicho kutoweka.
STAKI SHALI (2)NGOME YAO YATEKETEZWA
Wanahabari wetu walioambatana na afisa mtendaji wa Kijiji cha Mandikongo, polisi na wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walishuhudia makazi ya watu hao yakiwa yameteketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali.
NIAJE maze! Ni Jumanne yenye kupendeza mbele za Mungu. Naamini wasomaji wangu wote mpo poa sana. Kama ndivyo, bado sifa ni za Mungu kwani kufika leo siyo uwezo wetu, ni yeye tu.
Baada ya wiki iliyopita kumaliza mada ya kila anayekutongoza ni lazima umwambie mumeo, leo niko na mada ya kati. Mada ya kati kwa maana kwamba, inasimama kotekote.
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana maisha ya wapendanao na kubaini yamejaa wivu, kisasi, chuki na kutoheshimiana.Mara zote, kila upande huwa unajitetea kwamba, upande mwingine haupo sahihi katika uhusiano ndiyo maana hakuna utulivu.
barack-obama--z
Safari ya Rais Obama ndani ya Kenya imeweka rekodi ambayo sikuwa nafahamu, kumbe kwa kipindi ambacho Rais Obama amekaa madarakani ambacho ni kama miaka saba hivi anakuwa ametembelea jumla ya nchi 50 nje ya Marekani.
President Barack Obama and First Lady Michelle Obama greet the family of Senior Master Sergeant Roland Paramore (not pictured) aboard Air Force One prior to departure en route to New York, Sept. 19, 2011. (Official White House Photo by Pete Souza) This official White House photograph is being made available only for publication by news organizations and/or for personal use printing by the subject(s) of the photograph. The photograph may not be manipulated in any way and may not be used in commercial or political materials, advertisements, emails, products, promotions that in any way suggests approval or endorsement of the President, the First Family, or the White House.
Mmoja ya Wapigapicha wa White House, Pete Souza kazitoa picha 50 ambazo hazikuwahi kuonekana mahali popote !!
Hapa ziko pichaz 12 kati ya hizo mtu wangu.
lionel_messi_vs_cristiano_ronaldo 
Upinzani kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuhusu nani bora zaidi ya mwenzake huwa ni mgumu kutupatia majibu yaliosahihi kwa maoni ya watu hususani ukihusisha mashabiki wa pande zote mbili, hata zile tuzo zinazotolewa za mchezaji bora wa dunia (Ballon D’or) huwa hazitoshi kuwaridhisha mashabiki wa upande mmoja kuwa kwa mwaka huu flani ni bora zaidi ya mwenzie.
6057156223960338_20779271aa1c14ea9a0610f309660daf5c8c2c6a80e1f69f27ed706f81fe23ef_large 
Sasa wataalamu wa mambo wamejichunguzia na kugundua kwamba Ronaldo kazaliwa February 5 1985 na Lionel Messi amezaliwa June 24 1987 ikiwa ni tofauti
Basi Ajali II
Kama kuna ajali ambazo zimewahi kunishtua ni hii hapa, kwanza najiuliza dereva hakuona au ilikuwaje mpaka hii basi ikanasa hapa!
Ndani ya Basi kulikuwa na Wanafunzi 60 wa Kihispania, wametoka zao Bilbao kwenda Amsterdam bahati mbaya hii ajali ikatokea wakiwa eneo la La Madeleine, Ufaransa… Mwanafunzi mmoja amesema wengi wao walikuwa wamelala ndani ya basi, wakashtukia tu gari imenasa chini ya daraja na imekatika sehemu yote ya juu.

Monday, July 27

pique family
Mastaa wengi wa soka mbali ya maisha yao ndani ya uwanja…lakini wengi wao wamekuwa wakipenda maisha ya starehe ikiwa ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari pamoja na kuwa na nyumba nzuri.
Hapa nimekuwekea mastaa 10 na familia zao kwenye maisha yao ya kawaida wakiwa mtaani:-
van pe
Van Persie na familia yake
etoo family
Samuel E’too na familia yake


Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam leo mchana.


Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.
1.
Mh. Leticia Nyerere (katikati) akiwa na watoto wake Julia Nyerere (kulia) na Helena Nyerere (kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
2.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa karibu tukio hilo.
1..
IMG_0062Mwenyekiti wa Taasisi ya kilimo (TASO), Engelbert Moyo (kushoto)akizungumza jambo, pamoja na  Meneja wa mawasiliano wa kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo, John Wanyancha.


Bobbi Kristina Brown ,mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa R&B ,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabani kwenye bafu lake na pindi alipofikishwa hospitalini na kukutwa na matatizo kwenye ubongo.
 
Bobbi amekufa akiwa na umri wa miaka 22,huku akivutiwa kuwa muigizaji na muimbaji mahiri na mwenye ubora wa aina yake.


Mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Wiki iliyopita, Mtandao huu uliandika taarifa kwamba Chadema walipanga kumtangaza Lowassa Jumapili ya jana baada ya kumaliza mazungumzo naye, lakini hilo lilishindikana.

Taarifa kutoka ndani ya Chadema zinadai kuwa huenda kada huyo ambaye mustakabali wake ndani ya CCM uliingia dosari baada ya jina lake kuondolewa alipokuwa akisaka urais, sasa huenda akatangazwa rasmi wakati wowote wiki hii.

“Kwamba anakuja Chadema hiyo si siri tena, lakini ule mpango wa kumtangaza leo (jana) haukufanikiwa kutokana na kuwapo kwa vikao tofauti muhimu vya vyama viwili ndani ya Ukawa, Chadema na CUF,” alisema mtoa habari wetu ndani ya Chadema.
dunia
Vitendo vya Ugaidi ni miongoni mwa stori zinazoshika na kuweka headlines kubwa sana duniani, na kwa sehemu nyingi za dunia vitendo hivi sio vya mchezo kabisa.
Kutokana na ukuaji mkubwa wa vitendo ya Ugaidi duniani, makosa kama uwizi kwa kutumia mitandao, uhalifu wa IT na migogoro baina ya mipaka ya nchi ni vitu vikubwa sana, unaweza kusema hakuna nchi iliyo salama kabisa.
dunia4
Nimekutana na orodha moja iliyo orodhesha Miji 10 ya hatari duniani, Miji 4 ya Afrika imetajwa, ungependa kuijuwa? Nimekusogezea picha zake hapa chini.


“Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje”. Hii ni moja ya kauli  ambayo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM.
 
CCM ilikuwa na Wagombea zaidi ya 40 ambao walitangaza nia na kuchukua fomu za Kugombea Urais 2015 lakini baadae Chama hicho kikampitisha Dk. John Pombe Magufuli kugombea nafasi hiyo, baada ya hapo kukawa na  taarifa nyingi sana kuhusu ishu ya Edward Lowassa na UKAWA.
1285139-27695451-1600-900
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho anajulikana kwa majigambo, kujisifia lakini pia anapenda kitu kizuri kiwe kwake kama utakua unakumbuka vizuri Mourinho ni kocha anayependa mfumo wa kujihami kwa lugha za mpira wanaita kupaki Bus yaani ni mfumo ambao timu inashambulia kwa kushtukiza na kujihami kwa kiasi kikubwa… Lakini cha kushangaza aliwahi kukutana na timu yenye tabia zaidi ya zake alilalamika.
1358693-29167764-1600-900
Sasa basi Mourinho amerudi tena kwenye headlines, kwa kuanza kejeli zake tena kwa kusema kuwa timu pinzani zina jaribu kununua mataji. Mourinho ameyasema hayo kufuatia klabu vya Manchester United kufanya usajili mkubwa msimu huu, kwa wachezaji kama Matteo Darmian, Mem

Sunday, July 26

  This are 10 statement from Wema Sepetu about her x-boyfriend Diamond Platnumz!! You cant believe how she appreciate and respect Diamond Talent's!! MUST READ.


Few month ago actress and former miss Tanzania wema sepetu speak out about his x-boyfriend at EFM radio program known as Ubaoni and this is the ten statement she made about diamond platnumz.

manchester-united-vs-barcelona-pre-season-friendly-2015 
Usiku wa kuamkia July 26 vilabu viwili vikubwa barani Ulaya vilikutana kucheza mchezo wa International Champions Cup, michuano ambayo bado inaendelea katika nchi mbalimbali na sehemu zingine kumalizika…Michuano hii ambayo klabu nyingi hutumia kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya ya Ligi Kuu katika nchi zao, usiku wa July 25 kuamkia July 26 umezikutanisha timu za FC Barcelona ya Hispania dhidi ya Manchester United  ya Uingereza.
481933062
Mchezo huo umepigwa katika Uwanja wa Levi’s Stadium California Marekani hadi dakika 90 zinamalizika Manchester United imeibuka na ushindi wa goli 3-1 magoli yakifungwa na Wayne Rooney dakika ya 8, Jesse Lingard dakika ya 65 na Adnan Januzaj dakika ya 91 huku goli pekee la kufutia machozi kwa FC Barcelona likifungwa na Rafael Rafinha dakika ya 90.

tanzania-flag 
Safari ya kuelekea Kombe la Dunia 2018 Urusi imeshaanza kwa Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA kupanga makundi na ratiba ya michuano hiyo ili kupata timu  zitakazoshiriki fainali hiyo June 2018 Urusi… Droo ya kupanga makundi imefanyika July 25 St Petersburg Urusi.
Taifa-stars 
Kufuatia kupangwa kwa makundi hayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itaanza kucheza hatua ya mtoano na timu ya taifa ya Malawi October 5 2015 kabla ya kucheza
.
.
July 25 2015  itabakia kuwa historia kubwa kwa wakazi wa 88.5 kwa kupokea shangwe za burudani kutoka kwa, Izzo Bizness, Darasa, Stamina,Young Killer, Roma Mkatoliki,Godzillah,Nikki Mbishi  kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam.
Show hiyo iliyopewa jina la Rap Festival iliandaliwa na mtangazaji wa Clouds TV Nickson George aka Lugha Kali na hizi ni baadhi ya picha.
.
Izzo Bizness.

Wednesday, July 22

Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid.
NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, ambaye wimbo wake wa  ‘Ojuelegba’ unatamba baada ya kumshirikisha rapa Mmarekani, Drake, amesema mwanzoni alikuwa ametaka kumshirikisha rapa Rick Rose, lakini Drake ndiye aliyewahi kuwasiliana naye ili ashiriki kwenye wimbo huo.
 
 Waliokuwa wabunge wa CCM, wapiganaji Mzee James Lembeli na Easter Bulaya w  

DCF 1.0
Babu Owino ni Kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Nairobi, aliwasilisha barua yake kwa Balozi wa Marekani ambaye yuko Kenya, ndani ya barua kulikuwa na Ujumbe wa Wanafunzi wa Chuo hicho kwamba wanahitaji Rais Obama akitua Kenya apitie na Chuoni hapo kwa ajili ya kuongea nao !!
sonu
Babu Owino.
Ratiba ikaonesha kwamba Rais Obama hatofika hapo… hawakupenda kwa sababu mwaka
Minaj
Headlines kubwa sasa hivi kwenye industry ya muziki Marekani ni Tuzo za MTV VMA 2015 orodha yake ikiwa imetoka tayari ili watu wote waijue.
Lakini kuna baadhi ya wasanii ambao wanaonekana kutokuridhishwa na orodha hiyo, mmoja wao akiwa superstaa wa Hiphop Marekani Nicki Minaj.
minaj 2
Nicki Minaj
Licha ya kuchaguliwa kwenye category 3, Nicki Minaj aliamua kusema ya moyoni kupitia mtandao wa Twitter na kudai video ya wimbo wake wa Anaconda kutok

Screen Shot 2015-07-22 at 4.17.56 PM

Ilikuwa furaha kumwona Diamond Platnumz akiwasili TZ kutokea South Africa akiwa na Tuzo ya MTV MAMA 2015 mkononi, ushindi huo sio kitu kidogo kwa sababu ni wasanii wachache sana waliopata bahati ya kuibuka na ushindi huo !!
Leo amepata nafasi ya kuongea na Watanzania na kutoa shukrani zake kwa support ya nguvu aliyopata mpaka akafanikiwa kuibuka na ushindi huo… ninazo pichaz hapa wakati Diamond akitoa shukrani zake leo Julyu 22 2015 Dar es Salaam.
Screen Shot 2015-07-22 at 4.18.03 PM
-