Waonyeshe umekuwa mkubwaBiashara ya mambo ya kitoto mbele
ya wazazi punguza na kama ikiwezekana hata utani wa kijingajinga usio na kichwa
wala miguu achana nao. Fikiria kabla ya kuongea na ukumbuke hawa ni matured
adults.
2. Beba Majukumu na Saidia Nyumbani
Ukiweza
Una mdogo wako anasoma lipa ada, umeshindwa nunua
hata madaftari na Uniform tu. Umeona mdogo wako kamaliza shule yupo nyumbani tu
mlete mjini alafu msomeshe hata ka kozi ka computer. Baba au mama anajiskia
vibaya tuma nauli aje atibiwe Dar na lipa hospital Bills, misaada mingi tu
unaweza fanya. Usitegemee kaka au dada zako jitahidi uwe wa kwanza wewe.
e.t.c