Monday, December 30

                       
 Waonyeshe umekuwa mkubwaBiashara ya mambo ya kitoto mbele ya wazazi punguza na kama ikiwezekana hata utani wa kijingajinga usio na kichwa wala miguu achana nao. Fikiria kabla ya kuongea na ukumbuke hawa ni matured adults.
2. Beba Majukumu na Saidia Nyumbani Ukiweza
Una mdogo wako anasoma lipa ada, umeshindwa nunua hata madaftari na Uniform tu. Umeona mdogo wako kamaliza shule yupo nyumbani tu mlete mjini alafu msomeshe hata ka kozi ka computer. Baba au mama anajiskia vibaya tuma nauli aje atibiwe Dar na lipa hospital Bills, misaada mingi tu unaweza fanya. Usitegemee kaka au dada zako jitahidi uwe wa kwanza wewe. e.t.c

 
 

-Rasimu ya Katiba hii ni ndefu kuliko ya kwanza ina ibara 271 ya kwanza ilikuwa na ibara 240
 
-wananchi wametoa maoni mazito kuhusu uongozi
 
Martin akiwa na Jack

mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China

Saturday, December 28

 
 
HUU ni msimu wa sikukuu! Juzi, tumesherehekea Sikukuu ya Krismasi na sasa tunaelekea Mwaka Mpya 2014. Kwa nguvu za Mungu tutafika salama. Ndugu zangu, hebu tutafakari vizuri kuhusu mwaka uliopita na kuangalia cha maana tulichofanya kwa wenzi wetu. Tuliwaumiza au tuliwapa furaha? Je, kupitia kona hii matatizo yameondoka, yamepungua au yameongezeka? 
                  



BONYEZA HAPA KUCHEKI ILO LI MUVI LA EPISODE 2 KALI,USIOMBE YAKUTOKEE
DSC_0047
Boxing day ya mwaka 2013 imeingia kwenye kumbukumbu muhimu kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram kujumuika na kukutana sehemu moja ana kwa ana kwa lengo la kufahamiana zaidi.
DSC_0249
Party hii ilihudhuriwa na mastar kibao akiwemo Barnaba,Jokate,Wema Sepetu,Hisia wa Tusker Project Fame na wengine kibao ndani ya Ambassador Lounge.hizi ni baadhi ya picha zikionyesha matukio mbalimbali kama Redcarpet,Perfomance ya Hisia na jinsi watu walivyoifurahia siku hii.
DSC_0294
 
 Absalom Kibanda.
 
 
MHESHIMIWA Rais wangu, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Nakusalimu kwa salamu ya utii inayotambua na kuheshimu kwa dhati mamlaka makubwa na ya juu uliyonayo kama mkuu wa taifa letu ambalo mazingira yake ya leo yanapaswa yawe wenye mwelekeo wa kushangilia kama si kujivunia uhuru ambao tuliupata mwaka 1961 na 1964 kwa kutegemea upande tulipo katika muungano wetu.
 
Mheshimiwa Rais, najisikia faraja iliyojaa majonzi moyoni kupata fursa hii adhimu kukuandikia waraka ambao msukumo wake unasukwasukwa na dhamira njema kabisa ambayo aghalabu kiini chake si

Tuesday, December 24

           


HOW TO MAKE A MAN HAPPY
1. Feed him
2. Sleep with him
3. Leave him with peace
4. Don't check his phone (Msgs)
5. Don't bother him with his movements
So whats so hard abou
t that?

Tanzania-Dar-es-Salaam-Co-007
Kupitia website yao mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali wa mawimbi makubwa katika pwani ya nchi.

Taarifa hiyo inasema kwamba upepo huo na mawimbi utakuwa kwenye tarehe 25 hadi 26 mwezi 12 mwaka 2013.
                            
 
He’s been condemned by other Muslim leaders, and some local imams have even refused to greet him. But Imam Daayiee Abdullah – believed to be the only openly gay imam in the Americas – is proud of his story.

He was born and raised in Detroit, where his parents were Southern Baptists. At age 15, he came out to them. At 33, while studying in China, Abdullah converted to Islam, and went on to study the religion in Egypt, Jordan and Syria. But as a gay man in America, he saw that lesbian, gay, bisexual and transgender Muslims had unmet spiritual needs and he became an imam to provide community support.

Saturday, December 21

KARIBUNI kwenye uwanja wetu tujadiliane kuhusu mapenzi. Marafiki zangu, katika uhusiano umakini wa hali ya juu huhitajika ili uweze kuwa bora kila siku na kuufanya uhusiano wako kuwa wenye nguvu na usiotetereka! Katika hili hutegemea zaidi jinsi unavyoendesha uhusiano wako.

Ukitaka mpenzi wako akuchoke au umchoke, wewe ndiye mwamuzi, lakini pia ukitaka mpenzi asikuchoke au usimchoke wewe ndiye mwenye uamuzi kwa kuwa una uwezo wa kuyafanya yote hayo. Hebu nikuulize, umempa sababu mwenzako ya kuwa na wewe?


Is it that, spiritually, something is really wrong with this lady who's lying down or it is about her prívate area?
Btw, if you look very well, that is if you have a very sharp set of eyes, you will observe that the
RIPOTI KAMILI YA MAUZAUZA YA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI

TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPERESHENI TOKOMEZA
_____________________
1.0 UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013, iliyowasilishwa na Mhe. Said Nkumba, Mbunge wa Sikonge kuhusu Mgogoro kati ya Wafugaji na Wakulima, Hifadhi na Uwekezaji, Mheshimiwa Spika alitoa Uamuzi ‘Speakers Ruling’ kuwa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ishughulikie kazi ya kutathmini na kuangalia jinsi Mpango wa Kupambana na Majangili ulivyopangwa na kutekelezwa na Serikali kupitia ‘Operesheni Tokomeza’.
Kwa mujibu wa kumbukumbu za Taarifa Rasmi za Bunge za tarehe 1 Novemba 2013, wakati Bunge likihitimisha Hoja ya Kuairisha Shughuli za Bunge, Mhe. Spika alitoa uamuzi ufuatao:-
…Kamati ile ya kawaida ya Maliasili itaendelea na kazi yake ya kufanya tathmini ya kuangalia jinsi mpango ule wa Kupambana na Majangili ulivyopangwa na ndani yake itashughulikia kama kulikuwa na uzembe ama kuna watu wanahusika katika kuondoa maisha ya watu kwa sababu za uzembe …
1.1 Kuundwa kwa Kamati Ndogo ya Uchunguzi


Birthmarks are discolored areas on the skin that appear at birth or shortly after birth.


Most birthmarks are not cause for concern. In most cases doctors don’t know why birthmarks appear, and there is nothing that can be done to prevent them.

Here's the list of the most rare birthmarks that challenged medical science:

Saturday, December 14

WABUNGE WAHENYA NA MAFAILI KUHOJIWA NA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA

NA BASHIR NKOROMO
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kikao chake kilichofanyika jana mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete imeibuka na masuala mazito kadhaa, ambayo leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (pichani) ameyaeleza wakati akizungumza na waandishi wa Habari, Katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba jijini Dar es Salaam.

Moja ya mambo ambayo Nape amezungumzia, ni kuhusu Kamati Kuu hiyo kuwahoji Mawaziri saba, kujibu kero au mambo kadhaa ambayo yaliibuliwa wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana iliyomalizika hivi karibuni katika mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Njombe.

                Pix 01 - Copy

       " VIONGOZI WAKUU WA MRADI HUO"

Mradi wa vitabu vya watoto Tanzania umezindua  shindano la uandishi wa riwaya za Kiingreza kwa ajili ya kuwajengea msingi wa kujifunza kwa urahisi lugha hiyo vijana hapa nchini.
Shindano hilo ni sehemu ya tuzo ya Burt ya fasihi ya kiafrika iliyoanza kutekelezwa tangu mwaka 2008 na kwa mwaka huu ni mzunguko wa sita wa mashindano ya uandishi wa riwaya za kiingereza kwa ajili ya vijana

Katibu Mtendaji toka Mradi wa Vitabu vya Watoto Bi. Pili Dumea akionesha kitabu cha The Birthday Party cha  mshindi wa pili wa tuzo za Burt katika mzunguko wa tano kilichoandikwa na Mukama Mwijarubi,  kushoto ni Mratibu wa tuzo hizo Bw. Ramadhan Ali.
 
Lugha ya Kiswahili ni lugha yetu pendwa ya taifa ambayo kila siku kadri siku zinavyokwenda inazidi kujizolea sifa kemkem na kuzidi kujipatia wazungumzaji wengi barani Afrika,ambapo kwa takwimu za hivi karibuni inaonyesha kuwa Kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu milioni 50.
Kuhusu elimu, nchi zote tatu za Afrika Mashariki zimechukua hatua mbalimbali muhimu kuipatia lugha ya Kiswahili nafasi katika mifumo yao ya elimu. Katika hilo, nchi ambayo imepata mafanikio makubwa, ikilinganishwa na zingine, ni Tanzania. Pamoja na ukweli huo, kinyume na imani ya baadhi ya watu, mafanikio ya Kiswahili katika elimu nchini humo hayakupatikana kwa urahisi.
 Hili limeelezwa kwa muhtasari na BAKITA (1999). Kufikia wakati wa kupatikana uhuru kutoka kwa mkoloni, lugha ya Kiswahili ilikuwa imeibuka wazi kama lugha inayotumika na wengi, na ikateuliwa kuwa lugha ya taifa mwaka 1964 na hatimaye ikateuliwa kuwa lugha rasmi pia. Mwaka wa 1967, iliamuliwa kuwa itakuwa lugha ya kufundishia elimu yote ya msingi, na 1970 ikaanza kutumiwa katika vyuo vya walimu wa shule za msingi.

Oprah 1

Oprah ambae aliwahi kubakwa akiwa na umri wa miaka 14 na kujifungua mtoto ambae hata hivyo alifariki dunia siku chache baada ya kuzaliwa,  anaamini kama angekuwa mama maisha yake ya kazi yangeingiliana na maisha yake ya familia .

photo 1
Tumezoea kusikia na kuwaona wasanii wa muziki wa Nigeria wakija Tanzania kufanya show kitu ambacho huwa sio stori hata kwao, yani wao kuja kufanya show

Friday, December 13



Nelson Mandela was today given back to ordinary South Africans who queued in their thousands from the early hours to file past his open casket on a day of viewing reserved for the public.
Aerial images showed lines of mourners snaking for around two miles as they queued patiently for buses to the building where his body is lying in state and then again as they waited to go inside.
Until now the cameras of the world have often been trained on leaders, VIPs and celebrities paying tribute to a man known for his common touch - a man who related to princes and paupers with equal ease.


Waiting to see their hero: This image shows thousands of South Africans queuing for around two miles to get on buses to take them to view Nelson Mandela's body

Waiting to see their hero: This image shows thousands of South Africans queuing for around two miles to get on buses to take them to view Nelson Mandela's body


Determined: Mourners then faced huge queues at the Union Buildings where Mr Mandela's body is lying in state

Determined: Mourners then faced huge queues at the Union Buildings where Mr Mandela's body is lying in state

  Abiria kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli  Mh Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Arusha leo mchana. 




bonyeza hapa chini kucheki dhiama hiyo...................

http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=GXXaj--a6-4




Jinsi Hoteli inavyoonekana angani

Tuesday, December 10

 


                        
DR SLAA ALIVYOONYESHWA NGUVU YA ZITTO KIGOMA,WASEMA ZITTO KWANZA CHAMA BAADAE
Hali ilivyo Mkoani Kigoma tangu jana wakati Dk Slaa akiendelea na ziara yake mkoani humo.

Taarifa hiyo inaeleza kwamba mikakati hiyo inalengo la kuvuruga mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema Dk Willbrod Slaa, ambaye leo anaendelea na ziara yake Mkoani humo,tangu Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazi kuvuliwa madaraka yake ndani ya Chama hicho, kufuatia madai ya kupanga njama za kuung'oa uongozi uliopo madarakani akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dk Slaa.
 Mikakati hiyo itafuatiwa na maandamano makubwa kueelekea eneo la mkutano, hii ni mara ya pili kwa mipango kama hiyo kufanyika baada ya ile ya jana kufanikiwa, ambapo mkutano wa Dk Slaa ulivunjika huku Askari wa Jeshi la Polisi wakilazimika kutumia nguvu na kurusha mabomu ya machozi kuwatanya wanachama wanaopinga ziara hiyo mkoani humo.
Wanachama wa Chadema wakichoma Bendela za Chama Mkoani Kigoma
Awali Uongozi wa Chadema Mkoa wa Kigoma ulitahadhalisha kuhusu ziara hiyo na kudai kwamba, hali si shwari katika mkoa huo kutokana na wanachama wa Chadema kuchoma Bendera na kubomoa mawe ya msingi katika ofisi mbalimbali za Chama hicho.
Wakati hayo yakiendelea Katibu Mkuu huyo (Dk Slaa) amekiri



Nelson Mandela.

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, mweusi wa kwanza kushika wadhifa huo katika taifa lenye uwezo mkubwa kiuchumi na kijeshi barani Afrika, alifariki dunia Alhamisi iliyopita akiwa nyumbani kwake jijini Johannesburg.

Kifo chake kimeushtua ulimwengu na kwa mara ya kwanza katika historia, dunia nzima imesimama nyuma ya jemedari huyo, kila mmoja akionesha masikitiko yake.

Wakati dunia ikisubiri mazishi yake ambayo pia yatavunja rekodi ya mazishi yote yaliyowahi kufanywa tokea kuumbwa kwa uso wa dunia hapo Desemba 15 mwaka huu, Uwazi limebaini maajabu kumi yanayoambatana na msiba huo.

1. AIR FORCE ONE KUBEBA MARAIS WATANO WA MAREKANI
AIR Force One ni ndege inayombeba Rais wa Marekani aliye madarakani na kumpeleka popote duniani. Lakini katika hali ya kushangaza, Idara ya Usalama ya Marekani imetoa ruhusa kwa marais wastaafu wakiwa na wake zao, kuandamana na Rais Barak Obama kuhudhuria mazishi ya shujaa huyo wa dunia.

Saturday, December 7

                   nelson-david-beckham--zNelson Mandela kutokana na historia yake ya harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi Afrika Kusini alivutia watu wengi sana hata wale maarufu wa dunia ambao walifanya juu chini kumtembelea Mzee Mandela ambapo hizi ni baadhi ya picha zenyewe.


Sunday, December 1

                     Paul-Walker-Wallpaper-paul-walker-25716655-1024-768 
Wapenzi wa movie za The Fast and the Furious watakuwa wanamfahamu Paul Walker vizuri ambapo ameshiriki kikamilifu kwenye movie za Fast and Furious.
Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao hadi ku-trend kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ni kuhusu kifo cha muigizaji huyu ambapo taarifa rasmi zinasema alikuwa anatoka kwenye event ya kujitolea ya organisation yake inaitwa Reach out World Wide.
Paul Walker akiwa kwenye safari ya kurudi kutoka kwenye hiyo event ndani gari la kifahari lenye viti viwili aina ya Porsche Carrera GT, ambapo yeye alikuwa abiria na rafiki yake akiwa dereva wa gari hilo ndio wakapata  ajali.
Habari zinasema kwamba dereva huyo alipoteza control na kuvamia mti au nguzo na gari kuanza kuwaka moto.
Polisi hawajathibisha rasmi chanzo cha ajali hiyo lakini hadi hivi sasa inasemekana kuwa ni speed kali ambayo ilimfanya dereva ashindwe ku-control gari hilo.
Paul amefariki akiwa na miaka 40 na ameacha binti mwenye miaka 15
Wadadisi wa mambo ya kibiashara wameshaiangalia Fast and Furious 7 kwamba itafanya vizuri sokoni kwasababu hiyo ndio itakuwa movie ya mwisho ya Paul Walker na itatoka July 11, 2014.hgHii picha ilipigwa muda mfupi kabla ya ajali kutokea akiwa anaondoka kwenye event ya kujitolea na hilo ndio gari lenyewe kabla ya ajali



''Mada mada maugo''

                                    

MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz si msanii bali ni mfanyabiashara.

Madaha amesema kwamba Diamond si mwanamuziki na kwamwe huwezi kumlinganisha na msanii kama Barnaba Boy, anayefanya muziki kama sanaa na kazi kulingana na kipaji chake na kwamba Diamond si msanii wa muziki bali ni msanii ngono anayefanya biashara ya muziki kupitia mapenzi. 
DSC_0003Hiki ndicho kinachoendelea kwa sasa,upande wa redcarpet hapa Escape 1 Mahali ambako anazaliwa super star wa mwaka 2013 kupitia Epiq Bongo Star Search.

Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese amewapa fursa followers wake zaidi ya 9,000 kwenye Instagram kuona umbo lake la kuvutia linalomfanya apate mashavu mengi ya kupiga ‘mitembeo ya paka’ kwenye runways kubwa duniani. Enjoy.
   
-