Saturday, July 26

madaktari wanaokabiliana na ugonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone

Serikali ya Nigeria imesema kuwa imeweka hali ya tahadhari katika maeneo yote ya kuingia nchini humo kufuatia thibitisho kwamba raia mmoja wa Liberia alifariki katika hospitali moja ya Lagos akiwa anaugua ugonjwa wa Ebola.
Ni kisa cha kwanza kuthibitishwa nchini Nigeria ambalo ndio taifa lenye idadi kubwa ya watu barani afrika.
Mtu huyo anadaiwa kuwa mgonjwa katika ndege siku ya jumaanne kabla ya kuchukuliwa na kupelekwa hospitalini ambapo alitengwa.
Waziri wa afya nchini Nigeria Onyebuchi Chukwu amesema kuwa abiria wengine wanafuatiliwa kwa karibu.
Ugonjwa wa Ebola umewauwa zaidi ya watu mia sita magharibi mwa Afrika.

Wiki za hivi karibuni mwanamuziki wa bongo fleva ambaye pia ni mwanaharakati wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Rehema Chamila 'Ray C' amepatwa na misukosuko mingi ambayo haikuwa mbali sana na mahusiano na dawa za kulevya....


Ni wiki mbili zilizopita tangu mwanadada huyo achezee kichapo toka kwa mwanamuziki wa bongo fleva Rashid Makwilo maarufu kama Chid Benz akimtuhumu kumpotosha mkewe....

Ikumbukwe kuwa kabla ya tukio hilo la Chid, Ray C alikwaruzana na Legend wa bongo fleva TID baada ya kuposti kwenye mtandao wake ujumbe wa kumuomba waongee....

TID alimjia juu mrembo huyo kwa matusi kibao na kumtaka akae mbali nae na asimfuatefuate....

Ni hivi karibuni Ray C ameanza harakati za kuokoa wasanii na watu ambao wanahisiwa kutumia madawa ya kulevya, hali ambayo imemfanya ajijengee maadui wengi kwenye jamii ya watumiaji wa madawa ya kulevya ambao wameapa kumsambaratisha....

"Ray C anajisumbua bure tu, anashindana na sisi, sisi kama anaona tumepotea atuache,kwanini asihangaike na mabwana zake kwanza? huyu demu vipi?," alisikika teja mmoja maarufu kwa jina la Lima wa Tandika.
Lima aliyekuwa akipewa sapoti na wenzake waliokuwa pembeni yake aliendelea kufunguka kuwa Ray C asiendelee kuumiza kichwa kudili nao, kama yeye ni mwanaharakati wa kweli basi adili na wanaowafikishia hayo madawa....

"Mi nashangaa kumuona akihangaika na sisi wakati kuna watu ambao anapaswa adili nao. Awatafute wale kama kweli yeye ni shujaa," aliongeza kijana mmoja aliyeonekana kuzidiwa na kilevi.

Kijana huyo alimuonya mwanadada huyo asiwafuatilie, lasivyo atahatarisha maisha yake kwani wakubwa wakijua watakasirika sana na wanaweza kumfanyia chochote.

"Mngemshauri tu aachane na sisi, wakubwa wetu wakijua ni kesi kubwa mno, sijui kama anaweza kupambana nao,"aliongeza kijana huyo.
Teja huyo alienda mbali zaidi na kudai kuwa alichofanyiwa na TID na Chid Benz ni trela tu, akitaka picha kamili aendelee kuwafuatilia.

Muda mchache baada ajali kutokea 
 Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio  na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo


 Basi la Hood limepata ajali asubuhi hii likitoka Mbeya haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu waliojeruhiwa, endelea kufutilia hapa kupata taarifa kamili hii ni taarifa ya awali.

Picha na Mbeya yetu Blog


Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba, mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili hapa nchini, Bahati Bukuku amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali mbaya katika eneo la Kongwa, mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, mwimbaji huyo alipata majeraha makubwa sehemu mbalimbali mwilini na kwamba chanzo cha ajali hiyo kinadhaniwa kuwa ni mwendokasi.
Chanzo hicho hakijaweza kueleza zaidi kwamba Bukuku alikuwa akielekea ama kutoka mkoani Dodoma na kama ndani ya gari hilo kulikuwamo na abiria wengine.
Pia haikuweza kufahamika mara moja kama mwimbaji huyo alikuwa akiendesha mwenyewe gari hilo, ingawa kilithibishwa ajali hiyo na kwamba Bukuku alijeruhiwa vibaya.
Endelea kuperuzi blogu hii kwa habari zaidi ya tukio hilo.

Screen Shot 2014-07-26 at 4.03.18 AMInstagram ni mtandao mwingine wa kijamii unaozidi kupata Wanachama wapya kila siku kutokana na aina yake ya kupost pichaz ambapo umekua ukitumiwa sana hata na watu maarufu na kurahisisha kazi ya kusambaza habari kama unavyoona baadhi ya mastaa kwenye hii post.
Screen Shot 2014-07-26 at 3.02.48 AM
Hii ni caption ya Diamond kwenye hiyo picha hapo juu akiwa Dallas nchini Marekani kuhudhuria tuzo za Afrimma.
                                                                                                ******************************
Screen Shot 2014-07-26 at 3.00.41 AMMJ Records imepata studio mpya? amepost hii picha C.E.O mwenyewe Master J na kuandika haya maneno hapa chini…
Screen Shot 2014-07-26 at 3.06.46 AM                                                                                                ******************************
Screen Shot 2014-07-26 at 3.09.57 AMMwigizaji Kajala baada ya kuweka hii picha akaandika ‘Mtu anapokwambia huwezi kufanya kitu flani usiache kukifanya, tabasamu na kusema nitakuonyesha’
Screen Shot 2014-07-26 at 3.12.40 AM

                                                                                ******************************
Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego yuko nchini Kenya kufanya video yake mpya ambayo ameshea moja ya picha ya utengenezwaji wake kama unavyoona hapa chini…
Screen Shot 2014-07-26 at 3.18.27 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.18.36 AM
                                                                                 ******************************
Saa kadhaa baada ya kusambaza single zake mbili mpya kwenye Radio Stations mbalimbali Tanzania, mwimbaji Ali Kiba amepost hii kwenye instagram na kuambatanisha na hiyo caption chini yake.
Screen Shot 2014-07-26 at 3.26.52 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.26.59 AM
                                                                                        ******************************
Ifuatayo ni TBT ya CMB Prezzo kutoka Kenya.
Screen Shot 2014-07-26 at 3.25.09 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.25.40 AM
                                                                              ******************************
Jokate yuko nchini Kenya ambako kwa July 25 pekee ameonekana akihojiwa kwenye vyombo viwili vya habari kama alivyopost hapa chini akiwa na Mtangazaji William Tuva wa Citizen TV/Radio.
Screen Shot 2014-07-26 at 3.40.03 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.40.11 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.36.38 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.36.54 AM
                                                                                  ******************************
Hapa chini ni meneja wa kundi la Tiptop Connection ambae pia ni meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale ambae ameshafika Marekani na Diamond kuhudhuria tuzo za AFRIMMA.
Screen Shot 2014-07-26 at 3.28.06 AM
Screen Shot 2014-07-26 at 3.28.23 AM                                                                            ******************************

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akiongoza majadiliano katika Mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wakiwa katika majadiliano katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam.
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba walioshiriki katika mkutano wa majadiliano uliondaliwa na Mtandao wa Wanawake na Katiba wameahidi kupaza sauti kupigania masuala ya haki za wanawake na usawa wa kijinsia pamoja na kusimamia usawa kwa jamii yote juu ya mgawanyo wa rasilimali ardhi, elimu, uongozi na huduma za kijamii.
Kauli hiyo imetolewa leo na baadhi ya wajumbe hao walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari, katika Hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam eneo unapofanyika mkutano huo uliomalizika leo jioni. Mjumbe wa Bunge Maalum, Valerie Msoka alisema majadiliano walioshiriki yamewawezesha wajumbe kurudi katika majadiliano ya awamu ya pili wakiwa na nguvu mpya huku wakiyapa kipaumbele na kuhakikisha kuna usawa katika masuala ya ardhi, elimu, rasilimali, uongozi na huduma za kijamii.
Alisema kwa muda wa mwanzo ambao wajumbe walipata kuhudhuria na kujadili baadhi ya ibara wamepata uzoefu kidogo jambo ambalo kwa kipindi cha pili litawasaidia kuongeza ujasiri wa kuendeleza hoja zao za msingi zikiwemo walizoshiriki kuzijadili katika mkutano huo. Kwa upande wake Mjumbe wa Bunge Maalum, Fedrick Msigala alisema mkutano huo umewawezesha wajumbe kujenga zaidi uelewa juu ya masuala ya usawa wa jinsia na kuangalia namna wajumbe wanaweza kuyatetea kuingizwa kwenye mchakato wa uundaji katiba mpya unaoendelea.
“…Mimi kama mwakilishi wa walemavu natambua namna ambayo wanawake walemavu wanavyo athirika na vitendo vya ukatili na manyanyaso yote ambayo wanakumbana nayo…sasa semina kama hii inatupa taarifa na uwezo pia wa kujenga hoja katika kutetea usawa wa kijinsia kuingizwa vizuri kwenye ibara mbalimbali husika kwenye Katiba Mpya,” alisema Msigala.
Naye mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya alisema majadiliano hayo kati ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba ni nafasi muhimu kwani inawakumbusha wajumbe kupaza sauti juu ya haki za wanawake na usawa wa kijinsia kuingizwa kwenye sheria mama ya nchi ambayo ni katiba.
Alisema masuala ya haki za wanawake na usawa wa kijinsia yakiingizwa katika jamii yataziwezesha mamlaka husika kuwajibika na taasisi husika kusimamia kwa uhakika na kuziwajibisha pale masuala hayo yanaposhindwa kutekelezwa kwa mujibu wa maelekezo.
“…Muhimu pia ni kutambua umuhimu wa kusimika suala la usawa wa kijinsia kwenye katiba ni kutokana na ukweli kwamba wanawake wanahusika katika kulikamilisha taifa la Tanzania na wanamchango mkubwa licha ya mfumo kuendelea kuwabana katika fursa mbalimbali,” alisema Bi. Mallya.
Alisema sasa umefika wakati fikra potofu zitokomezwe ambazo zimekuwa zikiendelea kuwabana wanawake kwamba hawawezi na kuambulia nafasi ndogondogo maeneo anuai ya vyombo vya maamuzi ngazi zote.
“Nafasi kama hii ya kuwezesha Wajumbe wa Bunge la Katiba waweze kuendelea kuyabeba haya masuala katika mjadala utakaoendelea ni muhimu…na kwetu sisi tunachotegemea ni kwamba haya masuala yataendelea kuwa ni sehemu ya msingi katika majadiliano yanayoendelea kule bungeni, tunawaomba waandishi wa habari waendelee kuzipa nafasi hizi hoja na tunawapongeza pia kwa kutuunga mkono,” alisema Bi. Mallya.
Mkutano huo umetoka na maadhimio ambayo wajumbe wataendelea kuyafanyia kazi, ikiwemo washiriki kuendelea kuwasiliana na kupanua wingo wa kupaza sauti juu ya hoja walizozijadili na kuyashirikisha makundi mengine katika kupaza sauti ili hoja zilizojadiliwa zipate nafasi ya kuingizwa kwenye mchakato.

Screen Shot 2014-07-26 at 6.24.08 AMTayari mpaka sasa abiria zaidi ya 300 wamepoteza maisha kwenye ajali tatu za ndege zilizotokea ndani ya wiki moja kuanzia wiki iliyopita  ambazo ni ndege ya Malaysia, nyingine huko Taiwan na nyingine iliyoanguka Mali.
Matukio ya ndege yanaendelea kukaa kwenye wino wa vichwa vya habari baada ya hili jingine la ndege ya Sunwing ambayo ililazimika kukatisha safari na kurudi ilikotoka baada ya maneno ya kijana wa miaka 25 raia wa Canada kuongea na muhudumu wa ndege na kusema anataka kuilipua Canada.
Ndege hiyo iliyoruka saaa moja asubuhi Ijumaa July 25 2014 ikiwa na abiria 181 kutokea Toronto Canada kuelekea Panama City ambapo kijana huyu aliongea na Muhudumu aliekua anapita na kumwambia jinsi sigara zilivyo bei ghali nchini Canada na kwamba anaichukia nchi hiyo.
Baada ya hapo kijana huyu aliongea kwa kujiamini na kwa sauti ya msisitizo na ishara za mikono kwamba anataka kuilipua Canada.
Screen Shot 2014-07-26 at 6.23.55 AMMuda mfupi baada ya hiyo kauli Muhudumu wa ndege alitoa taarifa na ndege hiyo ikaamrishwa kugeuza kurudi ilikotoka wakati huohuo pia ikiwa inasindikizwa na ndege mbili za kivita zilizopewa amri kuifatilia zikiwa zinafaya mazoezi.
Baada ya kutua tu saa mbili na dakika 55 ikabidi Polisi waingie ndani wakiwa na silaha na kumchukua kijana huyu aitwae Ali Shahi na kuanza kumuhoji hapohapo uwanja wa ndege ambapo alitarajiwa kupelekwa Mahakamani saa tatu kamili asubuhi.
Screen Shot 2014-07-26 at 6.24.35 AMHata hivyo baada ya taarifa kuenea, baba wa huyu mtoto amejitokeza na kusema mwanae amekua na matatizo ya akili toka akiwa na umri wa miaka 16 hivyo alichosema hakuwa anamaanisha.

Monday, July 21

Baada ya "Simu ya Mwisho" kwenda vizuri sasa ni kitu kipya tena chanukia kutoka kwa Rappa Kala Jeremiah.
Kwa kipindi hiki cha muda mfupi wasanii wa Tanzania wamekuwa na kiu sana ya kupiga hatua katika kazi zao za Muziki ili kuweza kutanua / kutangaza muziki wao kimataifa zaidi. Tumeona kwa Diamond akiwa amemshirikia Davido, Iyanya, Mafikizolo n.k Pia kwa msanii kama AY na Mwana Fa na J.Martin n.k. Sasa imefika zamu ya Kala na kwa upande wake amevuka anga mpaka Marekani na kuamua kufanya ollabo na Msanii "Dolly Parton" Kala ameeleza kuwa atafanya nae Remix ya "COAT OF MANY COLORS" so nadhani mambo yataenda kama yalivyopangwa na mdundo utatufikia ukiwa na ladha nzuri.


 




Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya pamoja na ile ya msemaji wa jeshi hilo imevamiwa na wanaharakati ambao wanaonekana kupinga ufisadi.
"Nyote ambao mmeiba pesa za wakenya , tunawaandama,'' haya ndio maandishi yaliyokuwa yamewekwa kwenye mtandao huo.
Kikundi cha wavamizi wa mtandao Anonymous,ndio wamekiri kuwajibika na uvamizi huo.

Msemaji wa jeshi amesema kuwa 
Meja Emmanuel Chirchir, hutumia akaunti yake ya Twitter kutoa taarifa kuhusu kundi la Al Shabaab.
Wavamizi hao walikosoa serikali ya Rais Uhuru Kenyatta wakisema kuwa inajali tu masilahi ya watu wenye ushawishi na haifanyi kazi ya kutosha kukabiliana na uwindaji haramu pamoja na dawa za kulevya.Mwaka jana kikundi cha wavamizi wa mitandao wanaojiita Anonymous, walivamia mtandao wa wizara ya ulinzi ya Zimbabwe, na pia kuvamia mtandao wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC. 

'World's luckiest man': Dutch cyclist Maarten de Jonge cheated death twice in the past six months by deciding not to fly aboard Malaysia Airlines flight MH370 and MH17
 Dutch cyclist Maarten de Jonge cheated death twice in the past six months by deciding not to fly aboard Malaysia Airlines flight MH370 and MH17
Malaysia Airlines has offered to waive fees for any passengers wanting to make changes to their flight itineraries
Malaysia Airlines has offered to waive fees for any passengers wanting to make changes to their flight itinera

De Jonge, 29, was supposed to be aboard MH17, but at the last minute he changed his travel arrangements
De Jonge, who lives in Kuala Lumpur, decided to fly out of Amsterdam on Sunday instead of Thursday
Sixth sense: De Jonge, 29, was supposed to be aboard MH17, but at the last minute he changed his travel arrangements and decided to fly out of Amsterdam on Sunday instead of Thursday 
'What has happened is terrible, so many victims, that's a horrible thing,' de Jonge wrote in a statement translated from Dutch. 
De Jonge told the Netherlands station RTV Oost that despite his second brush with death, he plans to take another Malaysia Airlines plane this week and has no concerns for his safety. 
‘I have been lucky twice, that's the third time as well,’ de Jonge reportedly said. 
De Jonge, who is part of the Terengganu Cycling Team based in Malaysia, had booked a seat on Flight MH17, planning to return to Kuala Lumpur after taking part in national championships in his native Holland earlier this month, the Sydney Morning Herald reported. 
But the athlete ultimately decided to take another, cheaper flight with a layover in Frankfurt, Germany, on Sunday. 
Calamity: A picture taken on July 18 shows the wreckage of the Malaysia Airlines jet carrying 298 people from Amsterdam to Kuala Lumpur a day after it crashed, near the town of Shaktarsk, in rebel-held east Ukraine
Calamity: A picture taken on July 18 shows the wreckage of the Malaysia Airlines jet carrying 298 people from Amsterdam to Kuala Lumpur a day after it crashed, near the town of Shaktarsk, in rebel-held east Ukraine
Undeterred: De Jonge said he is still planning to take a Malaysia Airlines flight to Kuala Lumpur on Sunday
Undeterred: De Jonge said he is still planning to take a Malaysia Airlines flight to Kuala Lumpur on Sunday
Back in March, de Jonge boarded a different Malaysia Airlines jet instead of Flight MH370, which disappeared somewhere over the Indian Ocean with 239 people on board. 
‘I could have taken that one just as easily,’ de Jonge said in the RTV Oost interview. ‘It's inconceivable. I am very sorry for the passengers and their families, yet I am very pleased I'm unharmed.’
In his written statement Friday, de Jonge downplayed his two very close calls, saying that his story is meaningless compared to those of the victims and their families. 
He declined to comment further out of respect for the 298 passengers and crew of Flight MH17, at least 189 of them Dutch citizens, who perished in the tragedy.
It is widely believed that a surface-to-air missile shot the Boeing 777 out of the sky over rebel territory on the border between Russia and the Ukraine, but it is not clear who fired it.
On Friday, Malaysia Airlines offered to waive fees for any passengers wishing to delay or cancel their travel plans in the wake of Thursday's disaster. ries
2
Chris Brown ameungana na mastaa wenzake kwenye mechi ya kickball kwa ajili ya kujitolea. Mechi hiyo ambayo timu ya Chris Brown ilicheza vs timu ya mtoto wa P. Diddy Quincy Combs lengo lake kubwa lilikuwa ni kukusanya pesa za viingilio na kuzitumia kwenye charity.
Team Breezy ilikuwa na mastaa kama Christina Milian,Paris Hilton,Omarion,DJ Khaleed na Jamie Foxx. Timu ya Quincy ilikuwa na The Game, Amber Rose, Keke Palmer, and Ne-Yo.
Mwisho wa mechi Chris Brown Team Breezy ilishinda na pia Chris Brown aliimba wimbo wa Loyal na kuwashukuru watu waliofika.

1
3
4
5
6
7
8
9













VIDEO HII HAPA!!10
-