Wednesday, December 17


breakingnews1 
Taarifa ambayo imetolewa kupitia Clouds FM mchana wa December 17 ni kuhusu kifo cha aliyekua Mmnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kufariki dunia.
aishamadinda 
WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MH HAWA GHASIA.

Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita
wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi
wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa
uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika
tarehe 14, mwezi huu.

Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti
iliyoibua madudu yaliyofanyika katika
uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema
uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya
Kikwete.

Beats By Dre
Dapo Daniel Oyebanjo a.k.a D’Banj amekuwa Balozi wa bidhaa za Beats by Dre kwa upande wa Afrika kwa miezi kadhaa sasa, dili linalomfanya aongeze ile mirija ya kujaza akaunti zake za Benki Naira nyingi tu kila mwezi.
Beats by Dre zina heshima yake kubwa sokoni kwa sasa, najua unajua hilo, kingine ni kwamba kuna zile special ambazo huwa zinatengenezwa chache na maalum kabisa, mtu ambaye anaweza kupewa labda ni Balozi wao au mtu mwingine maalum kama zawadi, kama ikitokea zikiuzwa basi bei yake huwa ni bei maalum vilevile.
Katika zile special ambazo zimewahi kutolewa kwa Balozi D’Banj, aliwahi kumpa zawadi ya aina hiyo Iyanya wakiwa Airport Nigeria, baada ya hizo taarifa ikufikie kwamba safari hii zali hilo limemuangukia Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan.
Kaweka picha Instagram (iambangalee) akimvalisha Mr. President mzigo huo, mitandao ya Naija haikukosa neno, wanasema eti Rais alionekana kama hakuipokea poa hii ya kuvalishwa headphone hizo, huenda Balozi huyo alikiuka protocol labda.
Aliandika hivi kwenye post hiyo; “Merry Christmas Mr President with Love from@iambangalee and @Beatsbydre OooSssHhhEee“– @iambangalee
Cheki tukio zima hapa.
DBanj-600x600
DBanj1-600x60017-564x372

Sunday, December 14

wedding-cake-lovely-minimalist-modern-two-tier-black-and-white-wedding-cake-with-gorgeous-red-roses-topper-extraordinary-modern-wedding-cakes-collection
Sherehe moja kubwa ya harusi iliyopangwa kufanyika Turkana, Kenya iliingia majonzi makubwa saa chache kabla ya sherehe hiyo kufanyika.
Binadamu tumekuwa tunapanga mengi kwenye maisha wakati Mungu anapanga yake pia, yale yote yaliyopangwa kufanyika siku ya Harusi hiyo ikiwemo kukata keki pamoja na burudani ya waimbaji wa kwaya, ililazimika yafanyike siku ya msiba wa Peter Eroo
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
Ni stori ya kusikitisha sana! Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kaskazini mkoani Lindi kwa ‘leseni’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kati ya mwaka 2005 hadi 2010, Dk. Samson Mpanda, amesimulia jinsi alivyopata upofu akiwa kwenye nafasi yake ya ubunge, tatizo ambalo lilimuanza mwaka mmoja tu baada ya kuchaguliwa na kuanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.

Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kaskazini mkoani Lindi kwa ‘leseni’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kati ya mwaka 2005 hadi 2010, Dk. Samson Mpanda (kulia) akiwa na kaka yake.
Akisimulia mkasa huo wa kuumiza mbele ya waumini wa Kanisa la The Revelation
Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando wakati akifanya yake.
STORI: Mwandishi Wetu
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa.
Mapema wiki hii, chanzo kimoja kilipiga simu katika chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari hiyo, kwamba, Rose ambaye hana mume, amenasa na muda wowote kuanzia sasa anaweza kuitwa mama.
KUMBE
Madai ya chanzo hicho yalieleza kwamba, staa huyo amekuwa akijichimbia nyumbani kwake mkoani  Dodoma tofauti na siku za nyuma ambapo alikuwa hakauki jijini Dar.
Sex  with dolphin
Najua utapata maswali mengi ya kujiuliza inakuwaje mpaka binadamu anabakwa na papa? alikuwa anafanya  nini mpaka papa akafanikiwa kumbaka wakati zile za story za kufanya mapenzi na mbwa zimekuwa za kawaida kabisa.

Habari iko hivi nchini Cuba kulikuwa na mchezo unahusisha watu kupigwa busu na papa aliyeko kwenye maji,yaani unasogea karibu na maji halafu papa anaruka nakuja kukubusu

MEBAINIKA kuwa ndani ya tasnia ya filamu Bongo kuna baadhi ya wasanii wanaofanya mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga, Risasi Mchanganyiko limenyetishwa.
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Hilo limeibuka ikiwa ni siku chache baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museven, kupitisha sheria nchini mwake ya kupiga marufuku mavazi yasiyo na staha, uvunjifu wa maadili na mapenzi ya jinsia moja. 
Uganda ipo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiunganishwa na nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi na Uganda yenyewe.  
HABARI KAMILI
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vilivyomo ndani ya kundi hilo, baadhi ya wasanii wa kiume wanadaiwa kuwa ni mashoga, ingawa wanajifanya vidume vya mbegu. 
“Wapo mashoga na mabwana zao tunawajua ila sema sasa kwa sababu huna ushahidi wa moja kwa moja na hujamfuma kwenye tukio, unashindwa kumtaja,” alisema msanii mmoja wa kike, Bongo.  “Yule…(analitaja jina la msanii mkubwa) bwana’ke alifariki na sasa ana mwingine lakini ndani ya Bongo Muvi anaonekana kiwembe kwa sababu ana

Tuesday, December 2

Unamjua? Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Singa singa ambaye ni mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa IPTL, Harbinder Singh Sethi! (wa pili kulia) akielekeza jambo.
Harbinder ambaye ni singasinga anatajwa pia akidaiwa kuwa mfanyabiashara tapeli kufuatia vitendo vyake mbalimbali katika kumiliki makampuni na ukwepaji wa kodi ya serikali.
HISTORIA YAKE FUPI
Stori: Mwandishi Wetu HUKU moto wa upotevu wa fedha za umma katika akaunti ya Tegeta Escrow ukiwa bado unawaka kufuatia mawaziri wawili, mwanasheria mkuu wa serikali, katibu mkuu mmoja na Bodi ya Tanesco kutakiwa kuwajibishwa, mali zinazomilikiwa na vigogo waliochotewa fedha hizo usipime.
Moja ya ghorofa la kifahari katika maghorofa yanayomilikiwa na vigogo wa Escrow.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa wanaotajwa kunufaika na fedha hizo, unaonyesha kuwa, pamoja na mambo mengine, wanamiliki majumba makubwa ya kifahari, yakiwemo maghorofa katika maeneo mbalimbali ya mikoa, ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya na Morogoro.
Mmoja wa wanaotajwa (jina linahifadhiwa
1560Mch. Getrude Rwakatare.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God jijini Dar, Dk. Getrude Rwakatare amefunguliwa mashitaka katika Kituo cha Polisi Wazo Hill kwa uharibifu wa mali inayodaiwa ina thamani ya shilingi milioni 20.
Taarifa zilizopatikana katika kituo hicho zenye Jalada la Kumbukumbu WH/RB/9029/2014 UHARIBIFU WA MALI na kuthibitishwa na mlalamikaji aliyejitambulisha kwa jina la Grayson Justine, zinaeleza mchungaji huyo alivunja nyumba ya Grayson kwa greda hali iliyomfanya mmiliki huyo kuzimia na kulazwa Zahanati ya Mico iliyopo Wazo Hill baada ya presha kupanda.
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.PICHA|MAKTABA.


Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema pamoja na kutoa maazimio manane kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Bunge limefanya makosa ya kutozijumuisha Wizara ya Fedha na ile ya Viwanda na Biashara katika uchunguzi huo kwa kuwa nazo zinahusika.


Akizungumza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dar es Salaam jana, Jaji Warioba alitaja mambo manne aliyoyatilia shaka katika uamuzi huo wa Bunge, akisema yalilenga kulindana.


Mambo hayo ni msingi wa hukumu kwa watuhumiwa, wahusika wengine kutotajwa, mwingiliano wa mamlaka ya mihimili ya dola na wizara hizo kuachwa.


“Naona kama kulikuwa na namna fulani hivi ya kulindana. Uamuzi wa Bunge ulifikiwa kutokana na msukumo wa wananchi wa kutaka kujua hatima ya suala la escrow na IPTL, wahisani kusitisha msaada kwa sababu ya uchotwaji huo wa fedha pamoja na siasa, hasa zinazolenga urais mwaka 2015.”


Jaji Warioba alisema katika ripoti ya CAG na PAC, wametaja ukiukwaji wa malipo ya kodi ya ongezeko la mtaji (capital gain) na ushuru wa stempu (stamp duty) na kuwa wanaohusika katika hilo ni Wizara ya Fedha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na upande mwingine ni Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) ambao uko chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara.
-