Friday, August 30

 
Ni matumaini yangu kuwa msomaji wangu umzima wa afya njema na unaendelea na majukumu yako ya kujitafutia mkate wa kila siku. Namshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema na kunipa tena nafasi ya kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi.

Kwa kawaida miaka 14 inafaa kuwa ndio unafurahia ujana na utoto wako.

Lakini sivyo kwa msichana mmoja huko Bungoma, ambaye sasa ni mzazi, na si wa mtoto mmoja, bali watoto watatu, aliojifungua kwa pamoja.

 
Group A: Man United, Shakhtar Donetsk, Bayer Leverkusen, Real Sociedad
Group B: Real Madrid, Juventus, Galatasaray, Copenhagen,
Group C: Benfica, PSG, Olympiacos, Anderlecht

Thursday, August 29

Diamond Platinumz Kuwaacha Wapenda Burudani Midomo Wazi Kwa Mara Nyingineleo Hivi Ndivyo Alivyopanga Mashambulizi

Hivi ndivyo 'mnyamwezi', Diamond Platinumz alivyojipanga kutoa kazi yake mpya ambayo mpaka sasa mitaa inakodoa macho kuona itakuwaje.

Wednesday, August 28

 
NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida sitatoka nje ya mapenzi. Nitazungumzia mapenzi kila siku kwa kuwa najua yanachukua sehemu kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.



 haya ni maajabu mtoto wa miaka 15 ametembea na zaidi ya wanaume 200!!

MU hali gani mabibi na mabwana kwa kukutana tena kwenye safu yetu ya kujuzana mawili matatu kuhusu maisha yetu ya kila siku. Japo leo nilikuwa nimeandaa mada nyingine.

Lakini wakati najiandaa kuandika alikuja rafiki yangu wa karibu ambaye aliniletea matatizo mengi kutoka kwa mzazi mwenzake, ambaye wamezaa watoto wawili na wanaishi pamoja kama mke na mume.

Tuesday, August 27



Monday, August 26

Whoopi Goldberg alikuwa anafanya kazi mortuary kusafisha watu waliokufa.



Kanye West alikuwa afisa masoko msaidizi wa Gap.



Mariah Carey alikwishawahi kufanya kazi Saluni, alikuwa akifanya kazi za pembeni kama vile kufagia nywele, kupanga vitu na baadae kutengeneza nywele watu.

Kutokana na Historia na mazingira tofauti tofauti, Mastaa wengi ambao tunawasikia sasa, umaarufu ndio umeweza kubadilisha maisha yao kwa kuwapatia utajiri mkubwa, na wengi wanafahamu kuwa umaarufu wao ndio chanzo cha utajiri wao.




On the other side of the coin, Kuna mastaa ambao umaarufu wao umekuja tu.. wakati wao tayari ni matajiri ama wametokea katika familia tajiri, soooo... www.sammisago.com, inakufahamisha mastaa hawa ambao 'mulla' walikuwa wamekwishazizoea 'fore hawajakuwa maarufu.

Wa kwanza ni Taylor Swift, mtoto wa Scott Kingsley Swift ambaye ni Financial Adviser wa kampuni maarufu ya Merill Lynch, Amesoma shule binafsi na maisha ya kifahari sana, Baba yake anamiliki lebo kubwa kabisa ya Muziki ya Big Machine ambayo Taylor mwenyewe ana shares asilimia 3.


Wa pili ni Willow na Jaden Sm

Thursday, August 22


MAJAJI WA SHOW HII

MMOJA KATI YA WASHIRIKI

  JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limemkamata mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, Totolii Kimath anayedaiwa kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani.

Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata....

Wednesday, August 21

             
 
Awali ya yote niwasalimuni wapenzi na wasomaji wa blog hii ya kevylarity.blogspot.com

Ndugu zangu, sasa turejee katika mada yetu ya leo. Nazungumzia mambo muhimu ambayo vijana wa sasa wanatakiwa kuyazingatia wakati wanatafuta pumziko la kweli. Upendo wa kweli si jambo dogo. Kumpata mwenzi wa maisha si maigizo!

Mtu Huyu Ana Uzito Wa Kilo 610, Kutokana Na Afya Yake Kuhitaji Msaada Kitaalam, kutokana na kuzidi kunona kadri siku zinavyozidi kwenda.

Mfalme wa Saudi Arabia, ameingilia kati mpango wa kumsaidia Raia wa nchi hiyo, Khalid bin Mohsen Shaari ambaye ndiye binadamu mnene na mzito zaidi duniani akiwa na uzito wa kilogram 610, katika mchakato wa kumtibu na kumrudisha katika hali nzuri zaidi.


Naibu katibu mkuu wa jumuiya ya afrika mashariki (EAC) Bi JESCA ERIYO wa kwankwanza kulia akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana katika ukumbi wa LI


 Wachezaji Walio Uzwa Na Kununuliwa Msimu Huu Wa Usajili Hadi Sasa


Arsenal (arsenal.com)

In
Yaya Sanogo (Auxerre) Free

Out Andrey Arshavin (Zenit St Petersberg) Free Francis Coquelin (Freiburg) Loan Denilson (Sao Paulo) Free Johan Djourou (Hamburg) Loan

Sunday, August 18




 bonyeza linki hii kutizama ufuska wanaoufanya.....................

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=2pMHebAMsTQ


Ikiwa  ni  siku  chache  baada  ya  mwanamke  mmoja  mkazi  wa  kahama  kubabwa  na  kutobolewa  macho  huku  akichomekwa  kisu  sehemu  zake  za  siri, mitandao  ya  kinigeria  nayo  imeripoti  unyama  kama  huo.....



Raia mmoja wa China amewashangaza wengi kwa kujenga Jumba lake la Ajabu juu ya Ghorofa katikati ya mji kwa miaka sita,

Saturday, August 17



 Click hapa kuitazama video hiyo kuona jinsi walivyobambwa na mwandishi wetu..........................
http://www.youtube.com/watch?v=ndsivHfbxNY&feature=player_embedded



Friday, August 16

1. Calvin Harris - $46 million [74,267,000,000Tshs]
Huyu ndio top DJ... wa kwanza kwa kulipwa pesa ndefu duniani kwa mujibu wa Forbes, king wa kuspin/scratch/mix electronic dance, Ndani ya

 KWA WALE WAPENZI TU,LEO TUNAENDELEA NA SEHEMU YETU YA PILI YA JINSI YA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO

Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana hivyo amepitiliza sifa za nafasi hiyo



Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom na kumuidhinisha Mrisho Ngasa kuchezea timu ya Yanga baada ya kukamilisha usajili wake.

Mwenyekiti Alex Mgongolwa amesema kuwa Ngasa alisaini mkataba mwingine Simba wakati alikuwa na mkataba na (Azam) hivyo anatakiwa kurejesha fedha alizopokea (sh. milioni 30) pamoja na fidia ya asilimia 50 (sh. milioni 15) ya fedha hizo kwa Simba.

Kamati imemfungia mechi sita za mashindano (kuanzia mechi ya Ngao ya Jamii), na anatakiwa awe amelipa fedha hizo ndani ya kipindi hicho cha kukosa mechi hizo ikitokea akishindwa, hataruhusiwa kucheza hadi atakapolipa fedha hizo.

mbali na sakata la ngasa pia wachezaji wa kigeni kamati imeagiza wasiruhusiwe kucheza mpaka watakapopata hati za uhamisho wa kimataifa(ITC) na vibali vya kufanya kazi nchini(Work Permits

Thursday, August 15






Hakuna ubishi Cristiano Ronaldo ni moto uwanjani na anatajwa kama mmoja ya   wachezaji bora wa dunia. Hivyo mchezaji bora wa dunia mtu ambaye ni nembo ya soka, hivyo anahitaji kuwa vitu bora kimojawapo ni mwanamke, huyu hapa mtoto wa kirusi anaitwa Irina Shyk ni kweli kabisa anastahili kuwa demu wa mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo. Irina Shyk ndio anatufungia listi yetu ya wasichana ambao wana mvuto wamewahi ama wapo katika mahusiano na wanasoka.

Wednesday, August 14

Katika mapenzi, kila mmoja huwa na hisia zake moyoni, kwa bahati mbaya hisia hizo haziwezi kuonekana kwa macho na ni vigumu sana mtu kutoa hisia zake za siri. Mara nyingi imekuwa ikitokea wapenzi kuzungumza kwa vitendo zaidi kuonesha kilichopo mioyoni mwao.


 MARTINA
40/40 Club At Barclays Center Grand Opening

Hip hop mogul na mfanyabiashara mwenye ‘kisu’ cha maana (pesa) Shawn Carter a.k.a Jay Z licha ya kuwa baba mzuri kwa Blue Ivy, mume mzuri wa mkewe Beyonce lakini pia ni boss mzuri (tena sana) kwa

Tuesday, August 13

 
Watu wengi wako kwenye uhusiano wa kimapenzi bila kujua kama kweli wanapenda kwa dhati au wanajilazisha? Ili kutambua upendo wako jipime kwa maswali yafuatayo:
Maisha ya binadamu ili yaweze kutawaliwa na furaha na amani ni lazima suala la mapenzi lipewe kipaumbele. Wakutane wawili wanaopendana kwa dhati na wanaodhihirishiana hivyo. Hapa namaanisha kwamba, watu hawa wapendane kutoka katika mioyo yao na si mapenzi ya mdomoni ya ‘I love you, I love you too’, hapana!

...


JENGO la ghorofa 19 lililojengwa karibu na Ikulu ya Dar es Salaam linadaiwa kuhatarisha maisha ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, UWAZI limefuatilia kwa umakini.
bilionea

Mfanyabiashara tajiri wa madini kutoka Mirerani Erasto Msuya aliyeuwawa kikatili wiki iliyopita huko Kilimanjaro, azikwa jana (August 12) huko nyumbani kwao eneo la Kairo Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara.

Monday, August 12

8818atKigoma

Clouds FM wametangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye show ya kwanza ya Fiesta mwaka 2013 itakayozinduliwa Jumamosi, August 17 mjini Kigoma.
 


Hii nayo ni maajabu, mwanamke huyo ambaye alikuwa anarekodiwa aliweza kujifungua mtoto huyo peke yake huku akiwa kasimama. Sijui kama linawezekana hili kwa mwanamke wa kawaida, ila inaonekana alipewa donge none kujidhalilisha kiasi hichi.
(Tahadhari Video Ina Maudhui ya Wakubwa Tu)

Video ipo hapa

<<< VIDEO HIYO>>>

Katika kuhakikisha kuwa mwanae North na mchumba wake Kim Kardashian wanakuwa salama, Kanye West amewaagizia magari maalum yenye mfumo wa gari za kijeshi na ambayo hayapitishi risasi.


Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele hiki cha Mlima Kilimanjaro…,hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote, kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.

Baada ya kuachia wimbo wake wa Salamu zao Nay Wa Mitego amedai kuwa ameanza kupokea vitisho kutoka kwa watu mbali mbali hasa wale waliokuwa kwenye

kevy: Haya ndugu yangu za masiku hatuonani ila mimi nakuona tu kwenye luninga.
AYO:  Aiyaa….! Wakuu ni aje ni kitambo kimepita hatujaonana ila mimi niko poa tu nakaza buti.
kevy: Usiende mbali tunajua uko bize lakini hebu kaa kitako uzungumze na mhariri wangu kuhusu mawili matatu watu wasio yajua kuhusu wewe.

















Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu.

Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa Millard, alimuanzisha shule akiwa mdogo sana na hatimae kumaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 12 tu, akamaliza form four akiwa na miaka 16 mwaka 2002, sehemu zote hizo yeye ndio alikua mdogo kuliko wote darasani kuanzia Patandi Primary School Tengeru, Akeri Secondary School na Mbezi beach high school..........

Sunday, August 11

Wanawake wengi hupenda sana kujitangaza kwamba wanapendwa na wapenzi wao, lakini nyuma yao huwa hawana majibu au hoja za msingi za kuthibitisha kwamba wanachokisema ni cha kweli. Kupendwa na mwanaume hakuishii kwenye kutamkiwa na kukubaliana bali ni zaidi ya hapo.
WATU wengi wanapenda kuwa maarufu, wenye uwezo na ushawishi katika jamii lakini hawafahamu wafanye nini kufikia ndoto zao. Kuna wanaolazimika kufanya hata mambo machafu mfano kupiga picha za utupu wakiamini zitawasaidia kujulikana.
                                
ASALAAM aleiykhum msomaji wangu, Nitakuwa hapa kila siku kwa uwezo wa Mungu ili kukupa somo, vilevile kujibu maswali yako. Lengo langu ni moja tu, kukuwezesha wewe mwanamke mwenzangu kutulia kwenye ndoa au penzi lako.
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.
lil-kimlil kim
wahu n nameless

Jana familia ya mastaa Nameless na mkewe Wahu kutoka Kenya wamesheherekea birthday ya Nameless huku wakimkaribisha mtoto wao wa pili katika familia yao, baada ya Wahu kujifungua mtoto wa kike Ijumaa usiku (August 9).

Saturday, August 10




Mwanadada Wastara ametoa siri ambayo alikuwa hajawahi kuizungumza katika maisha yake ya uhusiano, kisa hicho kinachofurahisha kinahusu maisha yake na marehemu mume wake na sababu iliyomfanya

mwanafunzi mmoja wa chuo cha siasa ghana nae ameamua kuachia video ya ngono ambapo inaelezwa kuwa muvi hiyo ya kikubwa alicheza na profesa wa chuo iko.Mwanafunzi huyu amekuwa maarufu kwa kubadili wanaume wa kucheza nao muvi hiyo kama daladala.


Chanzo kiliongeza, Japokuwa mwalimu huyo hakuona tatizo kwa hiyo video waliojirekodi,


MSHAURI WAKO NAMBA MOJA
Mwanamke sahihi kwako ni yule ambaye anakushauri hasa unapokuwa katika matatizo makubwa zaidi ya kimaisha.
Sifa hii itaonekana tangu mapema kabisa, unapokutana naye ukiwa huna furaha, ni rahisi kukuliza kulikoni, anakuuliza si kwa sababu anataka kuona furaha yako pekee bali pia anataka kujua kama kuna tatizo ili aweze kutoa mchango wake wa mawazo katika tatizo lako.
-