Saturday, August 30

Okey.  Betty alikua schoolmate wangu Majengo sekondari, baadae akaenda UDOM nami SAUT.
Nimeona baadhi ya maswali yaliyojitokeza na possibly Kuhusu alipookotwa Betty ni Mikocheni. Kuhusu utaratibu wa kuagwa ni LEO Muhimbili, kuhusu maziko yatafanyika Dodoma. Kuhusu waliokua wanamharass kwny social media ni pamoja na Diva wa Clouds fm (nimeattach post ya Diva inayoonesha as if kafurahia kifo cha Betty).

Kuhusu umaarufu alikua mwanamitindo wa Swahili fashion together with Mustapha Hassanali na Jokate Mwegelo. Na ofcoz alishaanza kuwa maarufu kwny hayo mambo ya mitindo.

Anyway kama mnataka kujua umaarufu wake alikua mwanamitindo wa Swahili Fashion na partners wake wakiwa Mustapha Hassanali and Jokate Mwegelo.

Waliouliza may be sio wafuatiliaji wa masuala ya fashion ndo maana hawamjui, but wengi



WAKATI NAINGIA FACEBOOK KITU CHA KWANZA KABISA KUKUTANA NACHO NI HII MAKALA KUHUSU BETTY,,BAADA YA KUISOMA NIKASEMA MAYBE NOW WATU WATAELEWA MADHARA YA CYBERBULLYING NA INASKITISHA KUWA KIFO CHA MTU NDO KIWE MFANO KWANINI LAKINI,,

YAANI HILI NDIO TAIFA LA KUJIVUNIA KUWA HIVI NDIVYO TUMEKUWA KWELI??JE HUYU ANGEKUWA MTOTO WAKO,AU NDUGU SASA HIVI UNAJISKIAJE WAKATI NA WEWE PIA NI FOLLOWER WA MAPAGE KIBAO HUKO INSTANGRAM,,AMKENI NA MBADILIKE HUYU NI MTOTO SANA KUPOTEZA MAISHA YAKE KIUKATILI HIVI,REST IN PEACE BETTY NDEJEMBI!!

kapumzike kwa amani na uwasemehe walioshindwa kukuface na kukwambia kama umewaudhi bali wakachukua hatua nyengine na kufanya ukatili

jamani msifikiri kila mtu yuko strong binadamu tunatofautiana istoshe huyu dada akuwa na wazazi na sometimes wazazi wetu plays a big part kwenye maisha yetu,,yaani kaniuma huyu mtoto utadhani namjua but haina haja kiubinadamu WE FAILED YOU BETTY,,


1 
‘Ni kweli tumepokea Watoto watatu ambao ni wachanga wakiwa na kilo 1.7 na 1.8 kutokea Misungwi, mama yao alifariki muda mfupi tu baada ya kujifungua na chanzo ni maamuzi yake ya kukataa kupewa matibabu yanayohitajika ambayo ni kufanyiwa Opareshen’
‘Aliweka saini kabisa ya kukataa kufanyiwa opareshen ili ajifungue kwa kutumia njia hiyo hivyo ikabidi ajifungue kwa njia ya kawaida ambayo ilimfanya atokwe na damu nyingi sana na ndicho kilichosababisha kifo chake’ hizi ni sentensi za mwanzo kutoka kwa Dr. Baraka Malegesi wa hospitali ya Bugando ambao ndio imewahifadhi hawa watoto kwa sasa.
Akihojiwa  Dr. Malegesi ameendelea kusema ‘tumewapokea watoto na bado tuko nao hapa tunawahudumia vizuri wako na mama yao mdogo lakini hali ni ngumu kwa sababu maisha ni magumu kwake na tumejitolea hospitali kuwapa maziwa lakini gharama ni kubwa kwa sababu wiki ni zaidi ya elfu 70
34 
Siku hizi ishu ya kuvua nguo kuonyesha msisitizo au kulipigia kelele jambo flani imekua kawaida, yani wengi wameitumia hii njia kufikisha malalamiko yao na mfano mzuri ni hivi karibuni kwa Wanafunzi wa kike kwenye shule ya sekondari ya Wasichana Tabora Tanzania kubaki nusu uchi kwa nia ya kupigia kelele matatizo ya shule ikiwemo maji.

Nchi jirani ya Kenya matukio kama haya yamekua mengi pia lakini hawa ndio wamechukua headlines kwa kuwa Wanamuziki wa kwanza kuandamana kwa aina hii.
Ripota wa TZA Kenya Julius Kepkoich amesema Wasanii hawa waliandamana nje ya ofisi za Nation Media Nairobi wakiwa nusu uchi kulalamikia nyimbo zao kutochezwa na vyombo vya habari.

Friday, August 29

Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni kiboko,salaleeeeee
cheki conversation nzima ilivyokuwa!!



Pichani ni Mchungaji, Israel Mwakifuna, wa Kanisa la Jeshi la Bwana(JB)lililopo Nzovwe jijini Mbeya 
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, ambapo wananchi wengi wanaamini Mchungaji ni sehemu ya kukimbilia kueleza matatizo yao hususani migogoro ya kindoa, hali imekuwa tofauti jijini Mbeya.
Utata umeibuka baada ya Mchungaji, Israel Mwakifuna, wa Kanisa la Jeshi la Bwana(JB)lililopo Nzovwe jijini Mbeya amefikishwa katika Mahakama ya mwanzo ya Iyunga jijini Mbeya akituhumiwa  kuishi na mke wa mtu ambaye ni muumini wake.
Mchungaji huyo alifikishwa juzi mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Iyunga, Nuru Lyimo akisaidiwa na Washauri wa mahakama Edson Mbeba na Rehema Haonga.
Kesi hiyo ya madai namba 51/2014 imepelekwa mahakamani hapo na  William Daimon Mwasubila(23)mkazi wa Nzovwe ambapo imedaiwa mahakamani Mchungaji kuishi na mke wake aitwaye Helena Mkea(21) kwa muda wa miezi minne sasa.
Mlalamikaji katika Kesi hiyo, Mwasubila aliiambia mahakama kuwa alikuwa akiishi na mkewe bila tatizo lakini matatizo yalianza pindi mkewe aliposhika ujauzito na kuamua kwenda kwa wakwe zake kwa matazamio baada ya mapishano yaliyodhaniwa kusababishwa na ujauzito hali ambayo alikubali.
Mwandishi Wa Makala Happiness Katabazi
-------
KATABAZI : NIMEACHA  KAZI GAZETI LA TANZANIA DAIMA
: KWASASA NI OFISA  HABARI CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB)

MIMI  Happiness Thadeo Katabazi (35), Leo Agosti 29 mwaka 2014 ndiyo siku yangu ya mwisho ya kufanyakazi Katika Gazeti la Tanzania Daima.

Nimeachakazi kwa Hiari yangu    katika Gazeti la Tanzania linalotolewa na kampuni ya Free Media  Ltd  kwasababu Agosti  Mosi Mwaka huu,niliwasilisha notisi ya kuacha Kazi   na ombi  hilo lilikubaliwa na waliokuwa wakubwa wangu  wa Kazi.

Kwa heshima na taadhima napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu Kwani alinipa Afya,Nguvu na maarifa nikaweza kulitumikia Gazeti la Tanzania Daima kwa Miaka nane sasa  kwa uaminifu na uadilifu wa Hali ya juu.
MAPENZI bwana! Baada ya kuogelea kwa muda mrefu katika penzi la muigizaji Kajala Masanja, hatimaye shemeji wa aliyekuwa rafiki wa mwigizaji huyo, Wema Sepetu, Ahmed Hashimu ‘Petit Man’ ametangaza ndoa na dada wa Mbongo
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul.
Dada wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul akila ujana na Ahmed Hashimu 'Petit Man'.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilicho karibu na Diamond na Wema ambao penzi lao lilipata ‘mushkeli’ kidogo hivi karibuni, Petit Man tayari ameshakamilisha kila kitu kinachotakiwa kufanyika kabla ya ndoa na kilichobaki ni kutamka siku husika tu.

Former Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara la Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling (Inasemekana ndio rasta maarufu zaidi Tanzania), harusi yake ilikuwa njiani kwenye matayrisho makubwa huku Mchumba wake akihaha huku na kule kutayarisha harusi yao, majuzi akamuaga anakwenda kumuona Dada yake na atalala huko huko, kesho yake yaani jana haya ndiyo yaliyotokea mbebez amefariki kwenye ajali akiwa na bwana mwingine kabisa ambaye naye amefariki so mchumba sasa haelewi na haamini kama ni kweli alichosikia na kukiona kwenye picha hizi hapa chini!!
May Myat Noe
Mshindi wa mashindano ya taji la Miss Asia Pacific World, May Myat Noe, amevuliwa taji lake akisemekana ni mjeuri, hana hadhi na hastaili taji hilo.
May Myat Nwoe alivishwa taji lake mwezi Mei baada ya kufanyiwa upasuaji na kuwekwa matiti bandia kufuatia ombi la waandalizi wa mashindano hayo wa Korea.


Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa watu wengine. Lakini siku zote ninaamini katika busara hii: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli ni ukweli na uongo ni uongo. Ukweli hauwezi kuwa uongo, na kadhalika uongo hauwezi kuwa ukweli. Kamwe asilani.
Wakati tunaomboleza kifo cha ndugu yetu Betty Ndejembi hatuwezi kukwepa ukweli kwamba siku chache kabla

Wednesday, August 27

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima,
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Flora Mbasha akichat Live katika ukurasa wa Facebook wa EATV.

Taarifa kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini zinasema - kuwa panya walimng'ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua .

Mtoto huyo anasubiri kufanyia upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hilo huko Alexandra, Johannesburg .

Panya walimvamia Erena Yekanyi nyumbani kwao katika kitongoji duni cha Alexandra.

Wazazi wake wanasema kuwa hawana fulusi za kumpeleka hospitalini kwa matibabu anayohitaji kwa haraka baada ya kunga'twa jumatatu.

“nilikuwa nafua hapo nje naye Erena alikuwa ndani amelala.Mara nikamsikia akilia ndipo nikakimbia ndani kuangalia kulikoni ,,,nilimpata anafuja damu ''alisema mamake Thandaza.

Sasa mtoto huyo anasubiri kufanyiwa upasuaji ambao utaumba upya pua lake na pia vidole vitatu vilivyong'atwa .

Mamake anasema madaktari katika hospitali ya Charlotte Maxeke Academic Hospital wanasubiri achangishe pesa za kutosha operesheni hiyo.

Kulingana na ripoti hiyo tukio hilo sio la kwanza katika makazi hayo duni.

Inadaiwa kuwa watoto wengi na wazee wameripotiwa kung'atwa na panya hao wanaoonekana sio wa kawaida kutokana na kimo chao.

Msemaji wa mji wa Johannesburg Nkosinathi Nkabinde panya ni wengi katika mitaa hiyo kutokana na hali duni ya usafi.

Amesema kuwa kunamipango ya kuangamiza wanyama hao.



Kiungo mshambuliaji mpya wa Manchester United, Angel Di Maria ameandika barua iliyowasikitisha wachezaji na mashabiki wa Real Madrid.

Di Maria ambaye ametua Man United kwa dau la pauni milioni 60 ambalo ni rekodi England, amesema hakupanga kuiacha timu hiyo ya Hispania.
Mashabiki waliochangia kwenye mtandao wa Twitter wameelezwa kusikitishwa na barua hiyo huku wakiamini siku moja, Di Maria atarejea tena katika klabu yao.
Amesema wakati anakwenda kwenye Kombe la dunia baada ya kutwaa ubingwa wa Ulaya ‘La Decima’ akiwa na Madrid, alitarajia kurudi na kuendelea na kazi yake.
“Hata hivyo kuna mambo yalijitokeza, yakiwemo ya mshahara wangu na sasa natarajia kuyapata Manchester United, moja ya klabu kubwa duniani na nina imani nitaweka historia pale,” alieleza katika sehemu ya barua hiyo.
Di Maria ameeleza atakavyowakumbuka wachezaji wengi wa Madrid na maisha yao kwa ujumla.
Tayari Muargentina huyo amemalizana na Man United na baadhi ya wachezaji wa Madrid kama Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos, hawakutaka aondoke.
nb
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyonce wakiwa na mtoto wao Blue Ivy,Kelly Rowland,Chris Brown,Solange,Nicki Minaj,JLo,Usher,Iggy Azalea na wengine wengi.

Hizi ni picha kutoka ndani ya ukumbi uliofanyika tukio hilo.
2
real
Red Carpet ya VMA 2014 imetawaliwa sana na picha nyingi za mke wa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’. Model huyu alivaa nguo yenye muonekano wa cheni huku ikiacha sehemu kubwa na mwili wake wazi.
Hizi ni picha za mastaa waliopita kwenye red carpet ya VMA 2014 pamoja na washindi kwenye category mbalimbali.




“HII sasa ni kufuru!” Hivi ndivyo utakavyoweza kusema kwa Davies Mosha ambaye ni makamu mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, ambaye nafasi yake kwa sasa klabuni hapo inashikiliwa na Clement Sanga.
Kwa tafsiri ya haraka, yawezekana Mosha anaweza kuwa ndiye kiongozi pekee wa soka nchini kumiliki gari la kifahari na lenye gharama kubwa aina ya Lamborghini kama ambalo linamilikiwa na mshambuliaji wManchester United, Wayne Rooney.
Gari analomiliki Mosha ambalo lina rangi ya njano, linaaminika kuwa miongoni mwa magari yenye thamani kubwa siyo tu Tanzania na Afrika, bali duniani kote, kwani hata siku Rooney alipolinunua wenzake wengi hawakutegemea, siyo kwa sababu hana fedha, ila kwa kuwa hakuwa mtu wa matumizi ya magari yenye thamani kubwa kama hilo.
Mosha ameliambia Championi Ijumaa kuwa anamiliki magari kadhaa ya kifahari kwa matumizi yake binafsi na familia yake.

Kamanda Justus Kamugisha

Mtoto aitwaye Happiness Kashindye mwenye umri wa miaka 9 mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Negezi iliyopo kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga ameuawa kikatili kwa kubakwa kisha kutobolewa macho na watu wasiofahamika kisha mwili wake kutupwa kichakani.



Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana saa saba mchana katika kitongoji cha Kashampa kijiji cha Nhelegani kata ya Kizumbi ambapo mwili wa marehemu ulikutwa kichakani.

Serikali inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure. 
Rais Jakaya Kikwete, alisema hayo juzi katika mkutano wake na wanajumuiya ya Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho, katika ziara yake inayoendelea katika Mkoa wa Morogoro iliyoanza Agosti 20.
“Sasa hivi tunaangalia jinsi ya kufuta karo katika shule zetu zote za sekondari za Serikali, ili kuhakikisha kila mtoto anayeanza darasa la kwanza, awe na nafasi ya kumaliza sekondari kwa maana ya kidato cha nne, bila kulazimika kuacha shule kwa sababu ya ada.
“Tunaangalia kuondoa ada hii, ambayo wazazi wanalipa Sh 20,000 kwa shule za kutwa na Sh 70,000 kwa shule za bweni, ili watoto wetu waingie darasa la kwanza, na kwenda moja kwa moja hadi kidato cha nne bila wasiwasi wa kukwamishwa na ada,” alisema Rais Kikwete.
Kwa hatua hiyo, Rais Kikwete alisema mbali na kulenga kuinua elimu, pia itawapunguzia mzigo wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika shule hizo za sekondari za Serikali.

Saturday, August 23




Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka.

KWA UFUPI

Alipokutana na Stanley alikuwa na miaka 20 tu, alizaliwa mwaka 1851.

Wasomaji kadhaa walitaka kujua zaidi kuhusu Sewa Haji Paroo anayetambulika kama mtu wa kwanza aliyejitolea kuanzisha huduma za afya na elimu kwa faida ya watu wote bila kujali rangi, daraja la kiuchumi wala dini ya mtu yoyote.




Ikumbukwe kwamba Bagamoyo kabla ya 1900 ulikuwa mji maarufu sana na makao makuu ya kwanza ya Serikali ya kikoloni yalikuwa katika mji huo chini ya Deutch Ost Africa. Watu wengi wakiwamo wazazi wa Sewa Haji walifika Bagamoyo kutoka pande mbalimbali za dunia kutafuta maisha.



Sewa Haji Paroo anatajwa na Henry Morton Stanley mpelelezi na mwandishi wa habari kutoka Marekani mwenye asili ya Uingereza kama Soor Hadji Paloo katika kitabu chake kuhusu safari ya Kumtafuta Dk David Livingstone.



Kocha mkuu wa Yanga sc (katikati), Mbrazil Marcio Maximo amewasili kisiwani Unguja kuendelea kuiwinda ligi kuu Tanzania bara

Na Baraka Mpenja

BAADA ya kukamilisha programu ya mazoezi ya siku tano kisiwani Pemba, kikosi cha Yanga kimewasili kisiwani Unguja (Zanzibar) tayari kwa kumalizia siku nyingine tano zilizosalia.Yanga imeweka kambi ya siku 10 Zanzibar na tayari imekata tano ikiwa pemba ambapo ilicheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Chipukizi FC katika uwanja wa Gombani na kushinda bao 1-0.Bao hilo pekee lilifungwa na mshambuliaji Mbrazil Geilson Santos Santos Santana ‘Jaja’ katika dakika ya 6 ya mchezo.Katika mechi hiyo iliyokuwa ya kwanza kwa kocha mkuu, Mbrazil Marcio Maximo, Yanga ilitumia vikosi viwili tofauti kwa kila kipindi.
Road workers in the eastern China were given the task of widening a road in the city of Taizhou, in the Jiangsu Province. They were digging about 6 feet below the surface when they came across something completely by chance that no one was expecting to find.
They hit something solid while digging and after a bit of research they realized that they had actually hit buried tomb. It was time to call in professional archeologists to unearth and reveal this mystery. They found that the chamber was over 700 years old.

Here is the tomb after it was unearthed. A team worked together to open the box without disturbing the contents.


Here the team prepares to see what was inside for the first time after 700 years.

Thursday, August 21

NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake, Godfrey Nzowa nao wananyanyua miguu yao kumfuatilia, Amani limesheheni.

Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi.


Habari za kiintelijensia zilidai kwamba, kisa cha kikosi hicho kufanya hivyo kinadaiwa kuwa, serikali inamhofia kujihusisha na biashara hiyo haramu ya kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga’ nje ya nchi kwa kutumia kivuli cha kwenda kufanya shoo.
Akizungumza na wanahabari wetu jijini Dar, Jumatatu iliyopita, afisa mmoja wa ngazi ya juu wa kitengo hicho ambaye hakupenda kuchorwa jina gazetini, alisema Diamond amepewa maelekezo yote muhimu.

Brazilian supermodel Gisele Bundchen is the top-earning model of 2014, according to Forbes, with a whopping $47 million. Endorsement deals with companies such as Pantene and business ventures like a lingerie line helped her secure the top spot.  http://i2.cdn.turner.com/cnn/dam/assets/140819113442-gisele-bundchen-0819-horizontal-gallery.jpg


Doutzen Kroes is not only a Victoria's Secret model, she's the face of a Calvin Klein fragrance. That and other gigs add u

Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
 
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE.”
WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na wanawake wanaojiuza katika eneo maarufu kwa machangudoa la Sinza Africasana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' akitega 'mingo' kujiopolea machangu maeneo ya Sinza Africasana jijini Dar.

Wabibi anayetamba na kibao chake cha Kitenge kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga nchini, usiku wa saa saba alikuwa akivinjari katika viwanja hivyo, akichagua kama wafanyavyo wateja wa nguo dukani.

Mara baada ya kuonekana kwa msanii huyo katika viwanja hivyo, chanzo chetu ambacho ni kikereketwa cha maadili, kilipiga simu katika ofisi za Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kitengo kilicho chini ya Global Publishers saa saba usiku kikiripoti skendo hiyo ya aibu.

LAANA SASA!! DAKTARI APACHIKA CAMERA CHOONI KUCHUNGULIA WAGOJWA

Daktari aweka kamera za siri Chooni
Daktari mmoja aamua kufanya kile ambacho hakikutegemewa na wengi, kwa kupachika kamera kwa siri katika vyoo vilivyoko katika hospitali anayofanyia kazi na kufanikiwa kuwa chungulia wagonjwa wapatao 100 walipokuwa wakijisaidia na idadi hiyo ni watu wazima na watoto.
Dokta Lam Hoe Yeoh almaarufu Robin mwenye umri wa miaka 61 anayetokea BansteadSurrey,anatuhumiwa kwa makosa 30 yakiwemo makosa mawili ya kuchungulia watoto na kuwarekodi,na makubwa Zaidi ni yanayo karibia kua ya kingono.
Daktari aweka kamera za siri Chooni na kuwatizama zaidi ya watu 100
Inaelezwa kwamba alikamatwa mapema mwaka huu akiwa katika hospitali binafsi ya St Anthony iliyoko kaskazini . Hakimu anayeisikiliza kesi hiyo ameiahirisha mpaka September 16 mwaka huu wakati ambapo dokta Yeoh atakapoyakabili mashtaka,na yaelezwa dokta huyo anashikiliwa lupango.
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/08/laana-sasa-daktari-apachika-camera.html#sthash.GuNIBWfC.dpuf

LAANA SASA!! DAKTARI APACHIKA CAMERA CHOONI KUCHUNGULIA WAGOJWA

Daktari aweka kamera za siri Chooni
Daktari mmoja aamua kufanya kile ambacho hakikutegemewa na wengi, kwa kupachika kamera kwa siri katika vyoo vilivyoko katika hospitali anayofanyia kazi na kufanikiwa kuwa chungulia wagonjwa wapatao 100 walipokuwa wakijisaidia na idadi hiyo ni watu wazima na watoto.
Dokta Lam Hoe Yeoh almaarufu Robin mwenye umri wa miaka 61 anayetokea BansteadSurrey,anatuhumiwa kwa makosa 30 yakiwemo makosa mawili ya kuchungulia watoto na kuwarekodi,na makubwa Zaidi ni yanayo karibia kua ya kingono.
Daktari aweka kamera za siri Chooni na kuwatizama zaidi ya watu 100
Inaelezwa kwamba alikamatwa mapema mwaka huu akiwa katika hospitali binafsi ya St Anthony iliyoko kaskazini . Hakimu anayeisikiliza kesi hiyo ameiahirisha mpaka September 16 mwaka huu wakati ambapo dokta Yeoh atakapoyakabili mashtaka,na yaelezwa dokta huyo anashikiliwa lupango.
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/08/laana-sasa-daktari-apachika-camera.html#sthash.GuNIBWfC.dpuf

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN

Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.

Shoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke).
Maryam Iranfar, Sahar Mosleh wakiwa na nyuso za furaha baada ya harusi.
Imam Zahed (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wapenzi hao baada ya kuwafungisha ndoa.
WAKIWA nyuso za furaha, wanawake wawili, wananchi wa Iran, Sahar Mosleh na Maryam Iranfar hatimaye walifunga ndoa huko Stockholm, Sweden, kama mume na mke baada ya miaka tisa ya kuishi pamoja.
Wawili hao  waliikimbia nchi yao ya Iran ambayo ina sheria kali dhidi  ya mapenzi ya jinsia moja.
Ukiachana na umbali wa kutoka kwao hadi Sweden, madada hawa waliokutana kwenye mtandao walikuwa huru kufurahia siku yao hiyo kubwa huko Sweden ambapo harusi ilifanyika.
Maryam Iranfar ambaye ndiye mwanamme anatarajiwa kupata mtoto na Sahar Mosleh (mkewe) ambaye ana ulemavu wa mifupa, walifungishwa harusi na Iman Ludovid Mohamed Zahed ambaye pia ana mahusiano ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Imam huyo anayeishi  Afrika Kusini na ambaye ni raia wa Algeria anayefahamika sana katika jamii ya mashoga na wasagaji katika nchi za Kiislamu, alisema amefurahi kuona wanaharusi hao wakiwa na furaha na kufanya jambo zuri la kuamua kuishi maisha  huru katika nchi za watu.
“Nashukuru kwa harusi  nzuri kama hii iliyoniwezesha kuwabariki wanandoa hawa, ” alisema Imam huyo.
 Kama wangekuwa nchini kwao Iran ambayo ina sheria ya kupigwa bakora hamsini  mara tatu  kila wanapokutwa na mahusiano hayo,  na ambapo mara ya nne huwa ni adhabu ya kifo, wanadada hawa wasingewezeshwa kufunga harusi  hiyo.
 “Nimefurahi pia kuona wanadada hawa wameanzisha familia yao baada ya miaka mingi ya mateso kwani ni vigumu kusafiri umbali mrefu kutoka nyumbani na kuja nchi za watu na kuanza maisha kwa pamoja,” alisisitiza imam huyo.
Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.


Shoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke).
Maryam Iranfar, Sahar Mosleh wakiwa na nyuso za furaha baada ya harusi.
-