April
14 zilizotoka taarifa juu ya kutekwa kwa msichana mmoja aitwae Neema
ambaye ni miongoni mwa watu wanaosemekana walimtukana Ney na Mpenzi wake
kupitia akaunti zao za Instagram,Neema alipatikana na kuzungumzia hii
bahati mbaya Ney hakuwa nchini aliporudi Soud Brown kaongea nae na hiki
ndicho alichokisema.
Ney ameanza kwa kusema>>’Mimi sijawahi kuteka mtu,zamani labda
muda mrefu wakati wa maisha ya kimtaa zile vurugu za kimanzese manzese
lakini kwa sasa mimi siwezi kuthubutu kumteka mtu kanifanya nini,maisha
ya kizamani hivyo vitu vilikuwa vinatokea lakini kwa sasa siwezi kusema
nimemteka fulani’
‘Mimi ni Star naanzaje kufanya hivyo huyo