Wednesday, November 27

Foleni Dar: Mohammed Dewji apanda boda boda kuwahi mkutano, afikiria kununua helikopta!!

Mbunge wa Singida Mjini,  Mohammed Dewji leo amejikuta katika wakati mgumu kutokana na foleni  kali ya magari.

Saturday, November 16

Picha za aibu za bint anaetoka familia ya Karume akiwa mtoto wa nje wa mke wa mwisho wa Rais Abad Aman Karume aliyefahamika kwa jina la Dida ambae pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya nchini.
Habari toka kwa mwandishi wetu aliyeko Zanzibar zilizema kuwa bint huyo anaheshimika sana na wazaznibar lakini walipigwa na butwa kuona picha za aibu zikiwa mitandaoni akionekana akiwa nusu uchi.

 
UVAAJI WA NUSU UCHI MAOFISINI SASA UMEKITHIRI, ANGALIA DADA HUYU ALIYEPIGWA PICHA KINYEMELA BILA YEYE KUJUA..!!



Dada huyu alifotolewa picha hii yeye mwenyewe bila taarifa akiwa anahudumia mteja ofisi fulani, Je uvaaji huu unaleta picha gani na unafundisha nini jamii kama sio Pumba na ujinga tu ? TOA MAONI YAKO
-