Tuesday, November 4

nett 
Umewahi kufikiria manyoya ya kuku yanaweza kutumika kuwa kinga ya kuzuia mbu?hii ni kweli baada ya wataalamu wa mambo ya afya kudhibitisha hilo na kusisitiza ina uwezo huo kama ilivyo kwa vyandarua vinavyotengenezwa viwandani.
Wanasayansi kutoka Taasisi ya Afya Ifakara ‘IHI’ wamegundua mradi wa kutengeneza vyandarua kwa kutumia manyoya ya kuku yaliyorundikwa nyumbani na majalalani ikiwa ni moja ya jitihada za kuendeleza vita dhidi ya ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Kwa mujibu wa taarifa ya utafiti wa kila mwezi iliyotolewa na Taasisi hiyo kwenye Gazeti la NIPASHE,manyayo hayo yatakua yanakusanywa kutoka maeneo ya masoko na kwenye makazi ya watu.
 

Rihanna 
Kimya cha miezi sita huenda kikarudi na mengi kumhusu mkali Robyn Rihanna Fenty a.k.a Rihanna, ambaye imeripotiwa kuwa amerudi tena katika mtandao wa Instagram kuungana na fans wake zaidi ya milioni 12 baada ya kuwatelekeza kwa kipindi cha miezi 6 ambapo picha ya mwisho kuiweka katika akaunti yake ilikuwa Mei 3 mwaka huu.
Tangu arudi saa 24 zilizopita tayari ame post picha 11 kwenye ukurasa wake.



https://www.facebook.com/theclicktz


Hamisa Hassan Mobeto ambaye ni model na actress anayesusua katika tasnia ya filamu nchini anadaiwa kuwa mapenzini na Diamond Platinumz a.k.a Sukari ya warembo huku uhusiano wao ukidaiwa kuwa wa muda mrefu tu ila wamefanya kuwa siri. 


Chanzo kimoja kilichodai kuwa karibu na Hamisa ambaye alishawahi kushiriki Miss Tanzania kiliuambia mtandao huu "Hivi mnajua kuwa Diamond anawachanganya
DUNIA hii basi tena! Ni tukio la kusisimua ukilisoma mwanzo hadi mwisho lakini ni la kikatili sana! Ni lile la ndugu wawili warembo, dada na mdogo wake kukutwa wamekufa kwa kunyongwa ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga mmoja wao huku muuaji akidaiwa alivaa taulo lenye weupe wa kufifia akitokomea zake.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea hivi karibuni kwenye Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Azimio wilayani Temeke jijini Dar es Salaam ambapo warembo hao, Mariam Buruhani (39) na dada yake Nuru Tumwaga (42) (pichani) walikutwa wamekufa katika nyumba hiyo aliyopanga Mariam.
-