Wednesday, January 29

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam  imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Theophil Makunga,
 Msichana aliyefahamika kwa jina la Mwana, mbae ni mfanyakazi wa kituo kimoja cha Massaji kilichopo Sinza Jijini Dar kiitwa Pink Massage.

1.CATHERINE MAGIGE (CCM)


Asilimia 65 ya waliobakwa Liberia 2013 ni watoto
Theluthi mbili ya watu wote waliobakwa nchini Liberia mwaka jana wa 2013 walikuwa ni watoto. Hayo yameelezwa na serikali ya nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika. Wizara ya Jinsia na Maendeleo ya Liberia imetangaza kuwa asilimia 65 ya kesi 1,002 

Sunday, January 19

Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya maigizo, hakuna shaka kwamba, Steven Jacob maarufu kama JB, kwa sasa ni miongoni mwa watu wenye majina makubwa mno katika fani hiyo nchini. Ni miongoni mwa nyota `Watano’ Bora zaidi wa kiume kwa upande wa fani hiyo, hivyo kumfanya kuwa katika hadhi ya juu, sawa na nyota wengine kama akina Steven Kanumba na Vincent Kigosi `Ray’ na wengine.
Katibu mkuu wa serikali ndugu ombeni sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri kufuatia kujiuzulu kwa mawaziri watano na nafasi ya mgimwa aliyetangulia mbele za haki kevyclarity.blogspot.com inakujuza.
katika wizara ya raisi ikulu na wizara ya ofisi ya waziri mkuu hakuna mabadiliko yoyote.

Friday, January 10

 
Mgonjwa anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Naivasha
Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanamume mmoja aliyedhaniwa kuwa mfu kufufuka kutoka katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali moja mjini Naivasha umbali wa kilomita tisini kutoka mji mkuu N
 

 

AMA kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la warembo kufumwa wakitoa dozi ya ngono linaweka historia nyingine, Ijumaa linaibumburua. 



Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM.

Hebu sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya ’masaji’ lakini kumbe ngono imo ndani yake imenaswa na kufumuliwa baada ya kukutwa uchafu wa aina yake nyuma ya pazia.



Saluni hiyo maarufu kuliko Miji ya Sodoma na Gomora, ipo maeneo ya Sinza ambapo kwa muda mrefu sasa imekuwa ikijihusisha na uchafu huo na kusababisha kero kwa wananchi wenye maadili yaliyotukuka.

TAARIFA MEZANI

Oparesheni Fichua Maovu (OFM) chini ya Global Publishers, ikiwa imetulia ndani ya mjengo wa makao yake makuu, Bamaga-Mwenge jijini Dar, Mkuu wa kikosi maalumu cha Mtambo wa Kurekebisha Tabia (MKT) ambacho ni kitengo ndani ya OFM, alipokea simu kutoka kwa msamaria mwema akitoa ‘tipu’ juu ya ishu hiyo.

 

 Mhudumu baada ya kumpatia dozi mteja.

Mtoa taarifa huyo alieleza malalamiko yake juu ya kero wanayoipata raia waishio jirani na saluni hiyo kufuatia huduma chafu za kuchukiza ambazo hufurahiwa na shetani na malaika wake tu.

Msamaria Mwema:
 
 
Masogange akipozi na Jux.

VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.

                             
                         
Manager wa beautiful Onyinye Wema Sepetu na fashion designer (single buttonist) Martin Kadinda ameamua kuwatolea uvivu wale maanonymous na wanaotumia fake

Wednesday, January 8

HOFU ya kifo imetawala kwa mastaa Bongo ikiwa ni siku chache baada ya gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita kutoka na habari ya utabiri wa Hussein Yahaya, ikieleza kuwa mwaka huu vifo zaidi vitaendelea kwa wasanii wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa dini na wanasiasa.
Aunt Ezekiel.
kEVYCLARITY imepata kuzungumza na baadhi ya wasanii wa sanaa mbalimbali Bongo na kueleza maoni yao kuhusiana na utabiri huo. Wa kwanza kuzungumza alikuwa ni Single Mtambalike ‘Richie’ aliye msanii wa filamu ambaye alisema:

ILI KUWEZA KUBAINI UBORA WAKE UNAPASWA KUCHUNGUZA PICHA HIZI KWA KUZIANGALIA KWA MAKINI MKUBWA.
 
SIGARA:
Kutekwa kwa mji wa Konna nchini Mali kulisababisha Ufaransa kupeleka wanajeshi wake huko kushika doria...hali hii ndiyo ilimpa furaha isiyo na kifani mtu huyu kwani waasi walikuwa wameweka sheria za kiisilamu zilizoharamisha mambo mengi. 


                     

MAISHA ya mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 12, (jina tunalihifadhi), anayesoma darasa la tano Shule ya Msingi Bwanza, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, yako hatarini baada ya kurukiwa na samaki aina ya sato, kuingia sehemu ya siri na kukimbilia tumbani.

Tuesday, January 7

hatari kiukweli dunia ilipofikia sasa ni ya kusikitisha unafika wakati hadi mtu anakuwa na mawazo ya kufanya ngono na nguruwe?hii ni ikiwa tu baada ya
-