Tuesday, October 29

Habari mpenzi mfuatiliaji wa blog hii ya KEVYCLARITY.BLOGSPOT.COM
Kama umeguswa na umekuwa ukiamasika kutokana na habari na makala mbalimbali tunazokupatia kila siku,tafadhali tunaomba u-LIKE page yetu ya https://www.facebook.com/kevyclarity?ref=hl ILI KUWEZA KUWA KARIBU NASI KWA UKARIBU ZAIDI!!!!
  AHSANTE KWA KUUNGANA NASI,DAIMA TUPO PAMOJA NANYI KATIKA KUELIMISHANA!!!!TAFADHALI USIPUUZIE HILI.........
KATIKA uhusiano wa kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusikia mpenzi wako uliyempa nafasi kubwa kwenye moyo wako anatembea na mtu mwingine. Licha ya kwamba ni kitu kinachoumiza sana, bado tumekuwa tukishuhudia baadhi ya watu wakiwasaliti wenza wao tena wakati mwingine waziwazi.
Aidha, wapo ambao wanafanya usaliti kwa kujificha sana kiasi kwamba wenzao wanaamini hawasalitiwi.
Huko nyuma utakumbuka nilishawahi kuzungumza kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu ambaye moyo wako umemzimikia, hutakiwi kuwa na mashaka naye.


UCHUNGUZI  wa kina uliofanywa na Gazeti la Uwazi kwa muda wa siku 30 umebaini kuwa Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar, Josephat Gwajima ndiye anayeongoza kwa utajiri wa viongozi wa imani ya Kikristo, hususan wa njia ya kilokole.

Sultan Kosen,30 mwenye urefu wa 8’3″ raia wa Uturuki ambaye ndiye binadamu mrefu kuliko wote kwa sasa katika mwaka 2013,amefunga ndoa ya kufurahisha iliyohudhuriwa na watazamaji wengi kutokana na urefu wa mkewe Merve Dibo,20 aliyemuoa kwa kuonekana mfupi akiwa na urefu wa 5’8″  kulinganisha na Sultan Kosen ambaye amemzidi kwa tofauti ya 2′ 5”.
                         Worlds-tallest-man-wedding-2649638
                      
ASSALAAM Alaykum/Bwana Asifiwe. Wiki iliyopita nilipokea maswali mengi kutoka kwa wasomaji wangu wa safu hii, wakiniuliza kuhusu hina, asmini, kilua na mrangiragi. Sikuweza kujibu kwa mtu mmoja mmoja lakini leo kupitia hapa, natoa majibu yote.

Monday, October 28

KILA kinachotokea leo katika maisha yako ni matokeo ya namna ulivyowaza na kutenda kipindi cha nyuma. Maisha ni mipango.
Hata katika uhusiano na mapenzi ni hivyohivyo. Kama hutakuwa mkweli, hutaishi maisha safi na utaonesha picha mbaya kwa jamii, kesho utakutana na majibu yake.

Yule Mchungaji Maarufu kutoka Nigeria Ambae hutabiri mambo mbalimbali na kweli yakatokea  TB Joshua leo ametoa utabiri mpya ambao unahusisha Africa Mashariki ...ameonyeshwa rais mmoja Africa Mashariki atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,itakuwa nchi
                             
 
 
Mwimbaji wa nyibo za injili toka nchini Nigeria  ajulikanaye  kwa  jina  la  Maheeda  amejikuta  akitengwa  na  kanisa  baada  ya  picha  zake  za  uchi  kuvuja….

                        gaga-3


Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.cheki mapicha ya kutosha......

Friday, October 25

                                           
WAKATI akili yangu ikianza kupata ufahamu, nilikuwa natatizika na kuwaza kitu gani hasa katika mapenzi kinaweza kumfanya mtu atulie ndani ya penzi lake. Niliamini kuwa na fedha ndiyo dawa ya mtu kumtuliza mpenzi wake au kwa mwanamke kuwa mzuri na mwenye sifa zote, ndiyo dawa ya kumfanya mpenzi wako atulie.
Baada ya kukua na kuingia katika dunia ya ufahamu wenye mitihani mingi ya mapenzi, nimegundua kuna utofauti mkubwa katika vitu nilivyoviwaza.

Wakati nakua, nilikutana na matukio ambayo niliona kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano, lakini baada ya kupevuka, nilipata majibu ya maswali yaliyonisumbua kipindi kile cha utoto.
Sikuamini mke wa tajiri kufanya mapenzi na muuza mchicha,

Thursday, October 24

                     
NI imani yangu kwamba utakuwa mzima wa afya njema na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku salama. Kama ndivyo ni furaha kubwa kwangu. Nipo tayari kuendelea na somo letu ambalo leo ninahitimisha ila kabla sijaingia huko nitakupa utangulizi kidogo.
Ndugu zangu, vikwazo katika maisha ni mambo ya kawaida. Unaweza kujaribu kusogea kwenye hatua nyingine lakini ukakutana na changamoto mbalimbali, kukatishwa tamaa na mengine. Jifunge mkanda, nguzo kubwa itakayokusaidia maishani mwako ni kujiamini!
Uwezo wa ubongo wako ni mkubwa kuliko chochote, hakuna atakayeweza kuharibu nguvu yako ya kufikiri hadi wewe mwenyewe utakapoamua kubadalisha namna yako ya kupambanua mambo. Kujiamini ndiyo kila kitu katika maisha ya binadamu. Usikubali kukatishwa tamaa wala kuyumbishwa. Simamia unachokiamini.

Wednesday, October 23


Dar es Salaam. Hali ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Runinga cha ITV, Ufoo Saro ambaye alijeruhiwa kwa risasi na mzazi mwenzake, Marehemu Anthery Mushiinazidi kuimarika na anaweza akaruhusiwa wakati wowote baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kusafisha tumbo ambao kitaalamu unajulikana kama Toilet Surgery.

Akizungumza na gazeti hili kwa sharti la kutokutajwa jina, mmoja wa madaktari katika hospitali hiyo, alisema kwa kawaida upasuaji kama huo ukifanyika kinachokuwa kinasubiriwa ni mgonjwa kupona vidonda au kupungua kwa maumivu kabla ya kuruhusiwa.

Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.
Kwenye kila darasa katika kila shule mara zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye huwa hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea kufunguliwa kwa milango ya chuo hicho kilichopo Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian International Séx School.
                  
HOFU imezidi kutanda kwa wakazi wa Mkoa wa Geita kufuatia matukio ya watu waliofariki dunia na kuzikwa miaka iliyopita kuibuka wakiwa hai, Uwazi lina mkasa mwingine mpya.
Mgonda Thomas (22), aliyefariki dunia kwa kujinyonga Mei 28, mwaka jana na kuzikwa siku iliyofuata, Ijumaa iliyopita aliibukia karibu na mlango wa nyumbani kwao akiwa hai.
Tukio hilo ambalo bado la moto, lilijiri katika Kijiji cha Rumasa, Kata ya Buseresere, wilayani  Chato mkoani Geita.
Kwa mujibu wa chanzo, majirani ndiyo

                              
NI wakati mwingine tena marafiki tunakutana katika safu yetu murua kabisa ya kujadiliana mambo ya mapenzi na maisha kwa ujumla. Naamini mpo tayari kupokea kitu kipya kabisa kutoka kwangu.
Marafiki zangu, katika kipindi hiki cha Sayansi na Teknolojia, uzungu umekuwa mwingi sana kwenye uhusiano. Kwa bahati mbaya, mazoea hayo yamekuwa tatizo katika jamii yetu.
Kutokana na wengi kujifanya wataalamu wa kuiga, wamejikuta wakitumbukia kwenye michezo michafu ambayo mwisho wa siku inaathiri afya zao.
Hapa nitachambua aina za mazoea mabaya na madhara yake, ambapo mwisho wa siku, kama ni mmoja wa walio katika michezo hiyo hatari, utaamua kusuka au kunyoa baada ya kumaliza kusoma mada hii.

Tuesday, October 22

                                  1
Huyu  naye ni  mwanamke  mwingine  asiyeijua  thamani  ya  mwili  wake  baada  kukubali  kupigwa  picha  akiwa mtupu…

 Alikuwa na  mpenzi  waliyependana  kiasi  cha  kumpa  kila  kitu  hadi kukubali  kupiga  picha  chafu  za  uchi…
 Wahenga  walishasema  kuwa  hakuna  marefu  yasiyo  na  ncha.Penzi  lao  lilifikia  tamati  baada  ya  kupishana  kauli  na  hivyo  wakaamua  kumwagana…
     
Habari za leo ndugu zangu na aswa wasomaji wa blog hii ya kevyclarity,karibu tujumuike pamoja kwa siku ya leo na siku nyingine zote ambapo kila siku tunajitaidi kukuimarisha na kukujuza masuala mbalimbali kuhusiana na mahusiano na mapenzi kati ya wapendanao.
Ndugu zangu, mmoja wa wadau wakubwa wa safu hii aliyejitambulisha kwa jina la Jafari wa Arusha, ameuliza swali ambalo nimeona ni vyema nikamjibu kupitia hapa ili na wengine waweze kufaidika.
Yeye alitaka kujua jinsi anavyoweza kumbaini mwanamke asiye na mapenzi ya dhati kwa mumewe. Katika kujibu hili nimeorodhesha dalili 20 ambazo ukiziona kwa mpenzi wako ni bora ukamuacha tu.
Moja, Ni mwepesi wa kuanika udhaifu wako kwa watu wengine, ni mgumu wa kukusifia mbele za wenzake badala yake haoni noma kukuponda.

Monday, October 21

HATUA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kutaja hadharani mshahara wa Rais na Waziri Mkuu, imechukua sura mpya baada ya Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) kulaani hatua hiyo na kuomba Spika Anne Makinda kuchukua hatua kwa vile ni ukiukaji wa sheria.

  Chama hicho kimeeleza kusikitishwa na kitendo hicho kufanywa na Mbunge aliyehusika na upitishaji wa sheria hiyo huku wabunge wenyewe wakiwa wakali pale wananchi na wadau mbalimbali wanapohoji mapato yao.




WAPENZI na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza! 


Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke ku

Saturday, October 19

KIAMAAAA!!! Wanasayansi watabiri kuwa Mwisho wa dunia huenda ukawa tarehe 26/8/ 2032.....Bofya hapa USOME ZAIDI



Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.

Friday, October 18

                                          
MNENGUAJI wa kiume wa Mashujaa Band, Juma Nyamwela (Nyamwela Jr) amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume wa umri wa miaka sita.

Kwa sasa mnenguaji huyo (pichani wa tatu kutoka kulia waliochuchumaa) yupo kituo cha polisi cha Mabatini Kijitonyama jijini Da
HISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda! Mapenzi ni maisha ya mtu katika uhalisia wake.
Maana yake ni kwamba, kama utakuwa na mtu ambaye moyo wako hauna mapendo ya dhati kwake, tafsiri yake ni kwamba, maisha yako yote yatakuwa yenye mateso kila siku.



                            16
                                   24
                           12


SIRI nzito imetanda juu ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni ambapo mama mzazi wa Mtangazaji wa ITV, Ufoo Saro aliuwawa kwa risasi na anayedaiwa kuwa mchumba mtarajiwa wa mtangazaji huyo, Anthery Mushi ambaye pia ni mzazi mwenzake. Mwili wa Anthery Mushi ambaye naye inadaiwa alijiua baada

Thursday, October 17

                          
                         
Mtoto wa mwandishi na mtangazaji wa kituo cha ITV,Ufoo Saro,Alvis Anthery akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la marehemu Bibi yake Anastazia Saro aliyezuikwa jana katika makaburi ya kanisa la Urara wilayani Hai.

                      
Assalam alaikum mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Mambo vipi? Natumani kwamba muwazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku na naamini pia mtakuwa mmesherehekea eid vizuri zaidi. Mimi namshukuru Mungu kwani amekuwa akinipa nguvu ya kuandika haya ninayoamini yana manufaa kwenu.

Ndugu zangu, ili uweze kudumu katika uhusiano wako unatakiwa kujenga mazingira ya kumuamini sana mpenzi wako. Nasema hivyo kwa kuwa, mapenzi ni imani. Ni sawa na kuamini Mungu yupo licha ya kwamba hujawahi kumuona.
                        3 
TV star Kim Kardashian ambae ni baby mama wa rapper Kanye West ameingia tena kwenye headlines baada ya picha zake kusambaa akiwa ameziba tu sehemu ndogo ya mwili wake huku akiweka msisitizo kwenye instagram kwamba #Nofilter yani hajaongeza mbwembwe zozote za kiteknolojia kwenye muonekano wa picha.

Wednesday, October 16

A pastor escaped a beating yesterday after he was rescued by members of his congregation when he was caught red-handed watching p*rn at a cybercafé in Kisumu town.
According to a witness, the pastor entered the cybercafé and asked for a secluded place - a seat at the far end of the room where no one would pass and disturb. He claimed that he wanted to download some church contents and needed no disturbances.
The vision of love that emerges from the latest science requires a radical shift. I learned that I need to ask people to step back from their current views of love long enough to consider it from a different perspective: their body's perspective. Love is not romance. It's not sexual desire. It's not even that special bond you feel with family or significant others.
And perhaps most challenging of all, love is neither lasting nor unconditional. The radical shift we need to make is this: Love, as your body experiences it, is a micro-moment of connection shared with another.



Mshambuliaji nyota wa Yanga, Mrisho Ngassa akisema kuwa hasira zake ni kama atashindwa kufunga au angalau kutoa pasi itakayozaa bao litakaloimaliza Simba: “Niko vizuri na ninajiona niko tayari kwa mchezaji, nataka kufanya kazi nzuri na ninajua Simba nitawafunga.  Kama nitashindwa kufunga basi nitatoa angalau pasi ya bao litakalosababisha Simba wafungwe. La sivyo nitachoma nyum

Lee On The Beats, DJ Khaled, & Ace Hood
Kendric Lamar ameongoza kwa kuchukua Tuzo 5 katika Tuzo za Hip Hop za BET mwaka 2013
Orodha Ya Washindi Na Tuzo Ziko Hapa
Best Hip-Hop Video WINNER: Drake- "Started From the Bottom"
A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) - "F---in' Problems"
B.o.B (feat. T.I. and Juicy J) - "We Still in This"
J. Cole (feat. Miguel) - "Power Trip"
Kendrick Lamar - "Bitch, Don't Kill My Vibe"

Tuesday, October 15




So why do women cheat in a relationship? Are women easy to trick or are they just confused? Read these 25 truthful reasons no one ever told you about!


So why do women cheat like there’s no tomorrow?

Looking for real life reasons behind why women cheat? Well, these 25 truthful reasons will reveal the real truth. 

1. Women get too close to others, too fast. Women build strong emotional connections really fast. It’s easy for them to get close to a guy and confuse the bond with love.

Kwa mujibu wa mdogo wake na mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha ITV, Ufoo Saro aitwaye Goodluck aliyekuwepo wakati wa tukio la mauaji lililotokea asubuhi ya jana, ambapo mchumba wa Ufoo alimuua mama yake mtangazaji huyo, na pia yeye kujeruhiwa kabla ya mtu huyo aitwaye Anthery Mushi kujiua pia.
                              0L7C0700



We can now confirm that size 8 A.K.A Linet Munyali is indeed married to DJ MO (Sammy Muraya) of system unit.

Dj Mo released a statement confirming that the weeding happend last month in the presense of a small crowd made of family and close friends.He also disclosed that they would be holding an open church weeding soon.

Monday, October 14


Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda kuanza maisha mapya.
 
Yapo mengi lakini nitagusia matano ambayo kwa utafiti wangu ndiyo


yamekuwa yakiwafanya wengi wakimbiwe na wachumba wao na kuachwa wakilia.

Inawezekana mpenzi wako sio mtu wa kupokea simu au kupiga simu sana, na hivi ndiyo ulivyomzoea, mara gafla simu zinaanza kumiminika mpaka mida ya usiku. Yamkini pia alikuwa yuko huru hata simu yake inapolia waweza ichukua na kumpatia lakini gafla anakuwa na hofu kubwa na kuificha      simu yake, nimeongea na wengine ambao wanakwenda na simu hadi bafuni isije ikasikika. Wengine  wameanza kuondoa milio katika simu zao wakati haikuwa kawaida yao, wengine

Sunday, October 13

Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World


World's most strange trees
Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World
Unbelievable most strange trees in the World TUPE MAONI YAKO HAPA
-