nay 2 
Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia

Kwa muda mrefu sasa huenda nawe  umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa kwenye kurasa mbalimbaali za magazeti na majarida, mitandao ya kijamii na mabagno ya matangazoa wakiwa katika muonekano tofauti hasa katika kuonesha miili yao kiuhalisia.
Mastaa hao pia tunawashuhudia kwenye video zao iwe filamu, muziki na matangazo, wakionyesha sehemu za maumbilie yao kama kifua, tumbo, mgongo, kiuno na hata miguu kwa baadhi yao wakiwemo wa kike.
11 
Msanii Juma Jux