Tuesday, March 31

*Tafiti Mpya Za Kitaalamu Zadhihirisha Uhalali wake Kisiasa

*Kauli ya Jk yaongezewa nguvu na Tafiti Mpya za PTT

*Kauli ya mjumbe kamati kuu Jerry Slaa Yampa majibu nape na January "Chama chetu lazima kipeleke bidhaa inayohitajika sokoni, inayouzika na inayokidhi haja ya mnunuaji"

*Tafiti zabainisha nguvu ya Wapinzani Wa Lowassa Pinda na Membe, washindwa kutumia System kumzima Lowassa Zaweka wazi ushawishi wa Lowassa Kwa Umma.

Na Mwandishi Wetu, Moro
SKENDO mpya imeikumba Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kufuatia mwanamke mmoja, Rukia Fikiri (pichani) kudai kujifungua mtoto wa kiume kisha baadaye kukabidhiwa mtoto wa kike akiwa amefariki dunia, Uwazi linatiririka.Tukio hilo la kushangaza lilijiri Machi 25, mwaka huu katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo.
Rukia Fikiri(kulia) akiwa na ndugu zake wakiwa wamebeba maiti ya mtoto wanaodai kubadilishiwa na manesi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
MSIKIE MWENYEWE
sunset-image-of-flight-landing
Ishu ya ajali ya ndege ya Germanwings ambayo ilipata ajali katika milima ya Alps Ufaransa imekuwa ikizungumziwa sana hasa kutokana na ishu hiyo kuonekana kwamba rubani mmoja aliebaki ndani ya chumba cha marubani kuiangusha ndege hiyo kwa makusudi.
Watu wachache sana wanaweza kupakiwa kwenye Bodaboda, Bajaj, au gari halafu akishuka anamshukuru dereva kwa kumfikisha salama.. watu wengi hawana utamaduni huo wa kushukuru.
Nimekutana na hii barua ambayo imeandikwa na Bethanie ambaye alikuwa mmoja wa abiria aliyekuwa kwenye ndege, kamuandikia rubani Jai Dillon kumshukuru kwa kumfikisha salama.


Na Bashir Yakub
SUALA  la matunzo  ya  watoto/mtoto  limekuwa  ni suala  ambalo  wasomaji  wengi  wamekuwa  wakiniuliza sana. Wengi  wao  wanaouliza  ni  wale  ambao  wamezaa  nje  ya  ndoa  na  hivyo  kuna  utata  wa  matunzo  ya  watoto  na  wale  ambao  wamekuwa wanandoa  lakini  sasa  tayari  wametengana  aidha  kwa  talaka  au  bila  talaka.  Niseme  tu kwa  ufupi  kuwa  suala  la  matunzo  ya watoto  linajumuisha  mambo  mengi  nami  nitaeleza  baadhi  tu.
1. HUWEZI  KUMLAZIMISHA  MTOA  MATUNZO  KUTOA  AMBACHO  HANA
Kumekuwepo  na  tabia  ya  wazazi  hasa  upande  wa   wazazi  wa  kike   kuwalazimisha  wanaume  ambao  wamezaa  nao  na  kutengana  nao  kutoa  matunzo  ya  watoto  kwa  kiwango  cha  juu  kabisa  ambacho  pengine   kinazidi  hata  kipato  cha   mtoaji. Hili  si  sawa. 
Ni  kweli sheria  inamlazimisha  mwanamme  kutoa  matunzo  ya  mtoto    lakini  haimlazimishi  kutoa  kuliko  anachopata. Sheria   haisemi  kwa kuwa  mwanamke  anaishi  na  mtoto  wa  mtu  basi mwanamme   ndiyo  sasa afanywe  kitegauchumi.  Inafikia  hatua  mwanamke  hafanyi  kazi  yoyote  isipokuwa  anategemea  ile  pesa  ya matunzo  ya  mtoto  ndiyo  iwe  kila  kitu  katika  maisha  yake.
Hii  ndiyo  sababu  hata  akipewa  kiasi   kinachotosha  haoni  kama  kinatosha  kwa kuwa kinakuwa  na  njia  nyingi  kama  saluni, nguo za kuvaa,  pesa  ya  upatu, michango  ya  harusi  na  ‘kitchen  party’  na  kila  kitu  kinachohusu  maisha  yake binafsi.  
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_Ks652N1UcoDsBALJriG5QwiTsoLjwDA16d26j9XAZ8g_kXml3NuB4ieC9ffN9pK_tWeqwSOQIEFTNqP6QNwXA8lz5bEVskzZzCeTUdAITYskz5msn6wy9Lf0JPYMoC9Yg1qkTSJaI3jl/s400/Chef+Issa+yogurt+(2).jpg 

Wanasayansi wagundua chembechembe za glutathiona katika maziwa ambazo hulinda ubongo kuharibika



Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wanasayansi kutoka nchini Marekani ni kwamba unywaji wa glasi 3 za mawiza kwa siku hulinda na kudumisha seli za ubongo wa binadamu.


Wanasayansi wamefahamisha kuwa, chembechembe za glutathiona zinazopatikana katika maziwa hulinda seli za ubongo na kusababisha maziwa kupunguza madhara yanayoweza kuukumba ubongo na kusabaisha akili kudhurika.


Chembechembe hizo hupunguza kasi ya ugojwa wa Alzheimer na Parkinson kumsibu binadamu.


Dr. Debra Sullivan, mmoja wa waanzilishi wa mradi kuhusu utafiti huo alisema kuwa, kwa muda mrefu tunafaham kuwa maziwa ni muhimu kwa mifupa na misuli ya binadamu ila kwa sasa tumegundua pia kuwa maziwa ni muhimu kwa ubongo.


Ndio inawezekana na kwa namna rahisiau kwa namna ngumu kutokana na jinsi ambavyo umejipanga katika blog yako na njia ambazo unazitumia kutengeneza hela kwa blogu.Kuna njia nyingi sana za kutengeneza hela kwa kutumia blogu kwa uchache ni Google Adsense, Kuuza vitu, Watu kulipia kuona blog yako, Matangazon.k Nimeaainisha kwa ufupi namna ya kupata hela ila endelea kutembelea blog hii kwani nitakuwa nikielezea mojabaada ya lingine kwa undani zaidi.

Lakini yote kwa ujumla yanategemea mambo makubwa ya yafuatayo.*.

Thursday, March 26

Baada ya mtangazaji maarufu nchini, zamaradi mketema, kujifungua mtoto wa mwingine ,mashabiki wake wamemjia juu mtangazaji huyo na kudai kuwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa ni kosa kwa mtoto wa kiislam kama yeye, kwani kinaonyesha kuwa hakulelewa kwenye maadili mazuri kama dini yake inavyotaka.

Mashabiki hao wamelaani kitendo cha mtangazaji huyo kuendelea kuzaa bila kufunga ndoa, kitendo ambacho watu wamekitafsiri kama uzinifu na uhuni.

HATIMAYE siri ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuhamia kwenye mjengo wake wa kisasa uliyopo Tegeta -Madale jijini Dar imevuja huku ikitajwa kuwepo na vionjo vya ushirikina.
 
 Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Chanzo makini kimeliambia Amani kuwa, licha ya kumalizika kwa mjengo huo, lakini Diamond alikuwa akikataa kuhamia kutokana na umbali kutoka huko hadi mitaa aliyoizoea lakini shinikizo lilikuja kutoka kwa mpenzi wake wa sasa, Zarina Hassan ‘Zari’  ambaye tangu aliponasa ujauzito amekuwa akitamani kuwa karibu na mpenzi wake huyo ila ilikuwa ikishindikana kufuatia mazingira aliyokuwa akiishi mwanzo Diamond, Sinza-Mori, Dar.
 

Selfie_-_YouTube 
Unaambiwa huko Shinyanga kuna binti ambae anatabia ya kujipiga picha za utupu na kuzisambaza kwa kuwatumia wanaume mbalimbali  pamoja na magroup ya what’saap aliyojiunga nayo na kujisifia kuwa yeye ni mzuri, watu waliopata picha hizo ziliwakera na kuamua kwenda kuzisafisha na kuzisambaza maeneo mbalimbali ikiwemo stand ya mabasi.
No. Jenifer Lopez
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi ya kwanza kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake ameya weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo ni moja ya magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza kuliko. Kiukweli hilo tako limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya hapo. Matako mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila kitu kulinda tako lake. Lol

No.2 Kim Kardashian
Anautajiri wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake umetokana , umodel, uigizaji, mwanamkemfanyabiashara, Television Personality, na socialite. Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye Tako kubwa Hollywood, nalilionekana sana kwenye s*

Friday, March 20


Mwanamume mmoja nchini Saudia amempa talaka mkewe kutokana na ujumbe wake katika mtandao wa WhatsApp.
Kulingana na gazeti moja la kiharibu Al Hayat, mwanamume huyo amedai kwamba mkewe aliandika ujumbe unaosema ''naomba kuwa na subra ya kutosha ili kuweza kuishi na wewe''.
droo 
Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika katika mji wa Nyon, Switzerland.
One of Silverbird’s Staff with the name – Aishat Noble Mustapha was stabbedto death near her home. Aishat who had driven home from her work around 8pm got stabbed multiple times by her killer.
KLM VII
Jana katika Channel ya CNN moja ya taarifa kubwa ilikuwa ni hii ishu ya mtangazaji wa CNN  Brooke Baldwin kufanikiwa kupanda Mlima Kilimanjaro uliopo ndani ya Tanzania..
Kwake hili ni tukio kubwa sana kwa kuwa alisikia mengi kuhusu huu Mlima kutoka kwa rafiki yake ambaye alitembelea Kenya miaka ya nyuma, aliporudi alikuwa na story nyingi kuhusu twiga, kabila la Wamasai na Mlima Kilimanjaro.. ikawa ndoto yake nae aje aone.
Kaitimiza ndoto hiyo mwaka huu, ni kumbukumbu kubwa ambayo anajivunia Brooke.
CNN waliipa uzito sana taarifa hii, nimeona nikusogezee na wewe uone PICHAZ za mtangazaji huyo akiwa kwenye safari yake hiyo ndani ya Tz mtu wangu.
KLM II

Friday, March 13

Polisi wamemkamata moza kwa kudaiwa kumdhalilisha mtangazaji wa kituo TV1 ezden jumanne...uchunguzi ukikamilika ataburuzwa mahakamani muda wowote...moza aliyekuwa mpenzi wa ezden na kuachwa alimrecord video hiyo kipindi cha mahusiano yao...moza alikamatwa na kuwekwa mahabusu oysterbay polisi....ezdee alisema mimi ni mtu ninayejiheshimu so kitendo alichokifanya hakunitendea haki na amenidhalilisha...moza amedaiwa kufanya hivyo baada ya kuachwa ili kumkomoa dida...mwisho wa kunukuu....
Wema
Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz

122038815__384646b 
October 21 2014 mwanariadha mlemavu wa miguu Oscar Pistorius alianza kutumikia kifungo cha miaka mitano jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa kumpiga risasi.

SERIKALI ya Kaunti ya Elgeyo Marakwet  inakabiliwa na changamoto kubwa ya kuwatuma wafanyakazi katika kituo cha afya cha Simbeiwe, kaunti ndogo ya Marakwet Magharibi, baada ya wahudumu wa afya wanaotumwa hapo kukataa kazi kwa kuhofia uchawi eneo hilo.
Kumekuwa na imani kwamba eneo hilo ni kitovu cha uchawi katika kaunti huku wafanyakazi wakipata habari za kuogofya kwamba mazimwi pia hutafuta matibabu katika kituo hicho.
Mmoja wa wauguzi aliyeacha kazi katika kituo hicho aliripotiwa kutibu 'zimwi’ la kike ambalo lilifanya muujiza kwa kuning’iniza mtoto mdogo hewani, bila kumshika, mbele ya muuguzi huyo ambaye alikuwa akijitayarisha kumdunga sindano.



Harusi moja ilitibuka nchini India baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi sana la hisibati aliloulizwa na bi harusi.
Kulingana na ripoti za walioshuhudia kihoja hicho cha aibu bi harusi anasemekana alimuuliza bwana harusi
''15 ukiongeza 6 utapata nini ''?
Polisi katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India wanasema kuwa sherehe za harusi hiyo zilitibuka baada ya bi harusi kufoka mumewe mtarajiwa alipotoa jibu lake . ''17 ''

                               
Hapa mtoto huyo akiendelea kutibiwa katika hospitali ya wilaya ya Mufindi.Tupia neno moja kwa mtoto huyu ili kumtakia afya njema


Thursday, March 5


NETHERLANDS COFFEE SHOPS
Mpaka sasa ndani ya Marekani ni majimbo matatu ambayo wametoa ‘YES’ kuruhusu matumizi ya marijuana au bangi, Washington DC, Alaska na Colorado, lakini wataalamu wanasema kuna majimbo mengine ambayo yako njiani kuhalalisha matumizi hayo.
Barney Warf ni professor wa Chuo Kikuu cha Kansas, anasema ni ngumu kutabiri kuhusu jimbo lipi na lipi litahalalisha matumizi ya dawa hizo za kulevya, lakini majimbo haya matano aliyoyataja hapa kuna dalili zote bangi ikawa halali kwao, kutokana na kwamba kwa sasa bangi inatumika kama dawa nyingine za matibabu, hiyo kwake ni hatua ya kwanza kwenye kuelekea kuhalalisha matumizi kwa mtu yoyote.

cockpit_cover
Kwenye story ambazo zinahusu matukio ya kushtua na kushangaza kwa upande mwingine ni hii ya jamaa ambaye aligoma kushuka kwenye ndege baada ya ndege hiyo kutua, story ikazidi uukubwa baada ya jamaa huyo kwenda kujificha katika chumba  ambacho wanakaa marubani.
Maofisa wa usalama wa Uwanja wa ndege New York walitumia nguvu kumtoa jamaa huyo ambaye anaishi New Jersey , muda wote aligoma kushuka kwenye ndege akidai kwamba kuna kundi la watu walikuwa wanataka kumdhuru.

GTY_bobbi_kristina_brown_4_jt_150131_4x3_992
Ni zaidi ya mwezi mmoja Bobbi Kristina, mtoto wa marehemu mwanamuziki Whitney Houston amelazwa Hospitali baada ya kukutwa akiwa hana fahamu ndani ya bafu nyumbani kwake Georgia, Marekani ambapo tukio hilo linahusishwa na utumiaji wa dawa za kulevya.
Bado kumekuwa na ripoti za kuvutana kuhusu hali yake kiafya, wapo wanaosema hali ni mbaya sana lakini familia yake mara nyingi imekanusha kuhusu taarifa hizo.
Balozi Mark Lippet akiwa na majeraha baada ya shambulizi.
Balozi wa Marekani nchini Korea Kusini ameshambuliwa kwa kisu usoni na pia katika kifundo cha mkono wake na mshambuliaji aliyekuwa akibwata kuhusiana na suala la kugawanywa kwa kipande cha ardhi ya jumuiya yao.
Mara tu baada ya shambulio hilo Rais wa Marekani Barack Obama amemtakia uponaji wa haraka
wazee
Elder Dikam na Kala Nafung wakiwa na nyuso za furaha siku ya harusi yao
Tumezoea kuona vijana au watu wa makamo kufunga ndoa lakini ilikuwa ajabu kwa vikongwe hawa kuchukua uamuzi huo wakiwa na umri mkubwa.
Vikongwe hao Elder Dikam mwenye umri wa miaka 107 na Kala Nafung mwenye miaka 95 kutoka nchini Nigeria wamemua kufunga pingu za maisha huku wakiwashangaza watu kwa uamuzi wao huo kutokanana umri wao.
Imeelezwa kuwa ndoa hiyo ilifungwa kutokana na kila mmoja mwenza wake kufariki dunia na kuwaacha wapekwe hivyo kuamua kutafuta faraja na kukutana kisha kuamua kufunga ndoa

Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababish maambukizi makubwa ya UkimwiMwanamke wa miaka 37, Adong anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na
 
Mwanamuziki wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiimba pamoja na wasanii wenzake kwenye msiba wa Komba.
 MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amepondwa vibaya katika msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Mhe. Kapt. John Komba, baada ya kuvaa kigauni kilichombana na kumuonyesha maungo yake ya mwili mbele ya viongozi mbalimbali wa Serikali akiwepo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.



BONYEZA HAPA KUIONA VIDEO

Wednesday, March 4

Mwaka 2013 ujenzi wa hotel ya kwanza Afrika Mashariki itakayokuwa katikati ya maji kwenye ziwa Victoria ulianza nchini Uganda, huku ukigharamiwa na serikali ya nchi hiyo.

Mchoro wa jengo la hotel hiyo
Hotel hiyo inayotarajiwa kuwa na ghorofa nne, moja ikiwa ni ya mghahawa, ya pili ikiwa na vyumba vya kulala na mbili zinazosalia ni kwaajili ya matumizi mengine ilitarajiwa kukamilika baada ya




Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe.

UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe! Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa mtoto aliyezaa na mwanamke huyo. Akizungumza na waandishi wetu, mmoja wa mashuhuda alisema wawili hao walioana na kuishi kama mke na mume na baadaye kupata mtoto mmoja wa kike, baada ya  miaka miwili ulitokea ugomvi na kusababisha mwanamke kuondoka na ndipo John alipotumia mwanya huo kuoa mwanamke mwingine.

Majirani wakiamulizia.
“Siku ya tukio, Naomi alimpeleka mtoto wake nyumbani kwa mzazi mwenzake kutokana na kutopewa hela ya matumizi, wakati huo Shila alikuwa na mwanamke wake mpya
apper maarufu kwenye headlines za dunia, Drake aliotewa kwenye hizi picha na Mapaparazzi huko Australia akiwa na mrembo ambae inaaminika ndio girlfriend wake mpya.
Mrembo anaitwa Bernice Burgos mwenye umri wa miaka 34 ambae ana asili ya Puerto Rico na ni model/video queen aliyetokea kwenye video kadhaa kama Work Out ya J. Cole na ‘Diced Pineapples’ ya Rick Ross, Wale na Drake kwa mujibu wa Necole Bitchie.
Drake 1 
Drake mwenye umri wa miaka 28 aliwahi kukiri zaidi ya miaka minne iliyopita kwamba kwa wakati huo
-