Friday, February 28

He trusts lions enough to stick his arm in their mouth!



Hapa ilikuwa ni pata shika ambapo dada huyo amewekwa kati huku vijana wa eneo hilo wakiwa wanapiga kelele huku wakimvua nguo na kumfanyia vitendo visivyo vya kibinadamu

Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira.
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule hiyo alikataa kwenda shule kitendo ambacho kilimkasirisha baba yake aitwaye Jumanne Nkoyogi ambaye pia ni mfanyabiashara wa samaki mjini Geita.
The most decorated African player of all time and one of the highest-paid footballers in the world Samuel Eto'O is married to a gorgeous Ivorian woman named Georgette Eto Fils, and they have three children. Georgette lives in France with her children. During a trip to the US, the mother of three was photographed sunbathing topless at a public pool.
2
Project hii imefanyiwa kazi kwa muda wa miaka 5 na mwaka huu ipo tayari kuanza kuonyeshwa, taarifa hii imetoka kwenye post ya Peter Okoye.
bunda2 
Hii ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha ajali iliyohusisha  Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi ya February 28  limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.

Wednesday, February 26

Muhimbili 
Leo February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili ya kupatiwa huduma za matibabu katika hospitali hiyo.
http://theclicktz.com/

Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
 
*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika

Tuesday, February 25

Vitendo vya wapenzi kuzalilishana katika mitandao ya kijamii pindi wanapo achana au kugombana linachukua kasi kila kukicha, cheki hawa ni wasomi tena ni wanachuo wa chuo kikuu wanafanya mambo ya ajabu na kushangaza jamii, je taifa linakwenda wapi?.HII NI BAADA YA KUACHANA NA MPENZI WAKE 

Monday, February 24

222879 131376266937194 4304211 nPhoto Gallery Of Vera Sidika, The Bootylicious Dendai From The "You Guy" Video
222879 131376266937194 4304211 n
Mwanamke mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika tumbo lake baada ya kufanyiwa oparesheni kubwa ya upasuaji na madaktari bingwa.

Madaktari wanasema alikuwa na hofu kubwa ya kuona madaktari kwa sababu ni nusu kifo ilikuwa ni kufa au kupona.
Alikaa na tumbo hilo kwa miaka 47 na lilikuwa likizidi kuvimba siku hadi siku ni mara 20 la tumbo la kawaida.
Wataalamu wanasema kwamba haijulikani kama atapata nafuu ya haraka na moja kwa moja ila baada ya oparesheni uzito wake ulipungua kwa kasi.
HATARI HUYU NI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA DINI,sasa sijui dunia yetu hii inaelekea wapi jamani kama inafikia hatua kama hii ni jambo la hatari na aibu sana kwa dunia hii yetu,Mungu atusaidie na pia awasamehe wanaotumia mgongo wa dini kufanya maovu na madhambi yao
zanji 
February 24 2014 kupitia vyombo mbalimbali vya habari stori imesambaa kuhusu milipuko kwenye visiwa vya Zanzibar ikiwa ni milipuko iliyoanza Jumapili ya February 23 2014 na kuendelea mpaka kesho yake.
Screen Shot 2014-02-24 at 9.27.17 PM
Kajala ni miongoni mwa waigizaji wa Tanzania ambao wamekua wakimiliki headlines mara kwa mara nchini Tanzania.

Sunday, February 23

Mwanafunzi huyo wa kike(jina limehifadhiwa) anaesoma kwenye college moja nchini Uganda,inasemekana kuwa yuko Mwaka wa pili,anachukua Masomo ya Biashara.Baada ya kufeli masomo matatu muhimu katika kozi yake, Akamfuata Mhadhiri(lecturer) anayehusika na hayo masomo,akamuomba amsaidie angalau ampe C tatu kwenye masomo.

http://www.ufukunyuku.blogspot.com/

Huyo Lecturer nae kwa Tamaa zake nae akaomba Rushwa ya Ngono,lakini kabla huyo Mwanafunzi hajampa rushwa ya Ngono huyo Lecturer,akaamua kumtamanisha kwa kumtumia hizi Picha za Uchi.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHvvRxeAaJP2hbaeFaD9bHrfXO5O23-7ENKW-uBM5ct-3VaIsWGD-wXAA_vZeN9FZgnF3_ifZLGgjnbVHgUY_k5AgOf69kFJVOEOH8IR3wNMTSGFoKLJFiYg9B0y8IxoyMZRMzpDVRilS5/s1600/mwasiti.jpg
Nina nukuu " baby ake mtu @mwasiti limao nasiki HUYO mwanamuziki wenu wakuitwa mwasiti hazikabi mapenzini na huyu @sammisago, ni ubuyu tu..wamekaa miaka miwili sasa na zaidi na wakati wa basidei ya huyu kaka mwaka huu mama wenu wa serebuka alimshushia bonge la pati huyu mr fridei naiti, hehhehehhehehe halafu wale wanamuziki wa dutigita wakamwimbia hapi basidei shemej ,

Saturday, February 22

2238772_FULL-LND 
Brazil imetangaza kwamba wameongeza maafisa wa kulinda usalama 70,000 zaidi watakao toa huduma za usalama katika fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.
Idadi hii iliyoongezwa ni katika jitihada za kukabiliana na tishio la usalama na maandamano .

Idadi iliyopendekezwa hapo mbeleni ya maafisa 100,000 .

Kwa ujumla maafisa wa usalama wapatao 170,000 watatumika katika miji 12 itakayoandaa mashindano hayo

Mwanamke mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Rashushi Amani Shembusho, mkazi wa Pasua, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa kiasi cha shilingi milioni 5.4 na watu wasiojulikana asubuhi ya juzi, Februari 20.
Bi. Shembusho akilia kwa uchungu baada ya kudanganywa na watu wawili, wa kike na wakiume ambao majina yao bado hayajafahamika. watu hao walimpeleka katika Hoteli maarufu mjini moshi, Fresh Coach na kumtapeli shilingi milioni 5.4 ambazo alikuwa ametoka kutoa Benki ya Uchumi ya mjini Moshi.
Askari wa Hoteli hiyo inayodaiwa kutumika kumtapeli mwanamke huyo akimtuliza Mama huyo ambaye alionekana kuchanganyikiwa na tukio hilo.
Ngina Kenyatta
Are Ngina Kenyatta and June Chepchirchir caught up in a love storm? The man in question is allegedly Kenyan youth Alliance chairman Ian Meshack Kimutai. According to his Facebook page, Meshack is an alumnus of Uasin Gishu High School before joining Daystar University and hails from Kapsabet (Nandi County). It has been purported that Ian met Ngina Kenyatta two months before the March 2013 general

diamondpla 
Diamond Plutnumz bado ameendelea kudhihirishia ulimwengu kwamba anapiga hatua kulingana na juhudi alizonazo kwenye muziki,hili ni shavu lingine,kwa sasa Diamond ameteuliwa kuwa moja kati ya wasanii wanaootoka Afrika na watakaoshiriki katika Tuzo za muziki zitakazofanyika huko Eisemann Center Dallas Nchini Marekani
Tuzo hizi zinatarajiwa kufanyika July 26 2014 na pia inategemewa kuwakutanisha wasanii mbalimbali kutoka Africa Magharibi Kusini na sehemu zingine na taarifa iliyopo ni kwamba Mc
YANGA SC imetoa onyo kwa wapinzani wao katika Ligi ya Mabingwa Afrika mwezi ujao, Al Ahly ya Misri baada ya kuifumua mabao 7-0 Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii.
Ushindi huo unaifanya Yanga SC irejee kileleni mwa Ligi Kuu baada ya kutimiza pointi 38, mbili zaidi ya Azam inayoangukia nafasi ya pili sasa, ambayo kesho itamenyana na Prisons ya Mbeya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. 
Wawili wabaya; Emmanuel Okwi kulia na Mrisho Ngassa wakishangilia baada ya bao la nne leo na chini Kavumbangu anapongezwa baada ya kufunga moja ya mabao yake

Friday, February 21


ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, kevyclarity lina kisa kizima.

---------------------------------------

Principal Internal Affairs Officer- Physical Security
Purpose of the Job
To assist in the administration and coordination of the Authority security function that ensures security and safety of physical resources and properties.
Major Activities of the Job.
-Ensure successful implementation of Security Policy, Standards, Guidelines and Procedures
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) leo February 21 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne kwa mwaka 2013 na kuainisha kuwepo kwa wanafunzi wengi waliopata daraja Sifuri ambao ni asilimia 42.91 ya watahiniwa wote.
Matokeo hayo pia yameonyesha wasichana wakiwa wamefaulu kwa asilimia 56.73 na wavulana wamefaulu kwa asilimia 59.58 huku nafasi za juu za ufaulu zikishikiliwa na wasichana na shule binafsi huku shule nyingi zilizoshika nafasi za mwisho kumi ni za Serikali.

Chuo cha Biashara CBE chamtimua Mhadhiri wake kwa Skendo za kula Uroda na Wanafunzi.

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), tawi la Dar es Salaam, kimemfukuza kazi mhadhiri wa chuo hicho anayedaiwa kuhusika na vitendo vya ukiukaji wa maadili ikiwamo kufanya ngono.
Kamera hizo zimefungwa kwenye vyumba vya madarasa 20 ili kudhibiti vitendo vya ngono baina ya walimu na wanafunzi, wizi wa mitihani na matendo mengine yanayovunja sheria.
Hayo yalibainishwa jana jijini na mkuu wa chuo hicho, Profesa Emanuel Mjema, alipokuwa akizungumza na wanahabari wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene.
Profesa Mjema, alisema, walifikia maamuzi ya kuweka kamera hizo za kisasa ndani ya madarasa Aprili mwaka jana baada ya kujiridhisha na taarifa za kuwapo matukio ya ukosefu wa maadili miongoni mwa wahadhiri ikiwa ni pamoja na kutoa alama za juu kwa baadhi ya wanafunzi wa kike baada ya vitendo vya ngono.

“Nilipoingia chuoni hapa Januari mwaka jana, nilisikia kuwa kuna baadhi ya wahadhiri wamekosa maadili, wanatoa alama za juu kwa wanafunzi wa kike kwa masharti hata kama hawajafaulu kwa kiwango hicho. Nikaona vyema tuweke vifaa hivyo ili kudhibiti vitendo hivyo,” alifafanua Profesa Mjema.



Mhadhiri huyo ambaye jina halikutajwa alinaswa na kamera za kisasa za kurekodi matukio za CCTV zilizofungwa kwenye vyumba vya madarasa ili kudhibiti nidhamu, miongoni mwa wanafunzi na wahadhiri.

Thursday, February 20

Uliyafahamu haya kumhusu Salim Kikeke? Ni mtangazaji mashuhuri wa shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Je, alifikaje? Na kabla alitokea wapi? Baada ya kumaliza Stashahada ya Umwagiliaji katika Chuo cha Kilimo Nyegezi, Mwanza, alikutana na changamoto kadhaa hasa ya kukosa ajira kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ”Nilimaliza Stashahada yangu mwaka 1994 kozi ya Umwagiliaji, kwa sasa labda ningekuwa bwana shamba au mfanyakazi wa kilimo,” anasema Kikeke.
                  
                   Facebook na WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana.
Kampuni ya mtandao wa Kijamii ya Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita, na nyongeza zaidi ya dola bilioni tatu zitakazolipwa waanzilishi wa mtandao huo pamoja na wafanyikazi wake.

Robyn Rihanna Fenty, Mwimbaji maarufu na mwenye mafanikio makubwa kimuziki na hata katika ulimwengu wa mitindo ameeleza kuwa hakupenda kabisa kuwa maarufu, ila umaarufu ulikuja tu.

Rihhana amefunguka wakati akifanya mahojiano na jarida maarufu la Vogue la nchini Marekani, ambapo yeye ndiye atakayelipamba jarada la toleo jipya la jarida hilo litakalotoka rasmi March mwaka huu.

 
Big Daddy V enzi za uhai wake.
 
 Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.



Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye.

Wednesday, February 19



DECOR

WMK

Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia) wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
2B

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) 

 Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hilo
Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanz cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo

Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni mwao hakuna viongozi wakuu wa serikali.
Hayo yalibainishwa na Kiongozi wa kundi la Freemasons katika eneo la Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji Chande maarufu kama Sir Andy Chande.

Tuesday, February 18

  1. IMG-20140217-WA0005 
  2. Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha jinsi kilivyohappen huko Uingereza kwenye show ya mkali toka Tanzania Ommy Dimpoz alipokwenda kufanya show valentine ya mwa

Monday, February 17

machozi
Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye kucha na kitovu.



Burudani ni sehemu ya maisha katika maisha ya mwanadamu hususani burudani ya muziki imekuwa ikipendwa na kila mtu katika hii dunia lakini kwa sasa imekuwa kama kero kwa baadhi ya watu kutokana na utandawazi hapa namaanisha aina ya mavazi
Cesc Fabregas ameweka kwenye picha kwenye akaunti yake ya Instagram wakiwa kwenye ndege leo Jumatatu na wachezaji wenzake wa Barcelona kuelekea England kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi Manchester City.
Ameposti picha akiwa na wachezaji wenzake Alex Song, Carles Puyol na Gerard Pique wakati ndege inataka kuruka mabingwa hao wa Hispania wakienda jiji la Manchester kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora, itakayopigwa Uwanja wa Etihad.
Tayari kuondoka: Cesc Fabregas ameposti picha hii katika Instagram yake akiwa na Alex Song, Gerard Pique na Carles Puyol kwenye ndege kwa ajili ya mechi dhidi ya City kesho usiku

Barcelona inakwenda kwenye mechi hiyo ikitoka kuichapa mabao 6-0 Rayo Vallecano Jumamosi katika La Liga, matokeo ambayo yanawafanya waendelee kukabana koo na Real Madrid na Atletico kileleni.


Shilole na Madee wakiwadatisha wakazi wa Igunga kabla ya shoo ya Valentine's Day.
-