Thursday, October 30


10nnt 
Kutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Manento ambaye alikua akiishi Kigogo Dar es salaam na taratibu za mazishi bado zinaandaliwa ingawa mpaka sasa familia bado haijapanga wapi atapumzishwa Mzee Manent0.
Godfrey David Manent0 ambaye ni mtoto wa nne wa marehemu David Manent0 kwenye interview na millardayo.com amesema ‘Mzee wetu alikua akisumbuliwa na lishe ambapo hali hii ilianza baada ya mama yetu kufariki miaka miwili iliyopita‘
5nnt
Godfrey David Manento mtoto wa 4 wa marehemu Mzee Manento.
‘Si kwamba alikua hapati chakula, vyakula vilikuwepo vya kutosha lakini alikua anakosa mtu wa kumpa matunzo ya ndani ya nyumba kama mke kwa hiyo tangu afariki mama mzee alikua
condom
Mwanamke mmoja mwenye watoto watatu katika wilaya ya Kole nchini Uganda alimuandalia mumewe mlo wa mipira ya kondomu kufuatia ugomvi usiokwisha kati yao.
Mwanamke huyo ambaye ni mkaazi wa eneo la Arao aliripotiwa kununua paketi tatu za kondomu aina ya “Trust” kutoka duka jirani kabla ya kuzipika na kumuandalia mumewe kama chakula baada ya kurudi nyumbani akiwa amelewa chakari.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda, mwanamke huyo aliikata kata mipira hiyo ya kondomu ambayo ilikuwa haijatumika katika vipande vidogo vidogo na kuvichemsha kwa muda kabla ya kuvikaanga kwa mafuta ya kupikia na viungo vingine.
Waandamanaji wakilitazama bunge la Burkina Faso likiteketea kwa moto.
Waandamanaji hao wakishangilia baada ya kuchoma bunge.…
Gari la aina ya Lamboghirn gharama yake kwa hela za Tanzania ni Shillingi Billioni Moja na Nusu. Davis anakuwa Mtanzania wa kwanza kumiliki gari hili la kifahari ambalo ili ulinunue ni lazima uende kiwandani na kutoa order maalum tu na sio vinginevyo. Hata huko USA Star Mweusi wa kwanza na wa mwisho kulimiliki alikuwa ni Mike Tsyon miaka kama 15 iliyopita, lakini vinginevyo wengine wote wamekuwa wakiendesha kwa kukodi tu kutoka kiwandani na sio kulimiliki,
Diamond-alipanda-na-gwanda-za-jeshi (1)
Diamond akiwa kwenye moja ya show zake

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Rwekaza Mukandala amekanusha taarifa zilizozagaa zinazodai kuwa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz atatunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD) kutokana na mchango wake kwa jamii.

Akizungumza na paparazi huru, Prof. Rwekaza Mukandala ambae yupo nje ya nchi kwa sasa amesema taarifa hizo si za kweli ni uzushi tu.
Mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza jinsia yake akisema kuwa ''anajivunia kuwa shoga''..Bwana Cook alitoa tamko hilo ili kujaribu kuwasaidia watu wanaong'ang'ana kutangaza jinsia zao katika ripoti iliochapishwa katika gazeti la biashara la kila wiki la Bloomberg.Amekuwa wazi kuhusu jinsia yake,lakini pia amejaribu kuweka maisha yake katika
faragha hadi sasa alisema.Wiki hii Bwana Cook

Sunday, October 26

Iran Madam 
Reyhaneh Jabbari mwenye umri wa miaka 26 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtu mmoja ambaye alifanya jaribio la kumbaka.
Taarifa iliyoripotiwa na CNN inasema mwanamke huyo amenyongwa katika gereza la Tehrain, Iran ambapo alikuwa amefungwa baada ya kutenda kosa hilo mwaka 2007 wakati huo akiwa na umri wa miaka 19.
Mwanamke huyo amekutwa na hatia hiyo kutokana na kosa la kumuua aliyekuwa mfanyakazi wa wizara ya ulinzi na usalama nchini Iran, Morteza Abdolali.
Shirika la kimataifa la haki za binadamu
Jonas Nkya
John Nkya, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Morogoro
Taarifa zilizoenea mitandaoni saa chache zilizopita, zinahusiana na tukio la kurushiana risasi baina ya aliyekuwa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Dk. Lucy Nkya na mtoto wake

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu. 
Baada ya watu kuja na Ushahidi mbalimbali juu ya umri wake






Kama umefuatilia katika wiki hii kumekuwa na vuguvugu kali linaloendelea kati ya Mahasimu hawa wawili, sasa wengi wakiwa hawajui nini chanzo cha Bifu kubwa linaloendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba.


Imepita takriban miaka miwili tu baada ya kuingia mkataba na Times 100.5 FM, mtangazaji maarufu nchini Gardner Habash sasa yupo mbioni kuacha kazi katika kituo hicho.


Habari za uhakakika ambazo hazina shaka zinapasha kuwa mtangazaji huyo ataanza kazi mpya na kituo cha EFM 93.7 pia cha jijini Dar es Salaam.

Mula 
Mbulaine Mulaudzi ambaye alikuwa mwanariadha mahiri nchini Afrika Kusini amefariki kwa ajali akiwa safarini kuelekea Johannesburg kushiriki kikao cha wanariadha.
Rais wa chama cha kimataifa cha riadha (IOC) Thomas Bach amesema Mulaudzi alikuwa mwanariadha wa pekee ambapo anatajwa kuwa mmoja ya wanariadha na wanamichezo ambao Afrika Kusini itaendelea kuwaenzi kwa mchango mkubwa alioufanya kuiinua nchi hiyo katika ramani ya michezo. .

Thursday, October 23



MISS Tanzania 2014, Sitti Mtemvu juzi alilipua bobu la 2, baada ya kulazimisha safari ya kwenda kushiriki Miss World 2014 huku vigezo na masharti hasa yanayohusiana na cheti chake cha kuzaliwa yakipingana naye.
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya Ukumbi wa Ngorongoro katika Hoteli ya JB Belmont, Posta Mpya jijini Dar es Salaam, Sitti alisema ana miaka 23 kwa kuwa…
Stori:  Musa Mateja MISS Tanzania 2014, Sitti Mtemvu juzi alilipua bobu la 2, baada ya kulazimisha safari ya kwenda kushiriki Miss World 2014 huku vigezo na masharti hasa yanayohusiana na cheti chake cha kuzaliwa yakipingana naye.
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya Ukumbi wa Ngorongoro katika Hoteli ya JB Belmont, Posta Mpya jijini Dar es Salaam, Sitti alisema ana miaka 23 kwa kuwa alizaliwa mwaka 1991.
Pamoja na Lundenga kuweka wazi mchakato waliyotumia hadi kumfanya Sitti kuibuka na taji la Miss Tanzania 2014, bado kuna dosari za wazi ambazo zilijionesha kuwa mrembo huyo analazimisha safari hiyo kwani cheti chake cha kuzaliwa kinaonesha ana miaka 23 lakini namna cheti hicho kilivyotolewa ndiyo utata na ulazima ulipotokea.
Cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.
Baadhi ya waandishi walimuhoji Sitti juu ya cheti hicho ambacho kinaonesha kimetolewa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Uzamini (RITA), Septemba  9, mwaka huu, siku 32 tu kabla ya kutwaa taji hilo.
Swali ambalo lilitawala kwenye kikao hicho lilikuwa ni kwa nini cheti hicho kitoke ndani ya muda mfupi wakati anaonekana alikuwa akiishi nje ya nchi kwa muda mrefu, na kwamba huwezi kuishi nje ya nchi bila paspoti ambayo pia upatikanaji wake unatakiwa kuwa na cheti cha kuzaliwa alisema kilipotea!
Akaulizwa alitoa ripoti kituo gani cha polisi ili waandishi waende kuulizia, akagoma!

Mbunge wa Temeke, Mh. Abasi mtemvu.
“Mimi nadhani alichoongea Hashim Lundenga kinajitosheleza na zaidi naona mnanisakamasakama bila sababu ya msingi, nimechoka kuandamwa na vyombo vya habari pamoja na mitandao.
“Kama kuna mtu anaona cheti hakiko sahihi basi aende ofisi husika ili ajiridhishe juu ya hilo hata suala la kuniambia nina mtoto nafikiri mnaweza kwenda hospitali yoyote kuulizia hilo,” alisema Sitti.
..amekaa pembeni ili aweze kumfafanulia japo kwa ufupi juu ya mkanganyiko huo kama tangu alipomzaa Sitti hakuwahi kumchukulia cheti cha kuzaliwa hadi alipoamua kushiriki mashindano hayo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
“Mambo ya Sitti naomba muulize yeye maana ndiye mshiriki wa Miss Tanzania, mimi sijawahi kushiriki hata siku moja na hapa nimekuja kumleta yeye tu, hivyo siwezi kuzungumza lolote juu ya hilo, kikao hiki kimeandaliwa na Miss Tanzania na si ukoo wa Mtemvu,” alisema mama huyo.
Hili ni bomu la pili, la kwanza ni lile lwa kudai ana miaka 18 siku alipojitambulisha kwenye shindano hilo, Mlimani City, Dar na kuzua utata mkubwa kwenye jamii.



 VERONICA NA AFANDE MWENZAKE WAKIWA KWENYE MAHABA MAZITO


MTAALAMU MWENYEWE: MANAIKI SANGA THE DON AKIWA NA MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA TOKA ZANZIBAR MAARUFU KWA JINA LA DIDA AMBAE NI MTOTO WA MJANE WA MWISHO  WA RAIS WA KWANZA WA ZANIBAR MZEE KARUME

Ni aibu kubwa kuona mtu aliyekabidhiwa kuendesha akaunti ya twitter ya chuo kikuu cha Mzumbe hajui English. Nmeamua kusema hivyo baada ya kukutana na makosa mengi sana ya lugha kwenye akaunti hiyo. Ni Dhahiri kabisa mtu anayeendesha akaunti hiyo haijui kabisa lugha hiyo. Nmeanza kupata hisia mbaya kua inawezekana ile imani ya watu kupeana kazi kinyemela ndo imepelekea yote haya kutokea. Hebu soma baadhi ya Tweets zilizopo kwenye akaunti hiyo kisha nipe maoni yako. mzumbe 2 mzumbe
Jeneza la Kiti 
Kuna taarifa ambazo kama ukibahatika zikakufikia, zinaweza kukuacha kinywa wazi ama kukushtua kwa namna fulani.
Stori ambayo nimeipata hivi punde kutoka 254 Kenya inahusiana na mazishi ya aina yake ambapo familia moja imefanya mazishi ya mzee wao aliyekuwa akifahamika kwa jina la Adriano Aluchio anayetajwa kuwa mzee wa kuheshimika kwenye jamii hiyo akiwa amekaa ndani ya jeneza lilichongwa kwa namna ya kipekee tofauti na ilivyozoeleka.
Baadhi ya watu waliohojiwa kuhusiana na tukio hilo wamesema ni utamaduni wa ja
.
Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuanzia jana (tarehe 21 Oktoba) meneja wa msanii huyo Babu Tale amekua akihojiwa na polisi mpaka alipoachiwa kwa dhamana mapema leo saa 5.
Vile vile msanii Diamond aliripoti polisi mapema leo kwa ajili ya kuhojiwa, ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana pia jioni hii.
Hizi ni picha zikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
 
Kituo kimoja cha televisheni nchini Marekani kinachorusha kila siku kipindi cha mhubiri Pat Robertson kiliomba radhi Jumatatu kwa madai yake potofu kwamba wasafiri wanaokwenda Kenya wanaweza kupata maambukizi ya Ukimwi kwa njia ya taulo.

"Dr Robertson alikosea kusema juu ya uwezekanao wa kupata Ukimwi kwa njia ya mataulo," kimesema kituo cha Utangazaji cha Kikristo, CBN, katika mtandao wa Facebook.
"CBN imegundua mara moja kosa hili na kuondoa kauli hiyo kutoka kwa maktaba ya mtandao huo. CBN inaomba radhi kwa mkanganyiko wowote."
Mhubiri huyo mwenye umri wa miaka 84, mwinjilisti mkongwe ameonya katika kipindi chake cha "700 Club" cha Oktoba 16 kwamba wasafiri watalazimika kuchukua tahadhari ya hali ya juu ya kiafya wawapo nchini Kenya.

Tuesday, October 21




Kamati ya Miss Tanzania leo inatarajiwa kuelezea ukweli juu ya sakata la kudanganya umri la mshindi wa taji hilo mwaka huu, Sitti Mtemvu.

Mratibu wa shindano hilo Hashim Lundenga amesema kamati yake itaelelezea taarifa ambazo walikuwa nazo kuhusiana na mrembo huyo na matokeo ya uchunguzi baada ya taarifa nyingi zilizoibuka.

Ebola Survivors 
Taarifa kuhusiana na Ebola zimekuwa zikichukua headlines kila siku katika vyombo mbali mbali vya habari duniani, tangu uliporipotiwa kulipuka huko Afrika Magharibi.
Mlipuko wa Ebola umeelezewa kusababisha vifo na maambukizi kwa watu wengi zaidi, kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, ambapo vifo zaidi ya 4000 vikiripotiwa katika nchi za Afrika Magharibi, na wagonjwa zaidi ya 9000 wakiugua kutokana na maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.

Aron Kihundwa akiwa mahututi hospitali kabla ya kifo chake.
Marehemu Aron Kihundwa enzi za uhai wake.

INAUMA sana! Baadhi ya ndugu waliokuwa wakiuaga mwili wa Aron Kihundwa (28) kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar walijikuta wakidondoka na kuzimia kufuatia uchungu wa kumpoteza mpendwa wao huyo aliyedaiwa kuuawa na Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Octavian Mgowele.
Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita na kumfanya Mchungaji  Elaina Msuya wa Kanisa la KKKT aliyekuwa akiongoza misa ya kumuombea marehemu huyo, kuingilia kati na kusema mwili usiendelee kuagwa ili kuzuia watu kuzidi kuzimia.
Komandoo Octavian Mgowele mwenye cheo cha Luteni wa Kikosi cha 94 KJ Ngerengere, Morogoro, Oktoba 13, mwaka huu alidaiwa kumuua Aron kwa kumpiga kipigo kibaya.
Tukio hilo lilidaiwa kutokea kwenye baa iitwayo Mbondela iliyopo Yombo - Buza maeneo ya Kipera, jijini Dar kwa madai kwamba alikuwa akimbughudhi mke wa komandoo huyo.
Taarifa toka kwa mtu aliyekuwepo kwenye baa hiyo zinasema siku hiyo mjeshi huyo alikaa meza moja na mkewe ambaye alitoka kufunga naye ndoa jana yake. 
Pia kwenye meza hiyo  alikaa Aron huku wakiendelea kunywa bia ambapo mnunuaji mkuu alikuwa komandoo.
Ikadaiwa kuwa, kuna wakati komandoo alikwenda kaunta aliporudi alishangaa kumkuta mkewe amehama katika kiti alichomuacha.
Chanzo hicho kikaendelea kusema komandoo huyo alimuuliza mkewe kisa cha kuhama kiti, naye akamjibu; si huyu rafiki yako ananisumbua.’
Pi kuna taarifa zinasema kuwa kijana huyo alidaiwa kumshika kiuno shemeji yake ndiyo maana akahama kwenye kiti. 
Wakati huo, marehemu alikuwa anauchapa usingizi kutokana na kulewa.
“Marehemu akiwa usingizini alishtukia komandoo akimwadhibu bila kujua sababu ni nini hadi akamjeruhi.
”Baada ya kumpiga sana hadi kumjeruhi tulimchukua marehemu na kumpeleka Kituo cha Polisi Chang’ombe (Dar) na kupewa PF3, tukamkimbiza Hospitali ya Temeke,  ilipofika saa kumi usiku wa kuamkia kesho yake alifariki dunia.
“Aron ni rafiki yake sana komandoo, hata siku ya ndoa yake, yeye ndiye aliyempambia gari la harusi na ukumbi. 
Siku ya tukio ilikuwa ni sherehe ya kuvunja kamati.
“Hatujajua ni kwa nini komandoo aliamua kumpiga Aron kiasi kile, mambo ya kuambiwa na mwanamke siyo ya kuyafanyia kazi kama haukushuhudia ama hauna uthibitisho,” alisema shuhuda huyo.

Marehemu Aron alizikwa Oktoba 18, mwaka huu kijijini kwao Kyengia Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

 Stori: Makongoro Oging’na Haruni Sanchawa

Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar,
amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack
wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.Tukio hilo lilitokea Jumanne
iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na
mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha.
Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda
katika shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha rafiki
yake na kufanya mchezo wa kikubwa.
Wapangaji wenziye na Jack wamedai kuwa, m

Imefahamika
kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa
makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual
yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na
wanaume pia. Habari hizo kutoka huko jela zinasema kwamba msichana huyu
wa kibongo ambaye ameishi huko kwa muda wa T

‘Beautiful Onyinye’ na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni
mjamzito. Baada ya misukosuko ya muda mrefu ikiwemo kuporwa na wasichana
wenzake penzi lake la Diamond, sasa Wema amepata kile alichokuwa
akikililia kwa muda mrefu…. Chanzo cha habari hii kutoka kwa
marafiki wa Diamond kimedai kuwa Wema amenasa ujauzito na kugundulika
hivyo walipokuwa Afrika Kusini kwenye tuzo za MTV-MAMA na kumfanya
Diamond achanganyikiwe kwa furaha….

Sunday, October 19


Moja kati ya majeneza yaliyohifadhiwa miili ya marehemu yakitolewa ndani ya chumba hicho.Chanzo cha kuaminika kimeeleza kuwa wawili hao ambao walikuwa wakifanya kazi katika baa iitwayo Mashua iliyo ndani ya Slipway, huku mwanamke, aliyetajwa kwa jina la Hotsan, akiwa ndiye Meneja, walikutwa chumbani kwao wakiwa wamefariki baada ya kutoonekana kazini tokea Jumanne, siku ambayo Watanzania walikuwa wakikumbuka miaka 15 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. 

Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.

 
bmw 2 
Ni wiki zinahesabika toka staa wa bongofleva Nay wa Mitego apate namba mpya ya gari lake inayoendana na ile ambayo amekua akiitaja kwenye nyimbo zake na kwenye page zake za mitandao ya kijamii. #966
Stori nyingine ya leo ni kutoka kwa staa mwingine wa bongofleva ambae kila anaefatilia huu muziki hapa bongo anamfahamu, ni yuleyule ambae amevunja rekodi ya kuwa staa pekee wa Tanzania alieandikwa sana kwenye mitandao ya kijamii na magazetini kwa miaka miwili mfululizo.
Ni Diamond Platnumz ambae kwenye birthday yake hivi karibuni management yake ilimzawadia gari aina ya BMW X 5 ambapo inaaminika amechukua namba hizi kwa ajili ya mkoko wake aliozawadiwa……….. atakua msanii wa kwanza kuweka jina lake badala ya namba kwenye gari.
Utaratibu wa kuweka majina badala ya namba umeanza kutumika kihalali nchini Tanzania ambapo watu mbalimbali wasio maarufu walishaanza kujiwekea miezi kadhaa iliyopita ambapo ada yake ni milioni tano kwa miaka mitatu.

Monday, October 13

MFANYAKAZI wa kujitolea ambaye alitumia Paundi 5,000 (sawa na Sh 12,500,000 za Tanzania) kumleta mkewe mpya kutoka Jamaica hadi Uingereza amejikuta akiumizwa moyo baada ya mke huyo kumuacha dakika 20 tu baada ya kufika nyumbani kwa mumewe.

Johnny Gannon alitumia maelfu ya fedha kumtafutia Visa Patrice Chambers (24) ili waweze kuishi kama mke na mume katika nyumba yake iliyopo Perth, Scotland, lakini mara tu baada ya Patrice kuwasili Perth, alimtuma Gannon (57), kwenda kununua chakula.

Hata hivyo aliporudi msichana huyo alinyakua mabegi yake na kumwambia anaondoka. Dakika 20 baada ya kuwasili nyumbani kwao, msichana huyo alikimbilia kwenye gari na kisha kupanda treni na kutokomea.

Mumewe amegundua pia Patrice amemwachia bili ya paundi 500 ( sawa ni Sh 1, 250,000)katika simu yake ya mkononi.
Untitled 
Kijana wa miaka kumi na 19 anayeitwa Jamal Nasiru kutoka Nigeria amekamatwa na chombo cha dola kinachohusika na kudhibiti ukabaji (SARS) baada ya kukiri kunywa damu ya ng’ombe kabla ya kufanya kazi yake ya uporaji na ukabaji.
Kijana huyu alikiri kutumia damu hiyo kumsaidia kumlinda yeye na kundi lake kila wakitaka kufanya kazi zao za uporaji, vijana hao walikamatwa baada ya damu hiy

Staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akiwa na staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’.
 Kutoka moyoni! ‘Ubuyu’ mpya mjini ni madai ya staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akilitamani penzi la staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’.
MNIGERIA ABEMBELEZA

Habari kutoka kwa vyanzo makini zilidai kwamba, Mnigeria huyo amekuwa akiwasiliana na kumbembeleza Jokate usiku na mchana akiomba wawe pamoja kwa jinsi moyo unavyomtuma.
Ilidaiwa kwamba hivi karibuni, Ice Prince anayekimbiza na ngoma yake ya I Swear amekuwa akitumbukiza vipande vya video kwenye ukurasa wake wa kijamii wa Instagram akimsifia Jokate ambaye anapendelea zaidi kumwita Kidoti.

ICE PRINCE: I MISS YOU KIDOTI!
-