Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show
huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu
kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo.
Tuesday, February 24
February 24, 2015
Unknown
Yako mengi mazuri ya maeneo mbalimbali
tunayajua, mfano ni ile list ya Majiji salama zaidi Duniani kwa kuishi,
nikakuwekea na ile nyingine ya Beach kali zaidi duniani, leo nimeipata
hii nashare na wewe tena mtu wangu.
Gazeti la Daily Mail ni
moja ya Magazeti makubwa zaidi Uingereza na Ulaya, wataalamu wao
wamefanya utafiti na kuyataja maeneo kumi ambayo siyo salama duniani kwa
wanawake kutembelea kipindi cha mapumziko na sikukuu kama wakiwa peke
yao.
- India: Jamaa wanasema huku kumekuwa na stori nyingi za matukio ya ubakaji wa wanawake, hii imefanya baadhi ya watalii kuwa na hofu ya kutembelea nchi hiyo. Ripoti hiyo inaonesha kunaripotiwa tukio la ubakaji kila ndani ya dakika ishirini.
February 24, 2015
Unknown
Mez
B alifariki Ijumaa ya February 21 2015 nyumbani kwao Dodoma baada ya
kulazwa hospitali Dodoma zaidi ya mara nne toka mwishoni mwa mwaka 2014,
tatizo kubwa lilikua ni kifua na mgongo ambapo Jumatatu ya February 23
2015 akazikwa kwenye makaburi ya Wahanga Maili Mbili Dodoma.
Mpaka anafariki Mez B hakuwa ameoa wala hana mtoto ambapo pia amefariki siku chache kabla ya kuachia single yake mpya kwenye Radio na TV. Baadhi ya Wasanii waliojitokeza kumzika ni pamoja na Dogo Janja na Raymond wa Tiptop Connection, Hemedy PHD, Gelly wa Rymes, Baba Levo, M2theP, Noorah na Dark Master kutoka Chemba Squad.
Mpaka anafariki Mez B hakuwa ameoa wala hana mtoto ambapo pia amefariki siku chache kabla ya kuachia single yake mpya kwenye Radio na TV. Baadhi ya Wasanii waliojitokeza kumzika ni pamoja na Dogo Janja na Raymond wa Tiptop Connection, Hemedy PHD, Gelly wa Rymes, Baba Levo, M2theP, Noorah na Dark Master kutoka Chemba Squad.
Monday, February 23
February 23, 2015
Unknown
Saa 3:14 usiku
Mkuu akiwa ofisini anamaliza kunywa supu ya utumbo, anafuta mustachi, anabonyeza kizenji batani za simu yake ya kisasa na kumtwangia Mkude Simba.
February 23, 2015
Unknown
Aliyekuwa kiungo wa timu ya Simba SC Christopher Alex Masawe aliyefariki dunia leo juzi saa 3 Asubuhi katika hospitali ya Milembe mkoani Dodoma baada ya kuugua kwa muda mrefu anatarajiwa kuzikwa kesho.
Kwa mujibu wa mama yake mzazi aliyekuwa akimuuguza, maziko yatafanyika kesho siku ya Jumanne.
February 23, 2015
Unknown
Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.....nawashwa sana
sehemu za siri (uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni fungus
nikatumia dawa baada ya wiki tatizo likajirudia. Nimekuwa mtu wa
kujikuna wakati wote. Ukeni panawaka moto kwa kujikuna, nimeendelea na
tiba mpaka likaibuka tatizo jingine . kila ninapofanya tendo la ndoa
napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed.
Kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo vya kansa lakini tatizo
likazidi kuongezeka na sasa siwezi hata kufanya tendo la ndoa. madaktari
ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e kuna wekundu mwingi sana badala ya
rangi ya pink.
Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo imeshambuliwa na bacteria
wasiosikia dawa. Wakajaribu kupeleka dawa sehemu iliyoathirika bado
ikashindikana kuwaua!
February 23, 2015
Unknown
Uteuzi wa Makonda ni fimbo kwa mafisadi.Asibezwe anaweza.
Anaitwa Paul Makonda.Ni Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa Uvccm.Kijana
mdogo mwenye ujasiri wa kipekee asiyeogopa kejeli,dharau na fitna za
mafisadi.Kwasasa ndio Mkuu wa wilaya ya Kinondoni.
Jamii ya wenye akili inashangaa wanaobeza uteuzi wa rais kwa Paul
Makonda.Inawashangaa wanaomponda Paul Makonda.Haijajulikana hadi sasa
nia na sababu zenye mashiko zinazotumika kumchafua Paul Makonda.Vijana
wanaombeza ndio haohao wanaoomba kila siku kuwa vijana wapewe nafasi
katika vyombo vya maamuzi.
February 23, 2015
Unknown
China na Sheria zao, Serikali ya nchi
hii ni moja kati ya chache ambazo zimekuwa mstari wa mbele kwenye
utekelezaji wa chochote kile ambacho watakiamua, kwa wakati wowote na
kwa njia yoyote.
Moja ya stori za mwisho mwisho kusikika
kutoka China ni ishu ya kila mtu kutakiwa kujisajili kwenye mitandao ya
kijamii kwa majina yote halali yani, yale ambayo yanatambulika kwenye
cheti cha kuzaliwa au passport hivi.
February 23, 2015
Unknown
Kiongozi wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT),
waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwapatia ajira, George Mgoba,
amelazwa katika Hospitali ya Amana, jijini Dar es Salaam, baada ya
kutekwa nyara na kisha kuteswa na watu wasiojulikana.
Mgoba ni miongoni mwa vijana waliowawakilisha wenzao zaidi ya 300 kukutana na viongozi wa juu wa Serikali hivi karibuni, akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuzungumzia kilio chao na kupinga upendeleo wa ajira ndani ya Jeshi.
Tukio hilo ambalo kwa kiasi kikubwa linafanana na kile alichofanyiwa
Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka au Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda,
lilimfika Mgoba Jumatatu wiki hii saa 11:00 jioni.
Mgoba, ambaye analindwa na vijana wenzake waliomaliza mafunzo ya JKT katika wodi namba saba aliyolazwa, anadai kufanyiwa vitendo vya kinyama ikiwa pamoja na kuchomwa sindano ambayo haijulikani aina ya dawa iliyokuwa nayo.
MTANZANIA Jumamosi lilifika katika Hospitali ya Amana ambako pamoja
na mambo mengine, lilifanikiwa kuzungumza na Msemaji wa vijana hao,
Omary Bakari, ambaye alisema alipokea simu saa nne siku ya Jumatatu hiyo
hiyo ikimtaarifu kuwa Mwenyekiti wao, Mgoba, amelazwa katika Hospitali
ya Tumbi, iliyoko Kibaha, mkoani Pwani.
February 23, 2015
Unknown
Tasnia ya filamu Afrika inakuwa kila siku kiasi kwamba zile ndoto za
kufanya kama wenzetu wa Hollywood (Marekani) na Bollywood (India) huenda
siku moja zikatimia.
Kama ilivyo Hollywood na kwingine kwenye waigizaji wa kike wenye mvuto,
wapo pia waigizaji wa kike Afrika ambao ni ‘visu’.Leo hii ikihitajika
Top 10, kila mmoja atakuwa na yake lakini mtandao wa umefanya kazi ya
kuorodhesha waigizaji 10 wa kike wenye mvuto kama ifuatavyo;10. Elizabeth Michael ‘Lulu’
Binti huyu ana umri wa miaka 21 lakini ni mrembo na anayejiamini. Ni binti kutoka Tanzania mwenye kipaji cha kuigiza kiasi cha kuwa tishio kwa wakongwe. Ni kweli huwa anatumia ‘make up’ lakini hata akiwa hajatumia wala kuvaa ‘mawig’, bado anaonekana ni mwenye kuvutia.9. Omotola Jalade Ekeinde.
February 23, 2015
Unknown
Kila mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya
wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana
na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano
wa wengi. Wengi wetu wameumizwa kwa mapenzi. Inawezekana mara moja au
nyingi na hasa kutokana na tatizo la uaminifu katika mahusiano yao.
Zifuatazo nia alama zitakazokusaidia kuwa macho mara utakapoona mazingira ya kufanana nazo yanatokea katika uhusiano wenu.
1.Kuongezeka ghafla kwa hali ya kujipenda.
February 23, 2015
Unknown
Wakati joto la urais likizidi kupanda ndani ya CCM kutokana na hofu ya baadhi ya majina mazito ya wagombea wa nafasi hiyo kukatwa kwa mizengwe, vita vya wagombea sasa ni dhahiri baada ya mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kusema hakuna mtu atakayekatwa bila ya sababu za msingi.
Mjumbe huyo, Sadifa Juma Hamisi, ambaye ni
mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), pia alisema umoja huo
haujafikia uamuzi wala kumtuma mtu kumdhibiti mwanachama anayetajwa
kuwania urais.
Katika siku za karibuni kumekuwapo mjadala mkubwa
ndani ya CCM juu ya mtu atakayepitishwa kuwania urais kwa tiketi ya
chama hicho, na ilizidi baada ya Rais Jakaya Kikwete kueleza kuwa
mwanachama ambaye atateuliwa na CCM kugombea urais hayumo miongoni mwa
waliojitokeza na kuwataka wanachama kuwashawishi watu wenye sifa
wajitokeze.
Siku chache baadaye, Dk Raphael Chegeni aliliambia
gazeti la Mwananchi kuwa ametumwa na wanachama wa CCM wa mikoa ya Kanda
ya Ziwa kwenda kumshawishi Lowassa kujitokeza kuwania urais kuitikia
wito wa Rais Kikwete wa kuwataka wanachama kuwashawishi watu wenye sifa
kujitokeza.
Thursday, February 19
February 19, 2015
Unknown
Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni.
Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa anatarajia kuoa
mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa
tayari kila kitu kitakuwa hadharani.
February 19, 2015
Unknown
Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Joseph amejikuta akiaibika vikali kufuatia kudaiwa kunaswa akiwa na mwanamke mwingine ilhali yeye ni mume wa mwanamke aitwaye Sophia.
Kwa mujibu wa mashuhuda, aibu hiyo ilimkuta Joseph, Februari 14,
mwaka huu (Siku ya Wapendanao Duniani) kwenye Kitongoji cha Nyihongo
wilayani Kahama, Shinyanga wakati wadau mbalimbali walikuwa kila mtu na
wake.
Mashuhuda waliliambia Amani kwamba, Joseph ni fundi ujenzi na siku ya
tukio alinaswa kwenye nyumba inayojengwa na yeye lakini ikiwa bado
kumalizika.
February 19, 2015
Unknown
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji kwa tuhuma za kununua
machangudoa katika eneo la Buguruni Rozana jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao waolifikishwa Jumanne ya wiki hii katika mahakama hiyo ni
Antidius Severian (25), Yaham Mihamed (24), Ally Hassan (35) na Mohamed
Hamis (27).
February 19, 2015
Unknown
Zari Ameweka picha hiyo na kuandika maneno haya ..Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo, xoxo...#QueenTingz..
February 19, 2015
Unknown
Bi
harusi mmoja kaskazini mwa India, alijikuta kwenye wakati mgumu siku ya
ndoa, kisa ni ugonjwa wa mume wake mtarajiwa ambao yeye hakujua kama
bwana huyo anaumwa.
Haikuwa siku nzuri kwa bwana harusi, ana tatizo la ugonjwa wa kifafa na tatizo hilo likamkuta siku ya ndoa yake na bibie Indra.
February 19, 2015
Unknown
Ukiwa kiongozi kwenye nafasi yoyote
lawama huwezi kuzikwepa, tumesikia wananchi wakilalamikia matumizi
mabaya ya fedha yanayofanywa na viongozi, hizi lawama haziko bongo peke
yake kuna hii kwenye headlines za India.
Waziri mkuu wa India Narendra Modi kununua suti ya gharama ambayo aliivaa kwenye mapokezi ya Rais Barack Obama alipotembelea
India mwezi January nayo imekuwa ishu! headlines za vyombo vya habari
India zimeandika kuhusu wananchi kulalamika gharama za suti hiyo, eti
wanadai gharama haziendani na maisha ya wananchi wanavyoishi.
Tuesday, February 17
February 17, 2015
Unknown
Ikiwa ni couple inayozungumziwa na kufuatiliwa zaidi kwenye bongo fleva, Diamond na Zari the boss lady walitumia siku ya wapendanao visiwani Zanzibar kwa kula #GoodTime sehemu tofauti. Zari na Diamond walionekana kwenye sehemu marufu ya chakula kitamu cha Zanzibar #Forodhani wakichagua vyakula tofauti ikiwa ni mara ya kwanza Zari anafika Zanzibar.
Hizi picha zao pamoja weekend hii.
February 17, 2015
Unknown
Miongoni
mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya
Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la
wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko
Bangkok, Thailand.
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
February 17, 2015
Unknown
Tukio la kurushiana risasi kati ya polisi wakishirikiana na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya watu wanaosadikiwa kuwa majambazi au magaidi limeacha maswali 10 muhimu yanayolifanya lionekane lenye utata.
Mpaka sasa hakuna taarifa za kina juu ya tukio
hilo lililotokea siku nne zilizopita na kusababisha kifo cha mwanajeshi
na wapiganaji wengine zaidi ya sita ambao hawajajulikana kujeruhiwa.
February 17, 2015
Unknown
Serikali imetoa taarifa rasmi kuhusu uhalifu uliotikisa mkoani Tanga, ikisema hali ni shwari na umma wa Watanzania upuuze taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikitia hofu.
Aidha, imesema watu kadhaa wanashikiliwa wakihusishwa na uhalifu huo.
“Tunawashikilia
ila mpaka sasa siwezi kukueleza idadi yao na kwamba ni wa kikundi cha
ugaidi au la. Hao watu tunafanya nao mahojiano ili kuweza kuelewa kama
wanahusika kwenye tukio hilo,” alisema Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki.
February 17, 2015
Unknown
Leo February 16 kwenye show ya Mkasi kulikuwa na Interview na Mwandishi wa Habari Jerry Muro, mengi kayazungumzia ikiwemo kuhusu familia, kazi yake na kesi za rushwa, pamoja na mapenzi yake na timu ya Yanga yalikoanzia.
Alichokijibu kwanza kuhusu familia; “Nna
mke.. watoto hapana, ni suala la muda na wakati kujipanga. Hawa ambao
wana watoto sasa hivi hawakukosea lakini hata ukiangalia mfumuko wa
watoto wengi Panya Road wametoka wapi. Mtoto akipatikana kwa wakati
sahihi na ukimleta duniani kwa malengo sahihi hawezi kwenda kuwa Panya
Road“
February 17, 2015
Unknown
Mhubiri mmoja huko Brazil, Alex Novais de Brito
aliyekuwa akifanya mahubiri kwenye mazishi ya muumini wake amejikuta
akishindwa kumaliza ibada hiyo baada ya udongo wa kaburi kudidimia na
kufanya Mchungaji huyo na waumini wengine watatu kudumbukia kwenye
kaburi.
Hilo lilitokea kwenye makaburi ya Campo da Esperanca wakati kukifanyika ibada ya mazishi.
Watu wawili walipelekwa Hospitali ya
jirani ili kutibiwa majeraha madogo waliyoyapata baada ya kuanguka,
watu
walichanganyikiwa baada ya kutokea tukio hilo, Mhubiri huyo alijikuta
kwenye wakati mgumu na kushindwa kumalizia ibada.
February 17, 2015
Unknown
aliyekuwa rais wa serikali ya wanafunzi bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi Kituo cha Selander Bridge baada ya kudokoa kiasi cha shilingi 31 Milioni kwa kufoji saini ya Dean of students.
Wizi huo uligunduliwa na makamu wake wa Rais ndugu Godfrey Modest (Pichani na Mheshimiwa Rashid) ambaye sasa anachukua nafasi ya Urais wa COBESO.
Baada ya polisi kufanya upekuzi nyumbani kwa mtuhumiwa, kiasi cha milioni 16 na ushee zilikutwa ndani kwake.
Sunday, February 8
February 08, 2015
Unknown
ENDAPO ulinzi binafsi na wa kazini hautaimarishwa
kwa majaji, uwezekano ni mkubwa wa watu wabaya kuwavamia ofisini na
kuwapiga risasi kwa sababu ya hukumu zao za kunyonga au kufunga watu
jela maisha, Risasi Jumamosi limebaini.
Hilo limekuja kufuatia chanzo kimoja toka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kupiga simu kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers na kusema anasikitika kuona majaji, licha ya kutoa hukumu nzito zinazowaumiza watu lakini hawana ulinzi wa maisha yao.
Hilo limekuja kufuatia chanzo kimoja toka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kupiga simu kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers na kusema anasikitika kuona majaji, licha ya kutoa hukumu nzito zinazowaumiza watu lakini hawana ulinzi wa maisha yao.
February 08, 2015
Unknown
Inapotokea
hali ya kutoelewana katika uhusiano ni mara chache sana wote wawili
kukubali kwamba uhusiano huo ufike mwisho, lakini mara nyingi mmoja yao
huwa hakubaliani kirahisi na uamuzi huo.
Mwanamke mmoja China, Azuha Kikuchi amekamatwa baada ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Yuji Hirata ambaye walikuwa wanaishi jengo moja kwa kumchoma kisu kifuani.
February 08, 2015
Unknown
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.
Katibu mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde
aliliambia gazeti hili wiki hii kuwa “usahihishaji umekamilika na baraza
lipo katika uchambuzi wa kuyapanga na tutakapokamilisha tutayatangaza”.
Alipoulizwa ni lini hasa matokeo hayo
Tuesday, February 3
February 03, 2015
Unknown
NI shida! Wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita
walijikuta wakishinda nje ya nyumba moja ya kulala wageni iitwayo
Kilimahewa Guest House baada ya kuwepo taarifa za watu wawili, mtu na
mpenzi wake kunatana baada ya kudaiwa kufanya mapenzi majira ya asubuhi.
Mwananchi akitumia tochi kuwasaka uvunguni.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, taarifa za kuwepo kwa tukio
hilo zilisambaa kwa kasi na chanzo chake kinadaiwa ni mwendesha pikipiki
mmoja aliyetoa habari hizo.
Subscribe to:
Posts (Atom)