Tuesday, September 30


stage 1 
Kwa hapa Tanzania tumezoea show kubwa kama Fiesta tunaona mastaa wakubwa kama Rick Ross, Ludacris na wengine kwa kiingilio kisichozidi elfu 20 ambapo mwaka huu anashuka T.I October 18 lakini tukirudi kwenye show binafsi za Wasanii, kumbukumbu zangu zinaniambia Diamond na Mwana FA ni miongoni mwa waliowahi kufanya show zao wao wenyewe lakini viiingilio havikufika shilingi laki moja.

Ray 2 
Ni post ya mwigizaji staa wa Tanzania Ray ‘Vicent Kigosi’ instagram ambayo ni baada ya kupata tuzo mbili juzi ambazo ni Life achievement Award na Best Director.
Ameandika >>> ‘Kila kwenye nia kuna njia, tulivyoanza tulionekana kama wauza sura tu lakini sasa hivi naweza sema kuwa tunayafaidi m

MKASI TV 
Mtangazaji Gardner G. Habash ni miongoni mwa Watangazaji hodari ambao Tanzania imewahi kuwa nao ambapo alianza kwa kusikika kupitia CloudsFM kwenye shows mbalimbali ikiwemo Jahazi kabla ya kuanza kazi.
Wakati huu ambapo kumekua na stori zilizoenea mtaani kuhusu yeye na ndoa yake pia kazi, show ya TV ya Mkasi inayoongozwa na mtangazaji Salama Jabir imepata nafasi Exclusive ya kuongea nae.
Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya sentensi alizoziongea Captain G kwenye Mkasi on EATV.
  1. Kwanza alianza kwa kuongelea jinsi alivyoingia kufanya kazi Redioni huku akimkumbuka Othman Njaidi aliemchukua na kumpeleka CloudsFM sio kama mtangazaji bali akajiunge na timu ya Marketing, akakutanishwa na Ruge Mutahaba aliekua General Manager wakati huo ambae alipoisikia tu lafudhi ya Gardner akasema huyu anafaa kuwa mtangazaji.
  2. Staa aliefurahi baada ya kukutan

Friday, September 26

SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti
AngePaul Kagame Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.
JK 
Labda inawezekana hii ikawa mara yetu ya kwanza kusikia upande wa pili wa President wetu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ambae tumezoea tu kumuona akihutubia, akijumuika na watu mbalimbali kwenye matukio ya furaha na huzuni lakini kuna mengine hatuyajui kuhusu yeye.
Mtoto wake Ridhiwani Kikwete ambae ni mbunge wa Chalinze ameongea kwenye Exclusive na millardayo.com na kueleza ni jinsi gani inavyokua pale ambapo baba yake anakasirika au anapokasirishwa akiw

Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan, amekanusha madai kuwa alimtoa kafara yake ambaye pia alikuwa mwanamuziki mashuhuri nchini Ghana Castro.
Gyan amesema tetesi hizo ni za kushangaza sana wala hazina msingi.
Mwanamuziki huyo aliyekuwa anaiimba nyimbo za mtindo wa Afrobeats, ambaye jina lake halisi ni Theophilus Tagoe, alitoweka pamoja na rafiki yake Janet Bandu, mnamo mwezi Julai.
Wawili hao walitoweka wakati walipokuwa wamekwenda likizo na Gyan ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Sunderland, katika mji wa Ada.
Madai katika vyombo vya habari nchini Ghana yanasema kuwa kutoweka kwa rafiki ya Gyan kumezua wasiwasi baadhi wakidai kuwa huenda alimtoa kafara mwanamuziki huyo.

Thursday, September 25

Siku mbili baada ya Amber Rose kufuata taratibu za kisheria akidai talaka kwa mumewe Wiz Khalifa, Nick Cannon ameendelea kunyoshewa vidole kuwa chanzo cha yote na kudaiwa kuchepuka na mrembo huyo kwa kipindi kirefu.
Chanzo kimeiambia TMZ kuwa Nick ambaye hivi sasa ni meneja wa Amber Rose amekanusha tuhuma hizo na kudai kuwa hajawahi kuchepuka na Amber na hahusiki kivyovyote na uamuzi wake.
Ameeleza kuwa alikuja kufahamu Amber Rose alikuwa na matatizo ya kifamili kupitia mwanasheria wake wiki iliyopita. Nick anasema baada ya kufahamu hivyo wawili hao walianza kushare masimulizi ya kuacha na kuachana.
Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Wiz na Amber Rose, kila mmoja anamtuhumu mwenzake kwa michepuko.



Kikizungumza kwa kujiamini, chanzo makini ambacho kiliomba hifadhi ya jina kilidai kwamba hakuna ndoa tena kati ya Diamond na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na kwamba ndoa inayopangwa kwa sasa ni ya Meninah na Diamond.
Chanzo hicho kilinyetisha kwamba wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za Kili mwaka 2014 na tangu hapo wamekuwa na ukaribu unaodaiwa unataka kuzaa ndoa. 
WEMA AMWINDA 
Ilisemekana kwamba baada ya Wema kuzinyaka habari hizo kuwa anataka kunyakuliwa ‘beibi’ wake mbaya zaidi wanataka kufunga ndoa, malkia huyo mkubwa wa sinema Bongo aligeuka mbogo na kuanza kuweka mikakati ya kumteketeza Meninah asiweze kufunga ndoa na Diamond


Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu
Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.


"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke  nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote" alisema Wolper akizungumza na Globalpublishers pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.

Monday, September 22

NIMEWAAMBUKIZA UKIMWI MAELFU YA WATU HAPA JIJINI.... BOFYA HAPA



Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.

Nilizaliwa mkoa wa Dodoma na nilishi vizuri tu tangu utotoni na hata


sikujihusisha na ngono hadi nilipomaliza form 4 mwaka 2006 baada ya kumaliza nilikuja hapa Dar kuishi kwa mama mdogo aliyeolewa hapa Mwenge.

Nilipata marafiki wengi tu na kuna kijana mmoja alinitongoza kwa muda mrefu sana na siunajua vijana wengi hutumia muda mrefu kutongoza ili msichana unadhani kwamba labda huyo anakupenda kumbe anataka tu ngono na wadada wengi sana hudhani kufuatiliwa kwa muda mrefu na mvulana basi huyo yuko serious kumbe hakuna lolote.


Nilimkubalia tukawa wapenzi ila nilikataa kuhusu kufanya mapenzi maana anayekupenda kiukweli sio uongo lazima asitake ngono kabla ya ndoa.

Kwa miezi kama 5 hadi 6 aliniambia kuhusu kufanya mapenzi nilikataa alitumia mbinu nyingi sana kwa kunibembeleza na hata kulia mbele yangu ili tufanye tu mara moja ila nilikataa, alisema atavumilia hadi siku ya ndoa yetu ambapo tulipanga kuoana mwaka sept 2009.


Siku moja aliniambia twende kwenye kumbi za starehe na mimi kwa sababu ya upagani na kumwamini pia kwa sababu nampenda nilikubali tulienda huko na kulikua na bendi fulani maarufu ya mziki wa dansi ilikua inatumbuiza.






M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.

Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
. Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka

Mwanamitindo wa Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa chini ya ulinzi China.
 MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake.Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, rafiki wa karibu wa Jack ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini, alisema kwamba mwanamitindo huyo amekuwa akimuandikia barua mara kwa mara lakini safari hii ametaka ujumbe wake uwafikie Watanzania. 

“Amesema watu wasimhurumie kuhusu kufungwa, amesisitiza sana juu ya suala mavazi na mitindo. Amesema hapendi kuona Tanzania inayumba katika masuala ya mitindo ambayo yeye alikuwa akiiamini kwamba ni kazi ambayo inaweza kuwaingizia kipato watu wengi,” alisema rafiki huyo wa karibu.


Mwanaume mwenye umri wa miaka 33, raia wa Ufaransa amefungwa jela kwa kosa la kumsumbua mpenzi wake wa zamani kwa kumpigia simu mara 21,807 akimtaka amshukuru kwa kukarabati nyumba waliokuwa wakiishi.
Mwanaume huyo alikiri kufanya kosa hilo na kueleza kuwa ulikuwa ‘upumbavu’ kwa kuwa alikuwa amekatazwa kuwasiliana na mpenzi wake huyo wa zamani kwa kipindi cha miezi kumi iliyopita na akakubali.
Amehukumiwa kwenda jela miezi 10, huku miezi 6 ikisamehewa, na anapaswa kulipa fine ya £793).

Saturday, September 20



Kwa mara nyingine tena, mashabiki wa Diamond Platnumz wameshindwa kumuona akitumbuiza licha ya kumsubiria hadi saa 10 Alfajiri.Awamu hii imetokea jijini London, Uingereza katika show aliyoitangaza kwa kiasi kikubwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tofauti na Stuttgurt, Ujerumani ambako mashabiki walifanya uharibifu mkubwa, mashabiki wa London waliamua kuwa wapole tu na kurejea majumbani mwao na hasira walizozimeza vifuani.
saeedderby: I was there brov it was maad trust me, even police got involved with that shit, they had to calm people down untill seven in the morning, people wanted their money back he I’ll pay the price cause he got arrested



Habari zilizopo chini ya kapeti ambazo bado hazidhibitishwa ni kwamba yale nyota waR&B anayedwa na kukubalika na wengi ambapo umaarufu wake umeweza kuongezeka mara dufu kutokana na kutoka kimapenzi na Rihanna ... Ambapo wabongo wameweza kufananisha mapenzi ya Diamond na

http://photos-g.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpf1/10507795_803406186366446_694738253_n.jpghttp://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xap1/10513728_336582976498928_117029659_n.jpg
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
(Jeshi la Magereza)

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

MASHARTI YA KUAJIRIWA:

1.    JINSI:   Mvulana au Msichana ambaye hajawahi kuoa au kuolewa na asiwe na mtoto

2.    URAIA:            Awe Raia wa Tanzania Bara

3.    UMRI:
(a)  Wahitimu wa Shahada:    Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 28
(b)  Wasio na Shahada:    Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 24

4.    UREFU:

Monday, September 15


KATIKA hali isiyo ya kawaida, askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanadaiwa kuwafanyia ukatili mkubwa vijana 11, wakazi wa eneo la Keko Magulumbasi B, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kwa kuwapiga na kuwalazimisha wanywe maji machafu yenye kinyesi.

Tukio hilo ambalo limefananishwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, linadaiwa kutokea Septemba 12 mwaka huu, saa 11 jioni, katika eneo la Keko Magulumbasi B.

Inadaiwa kuwa, wanajeshi hao ambao walikuwa saba wakiwa na sare za jeshi hilo, walifika Keko Magulumbasi B wakiwa na kijana mmoja mwenye asili ya Kiarabu na kuwavamia vijana waliokuwa wakila chakula kwenye kibanda cha chipsi.

Mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa, wanajeshi hao waliwakamata vijana hao na kudai wanahusika kupora simu ya kijana mwenye asili ya Kiarabu aina ya Tecno yenye thamani ya sh. 25,000.

Pamoja na vijana hao kukataa kuhusika na tukio hilo, waliwekwa chini ya ulinzi, kufungwa mikono kwa kamba, kulazwa kifudifudi na kuanza kupigwa mikanda ya jeshi.


101fsttbr
Tabora siku yao rasmi ya burudani ilikua ni September 14 ambapo kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi walijikusanya aisee Tabora mmeandika tena records ya mahudhurio mengi uwanjani.
September 14 Tabora walipata nafasi ya kumuona Dudubaya ambaye alipanda kama kuwasalimia mashabiki wake kisha akakumbushia wimbo wake mmoja kila mmoja alifurahi kumuona na alishangiliwa sana Dudubaya.
Hizi nibaadhi ya picha mtu wangu ambazo unaweza kushare na washkaji waone walichokifanya Tabora,Nuh na Shilole baadae walipanda wakaperfoam pamoja ilikua poa sana.
110fsttbr
109fsttbr

Friday, September 12


Steve nyerere amejiuzulu nafasi iyo na kueleza kuwa ameamua kujiuzulu kwa kuona kuwa kuna shutuma nyingi zaidi kwenye chama hic
news news 
Najua kuna uwezekano ukawa ulisikia fununu sana kuhusu iPhone6 au hata kuona baadhi ya taarifa feki kuhusu simu hii mpya, post hii ni maalum kukuletea taarifa sahihi na ya ukweli kuhusu iPhone6 ambayo ndio imetambulishwa rasmi.
Wanasema simu zote hizi mbili mpya zina A8 processor ambayo inafanya ziwe na kasi zaidi kuliko iPhone5 kwa asilimia 20.
iphone 6 1
Unaambiwa zote iPhone6 na iPhone6 plus zimekuja na screen kubwa tofauti na nyingine zilizotangulia

 


Takriban watu 50,000 nchini Marekani huambukizwa virusi vya HIV kila mwaka
Jaji nchini Marekani amemuamrisha mwanamume mmoja mwathiriwa wa virusi vya HIV kukoma kusambaza virusi hivyo na badala yake kupata matibabu.
Inaarifiwa mwanamume huyo amewaambukiza watu 8 virusi kwa kukusudia katika kipindi cha miaka minneMwanamume huyo, aliyetambuliwa tu kwa herufi...'AO' katika stakabadhi zake, ametakiwa na mahakama kupata ushauri nasaha ili aweze kuwakinga wapenzi wake katika siku za usoni.Maafisa wanasisitiza kwamba sio lengo lao kuufanya uhusiano wa kimapeni kuwa uhalifu bali wanataka zaidi kulinda umma.Mwanamume

Screen Shot 2014-09-12 at 1.56.17 AM 
Siku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi hii matangazo ya bure kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Wednesday, September 10




 Hapa ni stend kuu ya mkoa wa Ruvuma na hii ndiyo gali iliyopata ajali na hapa likiwa  stendi kabla ya kuanza safari yake(Picha zote na demasho.com)

2fru 
Ni taarifa ambayo imethibitishwa pia na kamanda Mpinga na kweli imehusisha kifaru cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) saa kumi na moja alfajiri ambapo kifaru kimoja chenye tairi kwenye msafara wa jeshi hilo kimeripotiwa kuacha njia na kugonga nyumba.
Shuhuda alieongea na Power Breakfast ya CloudsFM amesema ‘Imetokea Mnolela kijijini Lindi kwenye msafara huu wa jeshi ilitangulia Iveco moja na nyuma vifaru viwili na walipofika kwenye eneo la shule kuna kona mbaya sana ambayo mara nyingi magari huwa yanaanguka’
‘Kifaru kimoja kwen

Wednesday, September 3

 
Baada ya watu kadhaa kulipotiwa kuwa wamefariki nchi jilani ya Congo kwa ugonjwa wa ebola wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kuchukua tahadhari ya maambukizi na athari za ugonjwa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Christine Ishengoma amesema Mkoa wa Iringa ni moja ya mikoa ya kusini mwa Tanzania ambayo inapakana na nchi za nje pia inapitiwa na barabara kuu inayotumika na wafanyabiashara wa kigeni wakiwemo wa kutoka nchini Cong

Tuesday, September 2


KUNA KAKA KANITUMIA HII YAANI ANACHAT NAYE NA KUMJIBU
-